Mfumo wa kidigitali wa usimamizi wa taarifa za kanisa

Oct 9, 2020
10
7
Kwa kipindi kirefu taasisi nyingi za kidini hasa makanisa hayajawa na mfumo rasmi wa usimamizi wa taarifa zake. Hivyo nikaamua kuunda mfumo ambao utawezesha hilo. Sasa nimetoa toleo la kwanza ambapo kwa kutumia hilo utaweza kufanya yafuatayo

1. Kusimamia taarifa za washirika/waumini

2. Kusimamia taarifa za mapato (income)

3. Kusimamia taarifa za matumizi (Expenses)

4. Kutengeneza taarifa ya mapato na matumizi (Income & Expenditures report) ya kipindi chochote kwa dakika 1 tuu

5. Kuweza kuwasilisha taarifa yoyote kwa washirika kirahizi zaidi kupitia mfumo wa Bulk SMS (utaweza kutuma SMS kwa watu 1,000 ndani ya dakika 1)

6. Kuweza kuandaa annual work plan kirahisi na kupokea reminder kwa kila activity inapofika

7. Vikundi ndani ya kanisa (mfano vikundi vya vijana, wamama, wababa, watoto n.k), vitaweza kusimamia taarifa zao (taarifa za wanakikundi, taarifa za mapato na matumizi ya kikundi, taarifa za biashara ya kikundi kama ipo, Kuandaa annual work plan na kupata reminders SMS nk)

8. Kupitia CMIS utaweza kuhifadhi taarifa za kila mahudhurio ya washirika kwenye kila ibada

9. Utafutaji wa taarifa ni rahisi zaidi kuliko taarifa zilizo hifadhiwa kwenye vitabu au MS Excel

10. Taarifa zote zinazotunzwa kwenye CMIS haziwezi kupotea kwa kuwa zinahifadhiwa mtandaoni hivyo utazipata tena hata baada ya computer yako kupata tatizo

11. CMIS inauwezo wa kutumika ikiwa offline na taarifa zitajituma zenyewe kwenye server mara tuu ukiiunganisha na mtandao
Kwa sasa mfumo huu umetengenezwa kama program kwaajili ya Computer zinazotumia Windows

Sasa nahitaji makanisa/wadau ambao watakuwa tayari kuujaribu mfumo huu na kutoa maoni yenye lengo la kuuboresha zaidi. Hivyo, unaweza download hapa https://vps3169.ultahost.com/CMIS v2.zip kisha Unzip na fungua program iliyopo ndani ya folder lililoandikwa CMIS.

Ahsanteni
 
Makanisa ya kilokole hutakiwi kuuliza fungu la kumi lilimetumikaje
"Makanisa ya kilokole" ni so general term

Siki hizi hadi walutheri hujiita walokole na hawasali kwa "litrujia" kama zamani so specify unamaanisha makanisa gani? Kuna mengine ni "ministries" yaani kanisa moja na halina matawi linamilikiwa na.mchungaji/mtume/nabii/mwalimu nk
 
Kwa kipindi kirefu taasisi nyingi za kidini hasa makanisa hayajawa na mfumo rasmi wa usimamizi wa taarifa zake. Hivyo nikaamua kuunda mfumo ambao utawezesha hilo. Sasa nimetoa toleo la kwanza ambapo kwa kutumia hilo utaweza kufanya yafuatayo

1. Kusimamia taarifa za washirika/waumini

2. Kusimamia taarifa za mapato (income)

3. Kusimamia taarifa za matumizi (Expenses)

4. Kutengeneza taarifa ya mapato na matumizi (Income & Expenditures report) ya kipindi chochote kwa dakika 1 tuu

5. Kuweza kuwasilisha taarifa yoyote kwa washirika kirahizi zaidi kupitia mfumo wa Bulk SMS (utaweza kutuma SMS kwa watu 1,000 ndani ya dakika 1)

6. Kuweza kuandaa annual work plan kirahisi na kupokea reminder kwa kila activity inapofika

7. Vikundi ndani ya kanisa (mfano vikundi vya vijana, wamama, wababa, watoto n.k), vitaweza kusimamia taarifa zao (taarifa za wanakikundi, taarifa za mapato na matumizi ya kikundi, taarifa za biashara ya kikundi kama ipo, Kuandaa annual work plan na kupata reminders SMS nk)

8. Kupitia CMIS utaweza kuhifadhi taarifa za kila mahudhurio ya washirika kwenye kila ibada

9. Utafutaji wa taarifa ni rahisi zaidi kuliko taarifa zilizo hifadhiwa kwenye vitabu au MS Excel

10. Taarifa zote zinazotunzwa kwenye CMIS haziwezi kupotea kwa kuwa zinahifadhiwa mtandaoni hivyo utazipata tena hata baada ya computer yako kupata tatizo

11. CMIS inauwezo wa kutumika ikiwa offline na taarifa zitajituma zenyewe kwenye server mara tuu ukiiunganisha na mtandao
Kwa sasa mfumo huu umetengenezwa kama program kwaajili ya Computer zinazotumia Windows

Sasa nahitaji makanisa/wadau ambao watakuwa tayari kuujaribu mfumo huu na kutoa maoni yenye lengo la kuuboresha zaidi. Hivyo, unaweza download hapa https://vps3169.ultahost.com/CMIS v2.zip kisha Unzip na fungua program iliyopo ndani ya folder lililoandikwa CMIS.

Ahsanteni

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom