media

  1. Media za Tanzania hazina uwezo wa kujitengenezea vipaji ?

    Imebidi niulize , maana huko waendako wanaelekea kulogana , B Dozen kang'olewa Clouds na sasa Musa Husein naye yuko mbioni . Hivi haiwezekani media hizi zikafanya kazi na watangazaji wapya kabisa na zikatoboa ? hii tabia ya kupora watangazaji kwa kuwaongeza dau imetokea wapi ?
  2. Angalia hapa:Watanzania tunamuabisha Samatta na kuiaibisha nchi

    Haya mambo ndo yanaiweka nchi kwenye lowest IQ countries sasa hebu Soma hii post ya cafonline eti wabongo wamejibu "Samattaa"
  3. Ni lini CCM itainunua Clouds Media Group kuwa Chombo chake cha Propaganda au ni lini Clouds Media Group itakuwa Msaidizi wa TBC1 na Taifa?

    Najua Wahusika muhimu wa Chama na Serikali wapo sana hapa Jamvini JamiForums hivyo Mzukulu nitapata Mrejesho wangu hasa na niridhike.
  4. The history behind success of Dr Osei Kwame a Ghanaian media tycoon

    Osei-kwame, also known as Despite, is a level-headed businessman with a very good background in music production and knows the broadcasting industry like the back of his palm. Osei-Kwame is the owner of the Despite Company Ltd which is a trading company and with subsidiaries in the media...
  5. Msaada mwenye software ya VLC Media

    Wandugu mwene software ya VLC Media anisaidie kama anayo hapa nimejaribu kudownload kwa simu kisha kuicopy kweny PC inakataa. Kama kuna mwenye nayo aiweke hapa tafadhali..
  6. H

    Online media, acheni hii tabia

    Kumekuwa na tabia ambayo ni very common haswa kwenye hizi online media sio zote lakini asilimia kubwa ya kuandika kichwa Cha habari ambacho akiendani na content ya hiyo video na imekuwa Kama fashion unaweza kukuta kichwa Cha habari kinasema "Country Boy amtolea kauli chafu Ommy Dimpoz" ukifungua...
  7. Clouds Media, kuweni makini na kujiingiza kwenye siasa. Mtasuswa na watanzania!

    Joseph Kusaga ukitaka kujua kwamba CCM ina wenyewe rudi nyuma miaka zaidi ya 25 iliyopita wakati ule unapiga Disco coco beach ukiwa na DJ Bonny love, ilikuwa ikifika saa 6 balozi Ammy Mpungwe anaagiza polisi kuja kuzima disco lile lilojaza vijana kibao huku wakicheza kwa amani na utulivu, Hawa...
  8. See the hypocrisy of Kenyan media on balanced reportage

    Why Tanzania, Kenya trade ties blow hot and cold The price of Tanzania’s onions imported by Kenyan traders keep shifting. It increased from Sh108 per kilo in February this year to Sh118 in April due to logistical challenges posed by coronavirus testing at the Kenya-Tanzania borders. When...
  9. Media ndio zimeisusa corona?

    Ukiachana na media za tanzania,hata media za nje ya nchi pia habari kuhusu corona zimepotezewa na sio dili tena?je corona imeisha?
  10. Marekani: Trump atishia kufunga mitandao ya kijamii nchini Marekani

    Donald Trump anatarajia leo Alhamisi kutia saini kwenye agizo linalolenga mitandao ya kijamii, maafisa wa Ikulu ya White House wamesema, saa chahe baada ya rais huyo kutishia kudhibiti au kufunga makampuni ya mitandao yote ya kijamii, akiyatuhumu kujaribu kuzuia uhuru wa kujieleza. Wawakilishi...
  11. Comments za wanugu kwenye social media accounts za celebrity wao

    Wanugu hawataki kabisa kushughulisha akili zao hata kwenye mambo simple kabisa. Celebrity mnugu kaweka caption yake ambayo inahusu masuala nyeti yanayo gusa maisha ya wanugu nchini Marekani. . Comments za wanugu: 1. ,πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ€—πŸ˜˜πŸ˜… 2. 😁😁😁😁😁😁 3.πŸ˜—πŸ˜—πŸ˜—πŸ˜—πŸ˜—πŸ˜— 4.πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€— 5.🀩🀩🀩🀩 6.πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰ 7. πŸ˜‰πŸ€©πŸ€—πŸ˜—πŸ˜…πŸ˜˜πŸ˜™πŸ˜πŸ˜ Kuna mtu...
  12. GE2020 CHADEMA mnarudia Makosa ya 2015

