media

  1. GIRITA

    JamiiForums Tanzania Wasafi TV inabidi mkajifunze kwa Clouds TV namna ya kurusha vipindi mubashara

    Hii media imekuja kwa kasi sana, kweli mmeweza kukamata pakubwa kwenye tasnia ya habari mawasiliano na burudani. Lakini bado mnasafari ndefu sana kufikia media zilizotangulia, msijione mnaweza kufika 10 kabla ya kuanza 1, ni vema kujifua zaidi kupata maujuzi kabla ya kuanza kufanya mambo ambayo...
  2. Leak

    JamiiForums Tanzania Ugomvi wa WCB na media, Wakazi amtaka Babu Tale kutotumia dini kuficha maovu yake. Aahidi kumuanika asipo sema ukweli

    Wasalaam, Wakazi amemtaka Babu Tale kusema ukweli kuhusu ugomvi wa Diamond na baadhi ya media kuliko kujificha nyuma ya dini . Namnukuu wakazi kupitia ukurasa wake wa instagram "Ndugu @babutale kama umeamua kufunguka kuhusu machafu yanayotokea nyuma ya pazia kwenye tasnia, BASI FUNGUKA... Ila...
  3. U

    JamiiForums Tanzania TANZIA Thamra Kassimu wa Kampuni ya Azam Media Limited afariki dunia

    Tunatoa pole nyingi kwa familia === Uongozi wa Azam Media Limited, unasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi wake Thamra Kassim, kilichotokea mapema leo Dar Es Salaam.Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un.
  4. askofu rashid

    JamiiForums Tanzania Nataka nikae mbali na Social Media kuepuka siasa,nataka nianze utaratibu wa kusoma vitabu

    Asee nimekua rafiki sana wa mitandao ya kijamii tangu mwaka 2009 lakini naona hakuna kitu nimegain zaidi ya concentration yangu kuwa katika vitu visivyokuwa na maana. Kama niliweza kushinda jaribu la kupiga punyeto na kuangalia porn nadhani nitashinda. Nilichogundua mambo mengi tuyaonayo...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Clouds Media imepoteza mvuto

    Naona kabisa moja Kati ya redio iliokuwa na power Sana kwenye enteinment Ni hii.Ukiangalia miaka ya nyuma ukipita nyumba 7 basi Kati ya hizo 5 utakuta zinasikiliza clouds fm ila kwasasa hiv Hali ya imebadilika clouds imepata ushindani mkubwa kutoka Wasafi media na Efm ila hasa hasa Ni Wasafi...
  6. Superbug

    JamiiForums Tanzania Media za Tanzania zinaweza kufa kipindi hiki cha miaka mitano ya CCM

    Nazipa pole media za Tanzania hasa zile zisizopokea ruzuku ya serikali zinaweza kufa kibudu. Sababu hivi nani atanunua magazeti ya kusifu na kuabudu ayasome sasa hivi. Kama mlipigwa pini mitano iliyopita na mkaona sawa mkidhani adui yenu ni Lissu basi andikeni mmeumia maana ukosoaji kwasasa...
  7. Barbarosa

    JamiiForums Tanzania Watanzania bhana, tuwaoga sana tunaogopa Mainstream media sana, tubadilike tuone normal!

    Bongo yetu hata kimemo tu kikitoka kwenye Ofisi ya Ubalozi ya Muzungu tunaanza kutafutana, mtu akiandika maoni yake kuhusu nchi yetu kwa jinsi aonavyo yeye kwenye Magazeti ya Muzungu tena hata siyo main page kwenye vijikurasa vya ndani huko nchi nzima tunatetemeka na kuanza kujadili, I mean hivi...
  8. kidadari

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari Tanzania vinakwama wapi kwenye habari za Kimataifa?

    Katika taarifa za habari za kimataifa vyombo vya habari vya Tanzania viko nyuma sana. Ni kawaida kuangalia taarifa ya habari na kusiwepo habari za kimataifa hata kama kuna matukio makubwa yametokea duniani. Star Tv kidogo wanajitahidi kutoa habari za kimataifa nazo kuna kipindi zinasua sua au...
  9. TOHATO

    JamiiForums Tanzania Maisha bila Social Media yatawezekana?

    Tangu tarehe 27/10/2020 Kilichokuwa kinaendelea ni kuminywa (kufungwa) kwa mitandao ya kijamii. Swala ambalo limehusishwa na uchaguzi kwa namna moja au nyingine. Ila chaajabu ni kwamba hawajafungia Internet, maana yake ni kuwa waeza kutumia bando lako kwenye maswala mengine ila sio Social...
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Trump kushinda, Tazama video za nyomi la wapiga kura wa Trump. Media hawataki uzione

    Ni juzi tu Rais Trump kapata nyomi la watu elfu 57 lakini hutakuja kusikia CNN wala MSMBC, n.K wakiripoti hivi vitu. Kwa ukweli ni kwamba Wamarekani wenggi wameacha kufatilia main stream media, watu wengi wanaofatilia hizi media ni raia wa nje ya marekani wakiwemo Watanzania wa humu Jamii...
  11. Magazetini

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

    Watumiaji wa mtandao wa twitter, Telegram, wanashindwa kupata huduma hiyo kupitia kampuni ya simu ya Vodacom. Tatizo hilo limeanza siku ya leo. PIA SOMA = > Leo Mitandao ya kijamii Tanzania Bara imekuwa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter na Telegram zimeguswa
  12. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, tunaomba ufanye interview na media. Usikae tu baba, mataifa wanahitaji kukusikia

    Hili ni ombi langu kwa Rais John Joseph Pombe Magufuli, tunahitaji kusikia unaongea ma media iwe BBC, Aljazeera au Sauti ya Amerika au media za hapa ndani. Toka umeingia madarakani hatujasikia ukiongea nao ili utupe maono yako na ujibu maswali mbalimbali ambayo tunahitaji kujua. Ahsante kwa...
  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Achana na fake media, cheki hapa msafara wa magari 40,000 ya wafuasi wa Trump

  14. Zitto

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto: Kura yangu nafasi ya Urais nitampigia Tundu Lissu (CHADEMA)

    MSIMAMO RASMI WA ACT WAZALENDO KUSHIRIKIANA NA CHADEMA. Hivyo basi, baada ya maelezo hayo, natangaza rasmi kwa Wanachama, Wafuasi, wapenzi wa ACT Wazalendo na Watanzania kwa Ujumla, kuwa: 1. Pale kwenye Kata ama Jimbo ambalo ACT Wazalendo tuna Mgombea, tunaomba Muwapigie Kura wagombea wa ACT...
  15. CHADEMA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
  16. pingli-nywee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Human Rights Watch: Freedoms in Tanzania threatened ahead of elections as authorities crack down on Opposition Parties, Rights Groups, Media

    Human Rights Watch, shirikika la kimataifa la kutetea haki za kibinadamu, limeiangazia Tz kuhusu ukiukwaji wa haki za kibinadamu kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba. HRW inadai kwamba kwa muda wa miezi mitatu iliyopita wanachama wa upinzani 17 na watanzania wengine waliokashifu serikali...
  17. Breaking bad

    JamiiForums Tanzania Diva Thee Bawse aikacha Clouds Media

    Bila kutaja sababu, kupitia ukurasa wake wa instagram diva the bawse ametangaza rasmi kuacha kazi. Ameandika hivi:
  18. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Psychological Fact: Why are those who spend much of their free time (after work) on social media platforms, less talkative in real life environment?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Sio kila siku tunapaswa kuandika, kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya kizungu kama Cold War, jeshi na ujasusi wa KGB, CIA na Mossad. Leo ngoja tujadili kidogo masuala ya kimaisha katika jamii zetu hizi tunamoishi. Ndugu zangu...
  19. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyan journalists Making it Big in International Media

    From Left: Larry Madowo (BBC World), Edith Kimani (Deutsche Welle) and Sophie Ikenye (BBC). KENYANS.CO.KE Kenyan TV anchors are household names in their own right as the country tunes in to watch them presenting news during prime time hours. Some have gone on to make a mark in international...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji wa Wasafi media azawadiwa gari na uongozi wake

    Mtangazaji wa Wasafi media aaliyah Mohamed azawadiwa gari na uongozi wake kwa kuonesha ufanisi mkubwa wa kazi.Ikumbukwe kuwa aaliyah ndiye mtangazaji wa kwanza kuajiliwa na Wasafi media na kabla ya hapo alikuwa anafanya kazi pale palipokuwa Ni office ya WCB label sinza .Baada ya kuonwa vizuri na...
Back
Top Bottom