Nansio-Ukerewe: Mtoto aganda Mkono Hewani baada ya Kumpiga Mbwa na Jiwe

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,471
23,744
Tupate habari kamili. Katika jambo ambalo limeonesha kushangaza baadhi ya watu na wenyeji kutoshangaa sana ni tukio la kisayansi ambalo limetokea baada ya mtoto mmoja kurusha jiwe kwa mbwa na hatimaye mkono huo kuganda.

Tukio hilo limetoka Katika Kijiji cha Nansio Wilaya ya Ukere Mkoa wa Mara Nchi ya Tanzania,Ukanda wa Afrika Mashariki, Bara la Afrika, Sayari ya Dunia. Ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni.

Screenshot_2022-11-19-21-59-14-236_com.twitter.android~2.jpg
 
Mwisho mtakuja na heading kama hzi; "AKAMATWA NA MAMBA AKIOGA BAFUNI NYUMBANI KWAKE HUKO UKEREWE" :D:D:D:D:D
 
Back
Top Bottom