mfumo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Chama cha Wamiliki Mabasi (TABOA) kusitisha kutoa huduma kuanzia Jumatano wiki ijayo kwa kugomea mfumo wa ukataji tiketi kupitia mtandao

    Chama cha wamiliki wa mabasi nchini(TABOA) kwa kauli moja kimetangaza kusitisha kutoa huduma kuanzia jumatano wiki ijayo kwa kugomea mfumo wa ukataji tiketi wa mtandao wakidai mfumo huo ni kandamizi na unawaumiza wamiliki na kufIkia hatua ya kutaka kuwafilisi. ==== Dar es Salaam. Wamiliki wa...
  2. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Twitter kuanzisha mfumo wa kupambana na taarifa potofu kuhusu chanjo ya corona

    Twitter imesema kuwa inaanzisha mfumo mpya wa kubaini na kuondoa machapisho yanayopotosha kuhusu chanjo ya COVID-19 na kuwafungia watumiaji wa mtandao huo watakaoonekana kusisitiza kuenea kwa habari za uongo. Kampuni hiyo yenye makao yake San Fransisco nchini Marekani imesema katika chapisho la...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mfumo mpya wanatumia watu kutapeli watu

    Habari ndugu na jamaa naomba niwape story fupi, kama siku tatu nyuma nilienda mjini asubuhi nikafanya shughuli yangu nikageuka wakati nipo njiani nikakutana wadada wawili wamekaa mahali mmoja wao akaniita kwa ishara nikasogea mpaka mahali walipo mmoja akaanza kuongea na mimi, akanijulisha kua...
  4. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zazindua mpango wa uundaji wa mfumo mpya wa ulinzi wa anga wa Arrow-4

    Habari! Israel imetangaza Alhamisi kuwa inashirikiana na Marekani katika mpango wa uundaji wa mfumo mpya wa ulinzi wa anga dhidi ya makombora ya balistiki unaojulikana kama Arrow-4 ambao unajumuisha kizazi kijacho cha vizuizi (interceptors) ambao utachukua nafasi ya mfumo uliopo wa Arrow-2 kwa...
  5. Abdul Nondo

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali haitekelezi sera ya Elimu ya 2014. Ila bado 95% tunatekeleza sera ya Elimu ya 1995 ambayo tayari imefutwa?

    Juzi Alhamis nilialikwa ITV, Malumbano ya Hoja kuhusu Mfumo wetu wa elimu. Ukweli ni kwamba nchi yetu tuna sera nzuri sana ya 2014 na ilizinduliwa na Kikwete kwa Shamrashamra watu wakisifu sasa tunakwenda kuleta mapinduzi ya mfumo wetu wa elimu nchini ,ila hadi sasa tunatekeleza sera ya elimu...
  6. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Kwa mfumo huu wa TRA wengi tutafunga Biashara

    Habari wadau; Ni hivi;Nilitembelewa na wakaguzi wa TRA ofisini kwangu.Walipofika walianza kuniuliza maswali mengi na nikawapa nyaraka zote walizotaka na kwa mujibu wa Taarifa zangu kodi yangu nilishalipa yaani sikuwa na deni. Basi baada ya kuona niko safi wakaanza kuniuliza maswali ya...
Back
Top Bottom