Mzizi mkuu wa changamoto za mfumo wa Elimu Tanzania

Mlenge

R I P
Oct 31, 2006
2,125
2,291
Mzizi mkuu wa changamoto za mfumo wa Elimu Tanzania ni kwamba RoteLearning ndio injini, moyo na roho ya elimu rasmi.

Rote Learning ni mfumo wa kujifunza ambao mwanafunzi hutakiwa kukariri na kukumbuka. Mbadala wake ni pamoja na mbinu za kujifunza zinazozingatia fikra tunduizi, majaribio ya vitendo, na mbinu shirikishi.

Baadhi ya rejea:






 
Kukariri na kukumbuka ndio kujifunza huko???

Learning to memorise or learning to understand ??!!😨
 
Hiyo ni hatari sana.

Sana. Rejea;



 
Back
Top Bottom