Karibuni Jijini Mwanza (Rock City)

Zombie S2KIZZY

JF-Expert Member
Mar 15, 2021
823
1,613
Hahahaaaaa wabongo bhana cjui ni nani anaewauzia tumbaku yaan kabla hamjavaa sox mnaanza kuvaa viatu alfu ndo mvae sox kwel viatu

vichwa box rafu Leo mmechezea sharubu za rock city sa nawafanya wafu.

Hivi kwann watanzania ni watu wa ajabu Sana ujinga ukabila ujuaji na ushamba ambao wametoka nao vijijin kwao

yaan ukimwambia mtu kwamb unaish mwanza au unatokea mwanza anakuona mshamba na anapaona mwanza ni kijijini mfano wa njombe ndani ndani .

Alf ukimuuliza bob ushawah kufika mwanza anasema hamna nhenhenhee Sasa kama hujawah kufika unapasikia tu kwny redio unajuaj kama ni kijijini kama palivo kwenu man

Wazee mnaoiponda mwanza em jarbuni muende kuish hata mwezi mmja kwny Jiji Hilo ili mjue nn sabab ya mwanza kuwa Jiji la pili baada ya daslam au njia rahsi isiyokua na ghrama google tu Mwanza uione then ndy mcomment Hapa.

Kwa msiojua tu Mwanza ni ya wasukuma kama ilivyo dar ya wazaramo lakini population iliopo Mwanza makabila karibu yote Tanzania yapo kule na wanafanya maisha Yao na hamna anaewabugudh sabab sisi wote binadam na ni watanzania pia.

Tofauti na watu wa Mwanza, Arusha na Dsm watu wamikoa mingine ya vijijin wanapaona kama dar ni New York na wanapahusudu kinoma sabab wao wanatokea shamba kwnye mapori na vinjia vya vumbi ambapo unaeza tembea kilometer Zaid ya moja usione mtu 😅😅😅

Wabongo tupendane tuache ukanda na ukabila

Nyerere ni baba yetu na Samia ndy mama yetu mura

Anyway karibun Jijini Mwanza Rock City

M ndo nmeingia Leo huku kula valentine nipo zangu Hapa capripoint nakula Sato na upepo wa ziwa .

Screenshot_20220622-233954_1657782711100_1.jpg
Screenshot_20220923-135626_1.jpg
Screenshot_20221022-124700_2.jpg
Screenshot_20221022-232511_1.jpg
Screenshot_20221027-180652_1.jpg
Screenshot_20221030-004257_1.jpg
20230210_103939.jpg
20221211_150511.jpg
20230126_151215.jpg
 
Mwanza oh mwanzaaaa...
Mwanza nitarudi tenaaa...

Mwanza mji mzuri....
Mwanza nitarudi tenaaa...

Wenyeji wa mwanza ni wasukuma...
sukuma waa, sukuma waaa..

Orchestra matimila.

Hii ngoma aliimba komando hamza kalala kama sijakosea
 
Naipenda mwanza kwa ustaarabu WA ma dreva wake.yaani wakiona pembeni Kuna kundi la watu wanashida ya kuvuka ,dreva WA mbele anasima.....WOTE wanasimama na wavuka kwa miguu wanapita,hata kama hakuna zebra.
Ni nidhamu ya Hali ya juu sana.
HONGERA MADREVA WA MWANZA.MUNGU AKUBARIKINI.
 
Nilienda pale Villa Park, nikaagiza niletewe lunch. Daaah, nikaletewa bonge la samaki sato (mzima mzima) wa kuchoma na dona, na mazagazaga mengine kibao. Sasa ukitaka kuujua utamu wa sato, anza kula kichwa, halafu ndio unashuka chini. Jamani sato ni mtamu, mimi sio mlaji wa ugali, lakini siku hiyo nilimaliza ugali wote! Sasa baada ya kumaliza, nikajua inakuja bonge la bili, nikawa na wasiwasi! Inakuja bili, kumbe ni shs 12000/= tu, nikalipa, then nikasepa na kwenda kiwanja cha Bundesliga (maeneo ya Buzuruga). Nakumbuka nilienjoy sana kwa wiki mbili nilizokaa Mwanza. Mwanza patamu!
 
Hahahahaaa karibu Tena rock city
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom