Tuliambiwa kuwa kufikia wiki ya pili hali itakuwa hatari hii nayo wiki ya pili inaisha hali iko kawaida kweli media ni kansa ikitumika vibaya

Corticopontine

JF-Expert Member
Sep 20, 2019
448
1,000
Kuna wazungu Fulani na waimba mapambio walikuwa wanasema wiki mbili zijazo hali itatisha

Leo ni ijumaa lakini tunadunda tu kama kawaida wiki ya pili inaisha wagonjwa hata 1000 hawajafika
.
Kuna Mrs Billgate yeye aliongea kuwa tutakuwa tunaokota maiti mitaani lakini wiki ya pili inaisha hali iko kawaida

Kuna wakati ujuaji wa wanadamu hukwama kwa uwezo wa mwenyezi Mungu

Watu wajifunze kuwa kuna Mungu aliyewaumba na ndiye mtetezi wa wote kwenye shida na raha
 
Come27

JF-Expert Member
Dec 1, 2012
5,719
2,000

Wazungu wanatamani walete sanitizer na vifaaa vyenye Corona ili wafanikishs mawazo yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Oct 23, 2013
8,988
2,000
Kuna wazungu Fulani na waimba mapambio walikuwa wanasema wiki mbili zijazo hali itatisha

Leo ni ijumaa lakini tunadunda tu kama kawaida wiki ya pili inaisha wagonjwa hata 1000 hawajafika
.
Kuna Mrs Billgate yeye aliongea kuwa tutakuwa tunaokota maiti mitaani lakini wiki ya pili inaisha hali iko kawaida

Kuna wakati ujuaji wa wanadamu hukwama kwa uwezo wa mwenyezi Mungu

Watu wajifunze kuwa kuna Mungu aliyewaumba na ndiye mtetezi wa wote kwenye shida na raha
Wee mama ni pumbavu kabisa..
Wale wagonjwa waliokimbia jana Amana kwa kukosa huduma kwako ni kawaida eehh?
Wagonjwa wanatoa maiti wao wenyewe wodini kwa kukosa wahudumu kwako ni normal kabisa..!?
Lofa wewe.
 
G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
10,666
2,000
Kuna wazungu Fulani na waimba mapambio walikuwa wanasema wiki mbili zijazo hali itatisha

Leo ni ijumaa lakini tunadunda tu kama kawaida wiki ya pili inaisha wagonjwa hata 1000 hawajafika
.
Kuna Mrs Billgate yeye aliongea kuwa tutakuwa tunaokota maiti mitaani lakini wiki ya pili inaisha hali iko kawaida

Kuna wakati ujuaji wa wanadamu hukwama kwa uwezo wa mwenyezi Mungu

Watu wajifunze kuwa kuna Mungu aliyewaumba na ndiye mtetezi wa wote kwenye shida na raha
Hivi kwa akili zako hizi unaweza kweli kuongoza familia?
 
TuntemekeSanga

JF-Expert Member
Jan 15, 2015
1,235
2,000
Kuna wazungu Fulani na waimba mapambio walikuwa wanasema wiki mbili zijazo hali itatisha

Leo ni ijumaa lakini tunadunda tu kama kawaida wiki ya pili inaisha wagonjwa hata 1000 hawajafika
.
Kuna Mrs Billgate yeye aliongea kuwa tutakuwa tunaokota maiti mitaani lakini wiki ya pili inaisha hali iko kawaida

Kuna wakati ujuaji wa wanadamu hukwama kwa uwezo wa mwenyezi Mungu

Watu wajifunze kuwa kuna Mungu aliyewaumba na ndiye mtetezi wa wote kwenye shida na raha
Aya mambo magumu ndugu. Ni silika ya binadamu kutomtakia jema mwenzake. Ko watu hao nikuwapuuza, kuendelea kuchukua tahadhari na kumwomba Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The golden

JF-Expert Member
Sep 11, 2018
1,048
2,000
Sisi ndio tutakaoishangaza dunia, yaani huu ugonjwa limekuwa suala la kisiasa tena?, chuki ni kitu kibaya sana. Watanzania kwa sasa tunachukiana mno.
Kuna haya manyumbu ya ufipa ni bure kabisa,!

Yanapata hasira kweli yakiona hali haiwe kama yanavyotaka iwe!

Angalia kama hilo li mengele

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom