mchakato

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. happyxxx

    JamiiForums Tanzania Mama katangaza mchakato wa katiba mpya; Tanzania yote ina furaha

    Ni furaha kila kona wapinzani wamejaa furaha CCM wamejaa furaha watanzania wote tumejaa furaha. Mama katangaza mchakato wa katiba mpya uanze. Aliyenuna sisi hatuna cha kumsaidia. Mwisho wa siku wawakilishi wetu bungeni watatupatia katiba iliyo bora. Hatutegemei wasiotutakia mema nchi yetu...
  2. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amemuagiza Msajili wa Vyama vya Siasa kuitisha kikao maalum cha Baraza la Vyama vya Siasa kuhusu kuanza kwa mchakato wa Katiba Mpya

    Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhes. Samia Suluhu Hassan amemuagiza Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Mutungi, kuitisha kikao maalum cha Baraza la Vyama vya Siasa. Lengo ni kuwashirikisha wadau katika kutathmini utekelezaji wa mapendekezo ya Kikosi Kazi kilichokuwa kikiratibu maoni ya...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa Twiga Cement Kuinunua Tanga Cement Uwekwe Wazi ili Kuondoa Malalamiko

    MHE. TIMOTHE MNZAVA - MCHAKATO WA TWIGA CEMENT KUINUNUA TANGA CEMENT UWEKWE WAZI KUONDOA MALALAMIKO Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini, Mhe. Timotheo Paul Mnzava leo Bungeni wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara amesema Mchakato wa Kampuni ya Twiga Cement...
  4. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Victor Kweka: Bajeti ya Mwaka Huu Haina Fungu la Mchakato wa Katiba Mpya

    HOTUBA YA WAZIRI KIVULI WA KATIBA NA SHERIA-ACT WAZALENDO NDG. VICTOR KWEKA KUHUSU MPANGO WA BAJETI WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/24. Utangulizi. Jana tarehe 25 April 2023 Wizara ya katiba na sheria iliwasilisha hotuba ya bajeti kwa mwaka wa fedha 2022/23. Bunge...
  5. econonist

    JamiiForums Tanzania Tusirudie tena Makosa Kwenye mchakato wa Katiba Mpya

    Waziri wa katiba na sheria ameshatangaza rasmi kwamba mchakato wa katiba mpya utaanza mwezi wa Saba mwanzoni. Nilikuwa na ushauri kwamba makosa yaliyopelekea mchakato wa katiba mpya mwaka 2014 kukwama yasijirudie. Nimeanisha makosa Kama yafuatayo: 1. Tume ya katiba ndio ipewe mamlaka ya...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: 26.4% ya Watanzania wanaishi chini ya kiwango cha umasikini wa kipato

    Dkt. Philip Mpango, Makamu wa Rais wa Tanzania amesema “Malengo makuu ya dira ya Mwaka 2025, Maisha bora kwa kila Mtanzania, Kudumisha amani, usalama na umoja katika Nchi, Utawala bora, Jamii iliyoelimika vyema na inayojifunza, tano ni uchumi imara na shindani.” Pamoja na hatua kubwa ambayo...
  7. Webabu

    JamiiForums Tanzania Argentina yaanza mchakato kuvidai tena visiwa vya Falklands kutoka Uiengereza

    Waziri wa mambo ya nje wa Argentina Santiago Cafiero amesema tayari ameshamjulisha mwenzake wa Uiengereza James Cleverly nia ya nchi yake kujitoa kwenye mkataba wa mashirikiano uliosainiwa mwaka 2016. Wakati wa utawala wa Margret Thatcher nchi hizo mbili ziliwahi kupigana mwaka 1982 kuhusiana...
  8. OLS

    JamiiForums Tanzania Kama vitambulisho vya NIDA havifanyi kazi, tusitishe mchakato huo

    Je, vitambulisho hivi kazi yake ni nini? Kwanini vinaonekana ni muhimu kwa wananchi na sio kwa serikali kiasi cha serikali kuleta uzembe wa utoaji wa vitambulisho hivi? Nilidhani NIDA ingewezesha mambo haya Kwanza niseme nilipongeza mchakato huu na nilikuwa wa kwanza kupanga foleni kipindi kile...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Chadema jifunzeni Kenya Tume Huru ya Uchaguzi inavyopatika. Ruto ateua Watu 7 kuanzisha Mchakato na kumpeleka Majina kwa Uteuzi!

