Anaweza kukaa siku ngapi bila kula hilo ndo Jambo la muhimuHabari zenu wadau, mbwa anauzwa sh 350,000 . Nipo mikocheni dar es salaam . Kwa anae hitaji Karibu pm kwa maelezo zaidi
View attachment 2374706View attachment 2374708View attachment 2374709
Wakuu, msiwe mnaweka mizaha kwenye shughuri za watu. Kuna mbwa wanauzwa zaidi ya 2m. Binafsi, nishashuhudia mtu akitoa 1.5m kwa mbwa mmoja. Tena, Shinyanga.Anaweza kukaa siku ngapi bila kula hilo ndo Jambo la muhimu
Sintamuweza huyoSiku moja
Ana undugu na nyauHabari zenu wadau, mbwa anauzwa sh 350,000 . Nipo mikocheni dar es salaam . Kwa anae hitaji Karibu pm kwa maelezo zaidi
View attachment 2374706View attachment 2374708View attachment 2374709
Camera ya simu ya Oking ya bataniKataa Tecno
Anaonekana ana mawazoSijui kwanini picha ya kwanza imenichekesha
Mbwa anawaza sana njaaAnaonekana ana mawazo