mbwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gaddaf i06

    JamiiForums Tanzania Ndg wafugaji, karibuni tuendelee na ajenda nyingine. (tunazungumzia mbwa).

    Habari za wakati huu waungwana! Mbwa ni mfugo safi, muhimu sana, askari mbadala. kila mtu yampasa afuge mbwa.. Mimi napenda sana mifugo, Huyu mnyama mlinzi bora (mbwa) nampa kipaumbele sana! sasa, sitaki mbwa wangu awe kama wale wengine wa mtaani, nataka mbwa bora. -asiwe mjinga mjinga -hali...
  2. Memtata

    JamiiForums Tanzania Mbwa kala Mbwa (kituko)

    Hiki kituko kilinitokea miaka kadhaa iliyopita, nilikuwa dingi tayari sema ujana ulikuwa mwingi sana hadi kujisahau🤣 lakini kwa sasa mimi ni ustaadh hizi zimebaki hadithi tu. Kuna sehemu nilikuwa na project kwenye kampuni moja hivi. Kila siku kabla ya kuingia lango kuu nilikuwa na utaratibu wa...
  3. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nansio-Ukerewe: Mtoto aganda Mkono Hewani baada ya Kumpiga Mbwa na Jiwe

    Tupate habari kamili. Katika jambo ambalo limeonesha kushangaza baadhi ya watu na wenyeji kutoshangaa sana ni tukio la kisayansi ambalo limetokea baada ya mtoto mmoja kurusha jiwe kwa mbwa na hatimaye mkono huo kuganda. Tukio hilo limetoka Katika Kijiji cha Nansio Wilaya ya Ukere Mkoa wa Mara...
  4. Kizibo

    JamiiForums Tanzania Nansio Ukerewe: Kijana aponda mbwa na jiwe kwa mkono wake na kubaki umenyooka

    Kijana huyo ambae hajafahamika majina alimponda mbwa na jiwe jana usiku majira ya saa 2 usiku. Tukio hilo la kustaajabisha liliyokea/limetokea Ukerewe Nansio maeneo ya Bakwata (Musoma road) mwisho wa lami. Picha kukujia punde
  5. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Nimeuziwa mbwa maeneo ya Victoria, nilipomfikisha nyumbani mume wangu akasema eti sio mbwa ni fisi

    Jana jioni nilipokuwa nikitoka kazini, nikafika Victoria, nikakuta kuna jamaa ana mbwa watatu, wawili wakubwa na puppy mmoja. Nikavutiwa na puppy nikaenda naye nyumbani. Mume wangu alirudi akiwa amechoka na amepiga mambo yake, lakini nilimjulisha kuwa nimenunua mbwa. Asubuhi ya leo akaenda...
  6. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Wakristo wasio Wasabato wanaruhusiwa kula paka, panya, kobe, kinyonga, kenge, kunguru, nyani, n.k?

    Kwa kuwa sisi ni wakristo ni kwamba sisi tunafata nyayo za Yesu Kristo. Ni vipi kitu ambacho hakusema Yesu Kristo kinawekewa mabano ya kuweka uchambuzi wa maono ya waliotafsiri biblia? mbaya zaidi kuna biblia hata hayo mabano hayamo, uchambuzi umeunganishwa kuonekana ni maandiko matakatifu...
  7. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Wazo Fyatu: Ukali wa Mbwa Humtegemea Mwenye Mbwa...

    Na. M. M. Mwanakijiji Unaweza ukakuta mbwa asiyebweka; unaweza kukuta mbwa anayebwekabweka tu lakini hang'ati. Kuna mbwa mwingine ukimtazama tu unajua huyu "shughuli". Na unaweza kukuta mbwa wanaopenda kucheza cheza; hawafoki, hawabweki, wapo wapo tu ila wanaona raha kuita "puppy, puppy"! Siyo...
  8. Verified

    JamiiForums Tanzania Mbwa wana uwezo wa kuwaona Wachawi?

    Wasalaam ndugu wana JF Kwa almost miaka 12 iliyopita, ninaishi katika eneo ambalo inasemekana lina mauza uza japo binafsi sikuwahi kuyaona kwa macho, ingawa nishaua wanyama ambao wamekuja kiajabu ajabu mara nyingi sana kama nyoka, ndege n.k Katika eneo langu, ninafuga Mbwa, ninao mbwa 5...
  9. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri, nyumbani kwangu nifuge mbwa au paka kama pet?

    Nataka nifuge pet ikiwa ni kama kiumbe alieumbwa kutoka kwa muumba alietuumba hata sisi wanadamu na vingine vilivyomo ndani ya dunia. Nao ni viumbe kama sisi wala si wa kuchukiwa, kunyanyaswa, kudharauliwa, n.k. kufanya matendo haya mabaya kwao ni sawa na kumdharau muumba aliyewaumba...
  10. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Idadi ya mbwa mtu imeongezeka sana nchini, nini kifanyike?

