Habari za wakati huu;
Leo nataka tuzungumzi kitu kinaitwa "Business Model"aka mfumo au muundo wa Biashara.Wajasiriamali wengi huwa wanakama katika Biashara kwa kujikita zaidi kujenga Biashara badala ya kujenga Business Model.Ndio maana wengi hujikuta wakifanya bashara za kuigizana bila kuwa na...
Mbunge Bernadeta Mushashu ameitaka Wizara ya Elimu pamoja na wadau wengine wa sekta hiyo kukubali kuna tatizo katika mfumo wa Elimu wa hapa Nchini. Amesema hayo leo Bungeni Dodoma.
Ameeleza, "Wafungue mjadala mpana tukae tujadili tuangalie Mfumo wetu ni wapi kuna tatizo, kitu gani kinakosekana...
Ikiwa mzazi ambaye anamuwazia mazuri mtoto akimaliza elimu yake ya juu kwa atatumia mahela kibao kugharamia elimu ya mtoto ila by the end!
1. Mtoto anatakiwa akanunuliwe mashine ya popcorn aiweke stand aanze kuuza bisi!
2. Anunue mashine ya kukamulia juisi ya miwa na glass!
3. Aanze kuuza uji...
Wadau salaam, kipindi cha awamu ya 5 kuna baadhi ya watu waliondolewa kwenye nafasi za uongozi wa taasisi za umma kwasababu ya kua opposition, mfano aliyekua mwenyekiti wa bodi ya shule ya sekondari Madasenga.
Alikua na vigezo vyote lakini aliondolewa kwasababu tu ni chadema. Bahati mbaya...
Habari wakuu leo nataka kujuza kuhusu mfumo mpya wa namba za siri zinazo tolewa si Rafiki kwa mtumia/mteja.
Rejea taarifa ya TCRA.
Ndugu Mteja, Kuanzia July 1, 2021 laini zote mpya zitatolewa zikiwa na namba ya siri. Mteja atatakiwa kuweka namba hizo kila atakapozima au kubadili simu yake...
Wakazi wa Magamba Songwe wachoma mazao yao ya ufuta mashambani mwao kupinga agizo la mkuu wa wilaya ya kutaka wauze kwa mfumo wa stakabadhi ghalani ambao wanasema hauna faida kwao
SOURCE : channel 10 taarifa ya habari
Nguvu ya mfumo!
Ni aina ya genge la watu au taasisi wanaojielekeza kutekeleza malengo flani!
Miongoni mwa malengo hayo yanaweza kuwa ni ya kisiasa, kiulinzi, kiuharifu au Vinginevyo!!
Sifa moja kuu ya Mfumo (system) ni kurithisha tabia njema au mbaya kizazi hadi kizazi!
Ni binadamu wachache...
Aliye na ushaidi juu ya wizi wa Jakaya Mrisho Kikwete auweke hapa. Jk alikuwa mwasiasa mbobezi, alijua nchi inahitaji nini iendelee, aliujua uchumi vizuri.
Hana Mali au miradi binafsi, aliyoiacha kwake au kwa familia yake katika utawala wake. Kama unaushaidi weka hapa. Zaidi ya kijumba msoga...
Salaam Wakuu,
Hapa chini ni Muhtasari wa ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Mwaka wa Fedha 2019/2020
===
Mhe. Naghenjwa Kaboyoka (Mb), Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya PAC; Mhe. Grace Tendega (Mb), Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya LAAC; Mhe. Daniel Sillo (Mb), Mwenyekiti...
Pana chuo tanzania kinatumia mfumo wa Semester?
Yaani kila semester pana wanafunzi wanaojiunga, na wanafunzi wanaohitimu. Masharti ya kuhitimu ni kukamilisha masomo fulani. GPA ni ya masomo, siyo kwa mwaka. Hakuna kusema huyu ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wala wa ngapi. Mwanafunzi akitimiza...
Tarehe 16 April 2021 ni siku ya uchaguzi mkuu wa viongozi katika Chama Cha Mawakili Tanganyika TLS (Tanganyika Law Society).
Wagombea urais waliopitishwa kugombea urais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) hapo April 16 2021 ni wagombea watano ambao ni; Shehzada Walli, Albert Msando, Francis...
Wananzengo na members wote JF na nje ya JF, yatupasa kupaza sauti kukinzana na utaratibu huu mpya wa vifurushi huu utakandamiza masikini.
Haiwezekani vifurushi vipande hivyo. Inaonekana hayo si mabadiliko bali ni ukandamizaji.
Serikali lione hili.
SAUTI YA WATANZANIA
Nchi ya Ufini (Finland) ni Nchi mojawapo kati ya Nchi zilizopo upande wa Kaskazini wa Ulaya inapakana na Sweden Norway na Russia.
Nchi hii ina ukubwa wa kilomita a mraba 338,455 km². Inakadiriwa uwa na idadi ya watu milioni tano na laki tano (5.5 mill). Mji wake Mkuu unaitwa Finish
Nchi...
Muungano wa Wafanyakazi nchini Uingereza umeonya kile ilichokiita 'mwanya mkubwa' katika sheria za ajira na matumizi ya teknolojia ya ufahamu bandia (AI) katika mchakato wa ajira.
Kutokana na mabadiliko ya teknolojia yanayoruhusu kuajiriwa au kufukuzwa kazi kwa mfumo wa kompyuta, Muungano huo...
TAMS ni kifupi cha Tanzania Advocate Management System, mfumo unaomuwezesha mtu kutambua endapo wakili anaruhusiwa kufanya kazi za uwakili, amefungiwa, amehuisha leseni yake au la.
Ikiwa utatumia Wakili ambaye haruhusiwi kufanya kazi za uwakili kutokana na sababu yoyote ile itapelekea nyaraka...
Mume wa Rais ni mtu wa muhimu sana katika jamii, kama alivyo mke wa Rais. Katika dunia ambayo bado ni mfumo dume, mume awe tayari kukutana na changamoto katika jamii.
Ninakumbuka wakati wa G8 summit, mume wa Angela Marckle alijikuta akiongozana na wake wa Marais katika kutembela shughuli za...
Awali ya yote niwape Pole sana Watz wenzangu kwa msiba huu mkubwa wa kuondokewa na Mkuu wa nchi Dr.John Joseph Pombe Magufuli. Mungu amweke mahali panapostahili kwa yale aliyotenda hapa duniani.
Marehemu alikuwa hataki kusikia habari ya Katiba Mpya akidai hicho hakikuwa kipaumbele chake wakti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.