Anayejua mchakato wa nyongeza ya mshahara 2023/2024 kwa kuwa kima cha chini kimetajwa kutoka 300,000/- Hadi 370,000/-

Mama Edina

JF-Expert Member
Dec 18, 2022
747
1,816
Naomba wale wataalam wa kimahesabu watuchakatie tujue makisio ya ongezeko la mshahara mwaka 2023/2024

Tukiwa kwenye majukwaa kama hivi si mbaya kujua Kwa sababu iliishatangazwa kianzio kutoka 300k-370k TSH.

Rejea hotuba ya waziri wa fedha bungeni.

Sasa tujie hizi

Naomba kuwasilisha
 
Nikisema itakua lamli sina uhakika,

Ila kuna jamaa kutoka ofisi flani Basic alikua anachukua 750K na wamepewa barua mzigo kuanzia mwezi wa 7 ni 1.1 Mil. Basic Kwa level ya Bachelor.

Yupo Dodoma.

Naomba wale wataalam wa kimahesabu watuchakatie tujue makisio ya ongezeko la mshahara mwaka 2023/2024

Tukiwa kwenye majukwaa kama hivi si mbaya kujua Kwa sababu iliishatangazwa kianzio kutoka 300k-370k TSH.

Rejea hotuba ya waziri wa fedha bungeni.

Sasa tujie hizi

Naomba kuwasilisha
 
Naomba wale wataalam wa kimahesabu watuchakatie tujue makisio ya ongezeko la mshahara mwaka 2023/2024

Tukiwa kwenye majukwaa kama hivi si mbaya kujua Kwa sababu iliishatangazwa kianzio kutoka 300k-370k TSH.

Rejea hotuba ya waziri wa fedha bungeni.

Sasa tujie hizi

Naomba kuwasilisha
Siti ya dirishani kabisa
 
Mwalimu upo frustrated sana... hiyo ni mwaka jana ilitoka 300 to 370K kima cha chini!!

Pole sana kama nakuona ulivyojaa mawazo kisa mikopo.
 
Naomba wale wataalam wa kimahesabu watuchakatie tujue makisio ya ongezeko la mshahara mwaka 2023/2024

Tukiwa kwenye majukwaa kama hivi si mbaya kujua Kwa sababu iliishatangazwa kianzio kutoka 300k-370k TSH.

Rejea hotuba ya waziri wa fedha bungeni.

Sasa tujie hizi

Naomba kuwasilisha

Mama Edina, mimi nakuombea kwa Mungu ufunguke, Yani siku 25 unafanya kazi kwa kudamka and mwisho unapata 380,000?

Kweli ukijipanga sokoni vizuri, kwa sala, na maombi, ukauza hata viazi, unatoa 450,000 kwa mwezi.

Hivi umpe mtu 380,000 kwa mwezi hapa Dar es salaam, binti ajaolewa, analea ndugu, wazazi, maisha sio fair.
 
Mama Edina, mimi nakuombea kwa Mungu ufunguke, Yani siku 25 unafanya kazi kwa kudamka and mwisho unapata 380,000?

Kweli ukijipanga sokoni vizuri, kwa sala, na maombi, ukauza hata viazi, unatoa 450,000 kwa mwezi.

Hivi umpe mtu 380,000 kwa mwezi hapa dar es salaam, binti ajaolewa, analea ndugu, wazazi, maisha sio fair.
Angalia isije kuwa unasema hivyo halafu wewe huna hata huo mshahara kwa mwezi wala income yoyote, kama yule mwingine aliyekuwa anajimwambafai humu kumbe anatamani ajira

Kwasababu hii ni JF bhana
 
Nimeacha ajira ya over 1.5m net kabla ujazaliwa. Ninasema ninachojua, Ndo maana walimu wanakufa maskini.

380,000 mjini, nauli, chakulq, na kila kitu, umuweka mtu mzima kutwa na foleni, anaishije?

NOTE: Kabla ujazaliwa, wakati ndo Baba yako anaenda lipa mahari aliyokopeshwa na Mama yako ambayo mpaka leo ajalipa.
 
Acha uhaya wewe

Pia acha panic, Upo tayari unitumie evidence ya income yako at least kwa 3 months continuously na Mimi nikutumie via PM?

Tuache kuandika sana humu haisaidii zaidi ya prejudice + Pride tu
 
Nimeacha ajira ya over 1.5m net kabla ujazaliwa. Ninasema ninachojua, Ndo maana walimu wanakufa maskini.

380,000 mjini, nauli, chakulq, na kila kitu, umuweka mtu mzima kutwa na foleni, anaishije?

NOTE: Kabla ujazaliwa, wakati ndo Baba yako anaenda lipa mahari aliyokopeshwa na Mama yako ambayo mpaka leo ajalipa.
.....ujazaliwa❌
...hujazaliwa✔️
...ajalipa❌
....hajalipa✔️
.....umuweka 🙄
Ndo❌
Ndiyo...✔️
....maskini❌
....masikini✔️
 
Back
Top Bottom