    CHADEMA wamekuwa wakiitolea mfano Tume ya Chebukati (IEBC) kama mfano wa Tume Huru ya Uchaguzi bora kabisa barani Africa. Chebukati na baadhi ya makamisha muda wao umekwisha hivyo Rais Ruto ameunda timu ya watu 7 kuanzisha Mchakato wa kupata Watendaji wapya wa IEBC. Kikosi Kazi hicho...
  10. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe, lijulishe Taifa mchakato uliotumika kuwapata vijana 812 wanaokwenda kwenye mafunzo ya kilimo yatakayozinduliwa na Rais Samia

    Sina mengi ya kuuliza ninataka kujua utaratibu ulio TUMIKA kuwapat vijana 812 ambao wanatarijiwa kwenda kupewa mafunzo ya kilimo? Ukiweza type data ni wangapi. Waliomba na wangapi wamechukuliwa n wangapi wameachwa na. Sababu za kuwaacha walio achwa ni zipi? Msingi wa swali langu ni huu, Taifa...
  11. adriz

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa kubadilisha combination na shule kwa waliomaliza kidato cha Nne mwaka huu umeanza tayari

    Habari za mchana Wana Jf. Kuna mdogo wangu amefaulu kidato cha Nne nataka nimbadilishie shule na combination alizochagua awali huko Shuleni baada ya yeye kuja na mapendekezo mapya Muda sasa tokea mwaka 2018 umekuja utaratibu mpya wa online unao muwezesha mwanafunzi kubadilisha shule ...
  12. Just Distinctions

    JamiiForums Tanzania Mliopangiwa kazi Serikalini kupitia Mchakato wa 'Database' ya Utumishi, njooni mtoe Experience yenu

    Habari za wakati huu, suala la kusaka ajira za serikali haijawahi kuwa jambo rahisi kwa wale ambao hawana kazi hata wale ambao wapo kwenye private ila wanataka kuingia serikalini kwa ajili ya security na vitu kama hivyo. Uchache wa nafasi hufanya wengi wafunge safari hivyo hivyo kwenda Dodoma...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Hatua ya Pili ya Mchakato wa Ajira ni Kuandaa Tangazo la Kazi

    - Tangazo la kazi huandaliwa kwa kuzingatia sifa kwa mujibu wa Muundo wa kada husika uliowasilishwa na Mamlaka ya ajira husika. - Tangazo pia huzingatia masharti ya jumla yanayotolewa na Sekretarieti ya Ajira ambayo yanatafsiri Sera, Sheria Kanuni na Miongozi mbalimbali inayohusu michakato ya...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya mchakato wa ajira?

    Mchakato wa ajira ni utaratibu wa kupata mtumishi wa kumwajiri. Mchakato huu unaanza katika hatua ya kupata kibali cha ajira, kutoa tangazo la ajira, kupokea maombi ya kazi,kufanya uchambuzi wa waombaji kazi ili kupata wale waliokidhi vigezo, kuita waombaji katika usaili, kuendesha usaili...
  15. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Teknolojia ya Digitali Yanaifanya Elimu Kuwa Mchakato wa Kufurahisha

    Mifumo ya Elimu kwa Karne hii ya 21 inapaswa kutambua kwamba tunaishi katika mazingira yanayozidi kuwa ya kiteknolojia. Ubunifu na maendeleo ya kiteknolojia yanaendelea kubadilisha namna tunavyowasiliana, kufanya kazi na kuishi. Hata hivyo, wanafunzi wengi nchini Tanzania bado hawapati ujuzi wa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa Ajira katika Utumishi wa Umma

    Ajira ni Mchakato ambao una hatua mbalimbali mpaka kumpata mtumishi wa Umma anayefaa. 1. Hatua ya awali kabisa ni kupokea Kibali. Kuna vibali vya aina mbili ambavyo hupokelewa kutoka Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi kwa ajili ya kuendesha mchakato wa Ajira kwa niaba ya Waajiri. Vibali...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Machinga Kariakoo walalamika kutoshirikishwa katika mchakato wa kupata EFD

    Mkuu wa Machinga eneo la Kariakoo, Steven Lusinde amesema zoezi la kuwapatia mashine za EFD wamachinga walioko maeneo ya Kariakoo linatekelezwa bila kuwashirikisha bali wamepewa taarifa na Mamlaka ya Mapato (TRA) kuwa wanatakiwa kupewa mashine hizo za kikodi. "Niseme ukweli kwamba jambo hili...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Sakata la behewa na vichwa vya treni vilivyotumika: Iundwe Tume Huru kuchunguza mchakato mzima wa manunuzi

    Kwa yanayoendelea kuhusui sakata hili(mchakato wa manunuzi), ni vema ikaundwa Tume Huru kuchunguza mchakato mzima ulivyofanyika. Watanzania tunataka kujua kama sheria husika zilifuata na kama bei ni halali kulingana na mali ilioyonunuliwa. Kuna mambo tunasoma mitandaoni mpaka tunabaki midomo...
  19. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nipo kwenye mchakato natemgeneza swahili translation file kwa xenforo forum owners

    .
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Waathirika ajali ya Precision Air waanza kulipwa fidia kwa siri

    Ikiwa zimepita siku saba tangu kutokea kwa ajali ya ndege ya Shirika la Precision Air na kusababisha vifo vya watu 19, shirika hilo limeanza mchakato wa malipo ya fidia kwa familia zilizoathiriwa na ajali hiyo. Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatatu Novemba 14, 2022, Mkurugenzi wa...
Back
Top Bottom