    Nakumbuka Maxine Mello akitoa tathmini juu ya mchango wa media katika uchaguzi 2015 aliweka wazi kuwa CCM Ilitawala media na kusambaratisha wapinzani. Kuelekea October 2020 sijaona juhudi za dhati za chadema Kukamata kiungo yaani media. Japo ilionekana kuzidiwa na CCM Chadema walikuwa na nguvu...
  13. Corona: "Media tunakufa kizungu na tai shingoni!", asante Waziri Mwakyembe kutambua mchango wetu. Serikali/jamii please do something, tutakwisha

    Wanabodi, Hili ni bandiko la kuizindua serikali na Jamii, kuikoa sekta ya media, katika hii vita ya janga la Corona, japo sisi waandishi wa habari ni wadau muhimu sana katika vita hii kama ilivyo kwa madakari, manesi na wauguzi, lakini kiukweli sisi waandishi wa habari, haswa ma freelances, na...
  14. H

    Wasafi media leo watafanya tukio kubwa

    Mkurugenzi na CEO wa Wasafi media Diamond Platnumz amethibitisha leo kutakuwa na press pale Wasafi head quarter kwa kampeni inaitwa " Chuma kimeingia" .Tukio Hilo litarushwa kuanzia saa 5 Asubuhi wasafi tv, Wasafi FM na Channel yao ya YouTube Wasafi media haijulikani nikutambulisha mtangazaji...
  15. C

    Kupost kwenye Social Media

    Wakuu habari za jumapili Niende moja kwa moja kwenye mada husika Kuna hawa watu ambao wanaweza wakawa labda ni ndugu au rafiki,yaani unakuta mtu yupo addicted kupost maisha yake yote kwenye hii mitandao ya kijamii Yaani mpaka unajikuta maisha yake unayajua kwa asilimia kadhaa kwa sababu ya...
  16. Jinsi "Tone Radio" ilivoibomoa "Sahara Media Group" mpaka leo inachechemea

    Wanasema zubaa uchekwe na Ujanja ni kupata/kuwahi, Unaweza ukawa uliisha isikia redio inaitwa TONE RADIO (TONE MEDIA COMPANY) Hawa jamaa waliibuka mnamo mwaka 2012 wakiwa na namna ya urushaji wao wa matangazo kwa njia ya mtandao (online), hawa walikuwa wanapatikana Kijitonyama Tone House Umoja...
  17. Diamond unapondwa lakini naona Wasafi Media zimewakaba koo watesi wako. Rekebisha mapungufu machache tuizike Clouds

    Mtoto wa Tandale kwa namna mambo yalivo pale Wasafi Media naona kama wiki mbili zilizopita mpaka Clouds Media wakapata mtikisiko na wakaja na visegment vya hovyo sijui eti wanavunja sheria mjengoni, yote hiyo walikuogopa kwa ujio wako kwenye media ila fanya haya kama utaona yana tija ili tuzidi...
  18. COVID19 ya kwenye Social Media inatisha zaidi

    Great Thinkers, Kama kawaida, tulio na bundle za mitandao tunajikuta tuna information nyingi zaidi za COVID19, na zinatisha. Ila wasiokuwa na access na social media wala hawana habari wanaendelea na maisha kama vile ni ugonjwa wa kawaida. Kuanzia kesho siingii tena social media kwa siku 21...
  19. Kampuni ya Jamhuri Media Limited, kupunguza asilimia 50 ya wafanyakazi ili kuinusuru isianguke

    Kampuni ya Jamhuri Media Limited, wachapishaji wa Gazeti la Uchunguzi JAMHURI inapenda kuufahamisha umma kuwa katika kikao cha pamoja kilichofanyika Aprili 29, 2020 kati ya wafanyakazi na mwajiri; tumekubaliana kupunguza asilimia 50 ya wafanyakazi kwa utaratibu maalum kuepusha kampuni isianguke...
  20. Tuliambiwa kuwa kufikia wiki ya pili hali itakuwa hatari hii nayo wiki ya pili inaisha hali iko kawaida kweli media ni kansa ikitumika vibaya

    Kuna wazungu Fulani na waimba mapambio walikuwa wanasema wiki mbili zijazo hali itatisha Leo ni ijumaa lakini tunadunda tu kama kawaida wiki ya pili inaisha wagonjwa hata 1000 hawajafika . Kuna Mrs Billgate yeye aliongea kuwa tutakuwa tunaokota maiti mitaani lakini wiki ya pili inaisha hali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…