    Habari za leo, bila shaka utakuwa umeshuhudia ongezeko la vijana wanaojiita mbwa wamekaa paleee. Nini kifanyike kuwapunguza? Wizara inayohusiana na mifugo ina taarifa ya ongezeko la aina hii mpya ya mbwa? Hii nchi Ina vijana wa hovyo sana.
  11. CORAL

    JamiiForums Tanzania Mbwa azikwa kwa heshima zote za serikali nchini India

    Mbwa mmoja wa Polisi aitwaye Zanjeev amekuwa mbwa wa polisi nchini India kwa miaka mingi. Amewasaidia polisi kutatua kesi nyingi za jinai ambazo bila yeye wangeshindwa kuwatia hatiani wahalifu. Lakini tukio lililompa umaarufu mkubwa ni wakati magaidi toka Pakistan walipotega mabomu mjini...
  12. TODAYS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Saudi Arabia Miseries: Video inayoonyesha wanawake wanaonyonyesha mbwa nchini Saudi Arabia yawakasirisha Wakenya

    Kufuatia kadhia mbalimbali zinazoendelea kwa wakazi wa ukanda wa Afrika mashariki kutoka nchi za kiarabu. Bunge la kenya linategenea kupitisha azimia ka kupiga marufuku raia wao kwenda nchi za kiarabu kufanya kazi za ndani. Majuzi hapo kuna video ilitapakaa kwenye mitandao ya kijamii...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Yanga yapigwa faini ya Tsh. Milioni 345 kutoka FIFA, yatakiwa kumlipa Kocha Luc Eymael

    Naam, Njaakalihatari nakuletea habari mpasuko kwamba Young Africa ya Jangwani na Salamander imepigwa faini ya USD 148,000 kwa kumuachisha kazi Kocha Luc Eymael bila kufata taratibu. Faini hiyo inatakiwa ilipwe siku 45 kuanzia leo la sivyo watafungiwa kusajili kwa misimu 3! Yanga instructed...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Wananiwangia nawasikia, niwafanyaje hawa?

    Wakuu Nimekuja hapa nina andika kwa ghadhabu kidogo 🙁 Kuna watu wanasema Uchawi haupo ila upo na unakera haswa hatukatazi watu kufanya mambo yao ila si mambo ya kuchezeana miili ni jambo linalokera sana. Kuna mambo unafanyiwa usiku ya ajabu ajabu sawa unaamka ila unakuta mwili wako unafanyiwa...
  15. Content

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mbwa anauzwa

    Habari zenu wadau, mbwa anauzwa sh 350,000 . Nipo mikocheni dar es salaam . Kwa anae hitaji Karibu pm kwa maelezo zaidi
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Usipochanja Mbwa, Paka faini Tsh. Milioni 10 au jela mwaka mmoja

    Ili kudhibiti kuenea na kusambaa kwa ugonjwa wa kichaa cha Mbwa sheria inasema kila mfuga mbwa au paka kumchanja ili kuzuia kichaa cha mbwa na endapo hatozingatia basi adhabu yake ni faini ya kati ya Shilingi 500,000 hadi Shilingi milioni 10 au kifungo cha mwaka mmoja jela. Mkurugenzi wa...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kichaa cha mbwa hakitibiwi kwa jadi

    JAMII imeaswa kwenda kupata huduma za tiba ya kichaa cha mbwa kwenye vituo vya kutolea huduma za Afya badala ya kwenda kwa waganga wa jadi, hali inayoweza kusababisha vifo visivyokuwa vya lazima. Hayo yamebainishwa na Ofisa mifugo kata ya Sofu,Grory Amos,wakati akitoa elimu ya umuhimu wa chanjo...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mbwa 20 wenye gharama zaidi duniani

    1. Tibetan Mastiff - $3,000–$5,000 2. Black Russian Terrier - $3,000–$5,000 3. Samoyed - $2,500–$5,000 4. French Bulldog - $2,500–$4,000 5. Löwchen - $2,500–$4,000 6. Cavalier King Charles Spaniel - $2,500–$3,500 7. Bernese Mountain Dog - $2,500–$3,500 8. Biewer Terrier -...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Siyo kila misemo ya kurukia,hakuna mbwa albino

    Haijawahi kuthibitishwa kuwepo na mbwa albino So unapokuwepo kwenye papatupapatu zako za kutukana na kudhalilisha watu ambazo ndizo zinakuweka mjini elewa hilo Siyo kila mtu wa kusema niite mbwa nimekaaa pale,wako mbwa wanene wenye kilo 800 ila hamna albino na mbwa wote wana uwezo wa kukaa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Sensa ya Watu na Makazi: Tuliulizwa kama unafuga ng'ombe, mbuzi, kuku. Lakini kwanini hatukuulizwa kama unafuga Nguruwe na Mbwa?

    Ina maana kama Taifa hatuhitaji kujua hali ya ufugaji wa huu mfugo utupatiao kitimoto kilicho mkipenzi cha wengi? Je, hakuna mpango wa kuendeleza ufugaji wa nguruwe? Je hakuna haja ya kujua tuna mbwa wengi kiasi gani? Kama ni hivyo tutapangaje mpango wa kuwachanja mbwa dhidi ya kichaa cha mbwa...
Back
Top Bottom