Shirika la Afya Ulimwenguni limesema kuwa halijashangazwa na ripoti ya kwanza iliyotolewa hivi karibuni inayoonesha kuwa mbwa ameambukizwa ugonjwa wa homa ya nyani kutoka kwa binadamu aliyekuwa anaishi naye.
Kwa mujibu wa Dr. Rosamund Lewis, kiongozi wa jopo linalofuatilia kwa ukaribu ugonjwa...
SEHEMU YA I
(Vitu vyote visivyo vya kawaida vina maelezo yake ya kisayansi, maana kufanya hivyo huondoa fumbo lilipo juu yake.)
NB: Makala haya yanaweza kwenda tofauti na unakiamini au Unachokifahamu si mbaya kuongeza kitu KILA KUNDI KATIKA JAMII TOFAUTUTOFAUTU, LINAAMINI KWA NAMNA YAKE, wako...
MAANA YA MBWA KIBIBLIA.
Katika maandiko matakatifu neno Mbwa limetumika likiwa na maana mbalimbali, kama Mbwa mmnyama(marko 7;28) na Mbwa binadamu (ufunuo 22:15) na kadhalika. Neno la mungu linatuambia tujihadhari na mbwa! Wafilipi 3:2 . Je Mbwa ni watu gani kwa mujibu wa maandiko...
Watu werevu na waliofanikiwa zaidi ninaowajua wanatafuta jumuiya kwa bidii.
Wanaajiri makocha, wanajiunga na vikundi vya mitandao rika, huchukua likizo na marafiki na wafanyakazi wenzao, na kujenga jumuiya yao kikamilifu.
Ninasema hivi kama mtu ambaye kijamii amefanya machache kati ya haya...
Habari zenu wana JF.
Pichani hapo jamaa aliekamatwa akichinja mbwa, akiwa na mbwa huyo, ameshamchinja tayari. Akijiandaa kwenda kumchuna na kumkatakata mishikaki.
Wazee wa kupenda mishikaki pili pili, muwe makini na wauzaji wenu. Kuna siku watu wataanza kulishwa na paka aisee.
Upendo ni jambo adhimu sana ambalo sisi wanadamu ni lazima tulifanye, sio tuliongelee tu.
Mbwa ukimwambia I LOVE YOU hawezi kukuelewa. Ila ukimuonyesha upendo atakuelewa sana, na atakupenda pia.
Je, huyo unayemwambia unampenda, je unamuoneshaje huo upendo?
1 KOR 13
Karama ya Upendo...
Salaam,
Hivi majuzi kulitokea taharuki ya ugonjwa uliosababisha sintofahamu kwa wakazi wa Lindi baada ya kusababisha vifo vya watu kadhaa.
Dalili zilizoonekana kwa wagonjwa ilikua ni pamoja na homa kali,kuumwa viungo vya mwili pamoja na kutokwa na damu puani.
Mwanzoni ugonjwa huu haukuweza...
Habari wa kuu, naomba kushea pamoja nanyi maarifa juu ya ugonjwa wa mbwa ambao hua haupewi kipaombele sana na wafugaji wengi. Lakini unaweza pelekea kupoteza maisha ya mbwa endapo hatua stahiki hazitachukuliwa.
Aidha nitakua nikitumia jukwaa hili kushea nanyi taarifa mbali mbali zinazo husu...
Zuchu anaenda kuachia project mpya ya 4-4-2.
Kama kawaida queen huyu wa bongofleva na msanii namba moja wa kike Africa mashariki na kati anaenda kuandika rekodi mpya kama kawaida yake.
Huyu mtoto ni wamoto sana na anaubeba kwa mikono miwili muziki wetu wa Africa mashariki ndio maana sina shaka...
Nimekosa tena ajira ya ualimu kipindi ambacho naiihitaji mno, Pdf zima limejaa certificate na diploma sisi bachelor sjui tukale wapi?
Kungekuwa kuna namna ya kuibadilisha degree kuwa certificate ningefanya hivo ili mradi nizame ajirani.
Nimeamua kuachana kabisa na huu ujinga wa kuifikiria...
Tarehe 30 mwezi Mei, 2022, huko Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), kuna mgahawa ambao hutoa vitafunio, keki na vyakula vingine kwa mbwa wanaofugwa.
Wamiliki wa mbwa hupeleka wanyama wao vipenzi na kufurahia chai ya alasiri.
Habari za muda huu wakuu, hongereni kwa mapambano ya usiku na mchana kuendelea kuifanya nchi yetu na dunia kwa ujumla kuwa sehemu bora na salama.
Iko hivi, nina mpango wa kufuga mbwa shambani kwa sababu sio siku nyingi nitaweka mifugo mingi kiasi lakini bado hakuna uzio(fence), sasa kuna jamaa...
Jirani yangu Mbwa wake Vibaka wamemuwekea sumu, amekufa anamuangalia hajui afanyeje! Nahofia na mimi hawa wa kwangu, maana wananisaidia sana na Hawa panya road wa kitaa.
Salaam wanabodi,
Ndugu zangu hasa kwa wale wapenda mbwa wenzangu watanielewa uchungu wakupoteza mbwa.
Leo ni siku ngumu sana kwangu kwani nimefiwa na mbwa watatu kwa mpigo ndani ya siku mbili nikahisi kuchanganyikiwa. Mbwa walionesha mwenendo usioridhisha kiafya kwa takribani kama wiki moja...
Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya aliyewahi kutamba na vibao vikali mwenye maskani yake Ukonga Majumba Sita amejiingiza katika ulevi wa kupindukia. Wengi wanadai ni stress baada ya kushindwa kwendana na kasi ya muziki. Nisiongee sana ila tizameni video hiyo...
Kweli Dr.Slaa alikuwa kiboko.
Lakini sidhani kama angeweza kufanya hivyo kwa Ma-OCD wa IGP Sirro.
Dkt. Slaa anadai Polisi waliofika kwenye mikutano yake aliwahoji, " kifungu gani kimekuruhusu kuja kwenye mkutano wangu wa ndani...ondoka wewe MBWA.."🤣
Ili nisimuwekee maneno Dr.Slaa naomba...
Nimefuatilia Ziara zao hao Act Wazalendo hawana sapoti kabisa. Hata vijiwe vyote muhimu hapa Mwanza wanamponda na kumuona kibaraka wa mafisadi aliyajaa unafiki. Watu wa kanda ya ziwa hawamtaki Zitto kabisa.
Angalia hata ziara zao hazina mvuto Zitto anapoteza Muda kabisa.
👇
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.