mbwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mawematatu

    JamiiForums Tanzania Namna ya kujilinda na wezi wanaovamia kama kundi/wanaoandamana kama mbwa mwitu

    Wizi ni kitu kibaya Sana, si jambo zuri na nisomapo masuala yanahusiana na uvamizi huu napata ganzi. Kwa waliowahi kuvamiwa wakalazimishwa kutoa Mali zao na Fedha ama kitendewa vitendo vya ubakaji na ulawiti, wamama wajawazito kufanyiwa ushenzi waulawiti na wanaume kulawitiwa pia Wana...
  2. B

    JamiiForums Tanzania KIBOSHO: Askari wanaofanya operesheni ya kuua mbwa waua Binadamu,baada ya mbwa alielengwa kukwepa

    Tukio limetokea usiku huu,maeneo ya KIBOSHO kindi, ambapo mtu mmoja anaefahamika kwa jina la Munishi, Afariki dunia baada ya kupigwa risasi ya kifua ktk operesheni ya kuua mbwa wanaozurura hovyo inayoendelea huko KIBOSHO. Wamarangu, Wauru,wamachame,waold Moshi,wamasama,warombo tumefiwa huku...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania DIAMOND: Nimekutana na Ex wangu kapauka mbwa yule (remix inakuja)

    Mzee wa Bwaksi akiwa na Zungu Macha wana wimbo wao unaojulikana kwa jina la Kafubaa, mzigo huo wa Singeli unachezwa na kusikilizwa zaidi mitaa ya Uswazi. Habari ni kuwa Staa wa Muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz naye ni moja ya waliouelewa wimbo huo na anataka kuufanyia Remix. “Sisi...
  4. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Mbwa Mwitu na Mwana Kondoo

    SIKU moja mbwa wa mwitu alikuja anywe katika kijito cha maji, akamkuta mwana kondoo mchanga akasimama karibu na kijito. Mbwa wa mwitu akataka kugombana naye apate kumua. Akamwambia, “Mbona unaborugaboruga matope nisipate maji safi?” Kondoo mchanga akamwambia. “Gissi gani nikutilie taka majini...
  5. Natty Bongoman

    JamiiForums Tanzania Mtu mweusi leo kujitambua na kutambua historia yake halisi na ya ukweli ni kazi ya ziada

    Habari zenu wanaJF wenzangu. Kiujumla watu weusi tumeishi 'gizani' kwa karne nyingi. Tumeishi katika mifumo kadhaa iliyolenga kutupeleka huko 'gizani' na kutubakisha huko. Mifumo hii imepitia marekebisho ya kila aina - tokea mifumo ya kutumia nguvu hadi leo kutumia mifumo ya kutufumba macho na...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Parachichi kinahitaji kufuga Mbwa wengi kuepuka maparachichi kukosa walaji

    Nimepanda parachichi miaka kadhaa iliyopita huko kwetu Kusini, soko ikaporomoka parachichi zikaoza nikakosa pa kuzipeleka nikatamani nifuge Mbwa wanisaidie kula yanapoanguka lakini too late Najuta kuacha kulima miti ya mbao nikadamganyika na faida ya parachichi bila kujiuliza Kuna viwanda...
  7. Billie

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kanisave "Mbwa" kwenye simu yake

    Tulikuwa na safari ya kwenda TABORA ambapo ndo kwetu nilipozaliwa sasa tuliamka alfajiri ili tuondoke kumbe first born wangu aliiba simu ya mama yake ambae ni mke wangu jana usiku ili acheze GAME akaenda nayo chumbani mwake ambapo kuna smart TV ambayo ina Account ya NETFLIX na Laptpot na DESKTOP...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Msitu umejaa wawindaji. Miruzi mingi humpoteza mbwa, hata kwa Ndugai tutahama kama ilivyokuwa kwa Polepole.

    Nitarudi baadae, kama wengine hawajanielewa. Nasongea kuangalia Mayele, Fei na wataalamu wa mpira wa Yanga.
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi zilivyo rahisi kupatikana mwakani nategemea kuwatunuku Mbwa na Paka wangu PhD's za Utiifu Kwangu

    Kwakuwa Siku hizi kupatikana kwa PhD's ( Doctorates ) ni rahisi nchini Tanzania mwakani GENTAMYCINE nami najiandaa Kukiomba Chuo Kikuu Kimoja ( siyo cha Genius cha SAUT ambacho nimesoma na Kupikika vyeka ) kuwatunuku ambapo nitalipia pia Mbwa wangu Kipenzi aitwae Baitekon na Paka wangu Rafiki...
  10. pangakali 2

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa mbwa na chakula chake

    Habari za majukumu wanajamvi, Mbwa wangu wamekua na changamoto ya kupoteza afya ikiambatana kunyonyoka manyoya na kupoteza uwezo wa kuona kufikia hatua hadi anajigonga sehem kwa kutoona. Kuna baadhi ya watu wamenambia hawa mbwa aina ya GS ukiwalisha dagaa hio ndio athari yake. Swali langu je...
  11. Saoka

    JamiiForums Tanzania Nimeota nafukuzwa na simba pamoja na mbwa wawili

    Habari wakuu, Usiku nikiwa nimelala niliota nipo porini mwenyewe mara ghafla nikaona mbwa wawili wananikimbilia speed namimi nikaanza mbio kule mbele yupo Simba nae anakuja speed daah kwakweli niliishiwa pozi maana wote walikuwa wamenizunguka sasa hapo nikajikuta nimeshtuka na usingizi wote...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mkija huku Mmelewa, Mnatongoza hovyo, mnatubambikia Bili za Maji na Kutuomba Rushwa mtang'atwa sana tu na Mbwa wetu Wakali

    Wasoma mita wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) wamelalamikia kitendo cha baadhi ya watu kuwanyanyasa kwa kuwafungulia mbwa na kuwafukuza wakati wakitekeleza majukumu yao ya kuandaa ankara za maji. Chanzo: ITV Tanzania Na nimeshanunua Mbwa wengine jana.
  13. Fundi mahiri wa Ujenzi

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua mbwa aina ya bull dog. Ni wapi nitapata?

    Natafuta bulldog Wapi nitapata? Nikikosa bulldog Basi mbwa Kama huyu. Call 0655173113
  14. Morocco forever

    JamiiForums Tanzania Waalgeria watoa Kipigo kingine cha mbwa koko kwa Niger Aggrgate: 10-1

    Aisee,,hawa Algeria wanatafuta nini bandugu!! First game kamdunda NIGER GOLI 6 kwa 1, Marudiano ya leo kamdunda GOLI 4 kwa 0 😁 dahh. very sad NIGER 0-4 ALGERIA, FULL TIME JUMLA YA MAGOLI KATIKA GAME 2 WALIZOKUTANA, ALGERIA 10-1 NIGER POLENI SANA NIGER. Mungu ibariki taifa stars, angalau...
  15. Morocco forever

    JamiiForums Tanzania Kipigo cha mbwa koko: Algeria 6-1 Niger 😆

    Safi sana Algeria kwa kipigo cha mbwa koko dhidi ya Niger, mmepiga pira la kiume mammae kama kawaida yenu, mpira mnaujuwa adi mnakera 😄,, hawa washkaji wanapiga soka acha kabisa bandugu, wanacheza kwa akili nyingi na kwa ushirikiano, unaweza sema hawaishi afrika hawa njemba. Soka lao lakipekee...
  16. kajekudya

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa Mabasi ya SATCO, uliowakabidhi gari ya Kahama-Dodoma wanakuharibia biashaara

    Gari ni Yutong nzuri, gari inasimama kila kituo, inachukua hadi abiria wa buku 2. Wanaenda wanavyotaka, wanaweza wakasimama tu bila sababu ya msingi. Kahama tumetoka saa 12 ndo tunaingia Dodoma hapa. Hakuna abiria ametoka Kahama na hii gari anaweza kuipanda tena hata kwa bure.
  17. C

    JamiiForums Tanzania Hassan Mwakinyo: Nina magari matatu. Moja analitumia kumpeleka mbwa baharini kuogeshwa

    Bondia Hassan Mwakinyo amesema Kwamba hawezi kupigana kugombania gari kwasababu hana shida ya gari kwani ana magari matatu na kati ya hayo kuna moja anatumia kupeleka Mbwa wake Baharini kuogeshwa. Huyo ndo Mwakinyo bwana Mdigo mwenye maneno yake. Bado mnataka apigane na Twaha Kiduku?
  18. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Walichofanya GSM ni kututoa Akili, Kutubagaza na kutuita sisi Manyani na Mbwa

    Leo hii mimi mwenye akili timamu namshangiliaje Haji Manara? Huyu mshenzi ambaye alitutukana kwa kila tusi aliloweza kututukana leo hii sisi wenye akili tubebane naye? Haya ni matusi. Na kutuaminisha alichosema Luc Eymael kuwa ni sahihi...Sisi ni Nyani au Mbwa. Na hili sitokubaliana nalo. Kuna...
  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mbwa amedekezwa sasa ana deka na anadeka tena

  20. J

    JamiiForums Tanzania Mbwa wa Polisi kutumika dhidi ya CHADEMA limetuvunjia heshima Watanzania

    Nimesikitishwa na kitendo cha Polisi kutumia mbwa dhidi ya Chadema. Kwa sisi wenye umri mkubwa kidogo tunakumbuka picha za Polisi wa makaburu wa Afrika Kusini.
Back
Top Bottom