mbuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mr Pixel3a

    Zijue style na access zake, usalama wakati wa tendo la ndoa

    Hizi hapa Angalizo ni kwa walio kwenye Ndoa Tuu
  2. MamaSamia2025

    Je, unapenda pilau kuku, biriani mbuzi, nyama choma, makange ya samaki, ugali dagaa na mbogamboga? Mbinguni hazitakuwepo.

    Kuna vitu na mambo yanayopendwa sana hapa duniani ambavyo sio dhambi lakini ni kuwa hivyo vyote havitakuwepo. Kwa mfano sisi tunaopenda misosi mitamu kama ile ya Shishi food, white rose na Marry brown ni kuwa haitakuwepo. Kitu nachosikia kinatajwa tajwa ni maziwa na asali. Pia huenda kikawepo...
  3. MwananchiOG

    Nionyeshe picha kama hii kutoka msimbazi niwaonyeshe mbuzi anayetaga

  4. Mr Why

    Natafuta bucha la nyama ya mbuzi Dar es Salaam

    Wapendwa natafuta bucha linalouza nyama ya mbuzi Dar es Salaam Ni muda mrefu sana sijapata hii nyama mwenye connection atoe location na namba zao za simu
  5. B

    Mbuzi wamekata kamba

    Leo nimejikuta nakumbuka haya maneno "mbuzi zimekata kamba". Wakati niko mdogo nilipewa kazi ya kuchunga mbuzi wa mzee wangu. Kwa sababu hakukuwa na mbuzi wengi kivile, nilikuwa nawapeleka asubuhi sehemu yenye majani na kuwafunga ili wasije kwenda kuharibu mazao ya watu. Kwa bahati mbaya...
  6. JanguKamaJangu

    Mbeya: Polisi wamsaka Chande Mwaigaga aliyetoa posa ya Tsh. 110,000 na mbuzi ili amuoe Mwanafunzi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa watatu 1. NAZARETH NDELE [50] 2. STEVEN MWAIGAGA [29] na 3. FARAJA MWAIGAGA [26] wote wakazi wa Kijiji cha Igunda Wilaya ya Mbeya Vijijini kwa tuhuma za kumtorosha mwanafunzi na kutaka aolewe na kijana wao kinyume cha sheria. Kamanda wa...
  7. babukijana

    Supu mapupu, Kichwa Mbuzi Kiria Bar na Euro Pub

    Enzi hizo mnatoka Jolly mnakesha Las Vegas Casino au Billz kunakucha sa kumi na mbili kijua hichoo, mko nyanganyanga mnachomoka hadi kino wale tuliokaa mitaa hiyo Mnaishia Kiria Bar. Sufuria kuubwa lina supu mabichwa ya mbuzi, bandama, mikia, mapupu, ulimi Linachemka Unapewa waya, unachomoa...
  8. N'yadikwa

    Utafiti: Nyama ya mbuzi haisababishi gauti

    Hakuna ushahidi wa kisayansi unaosema kula nyama ya mbuzi inasababisha matatizo ya viungo. Nyama ya mbuzi, kama aina nyingine za nyama ya mwili, ni chanzo kizuri cha protini, vitamini, na madini, ikiwa ni pamoja na chuma na zinki. Virutubisho hivi ni muhimu kwa afya ya jumla, ikiwa ni pamoja na...
  9. Slowly

    Ukitaka kujipima kama una upendo wa kweli na uvumilivu basi fuga mbuzi wa kienyeji

    Kuwafuga hawa wanyama inahitaji uvumilivu wa Hali ya juu na upendo uliotukuka vinginevyo utakuwa unavunja mguu wa mbuzi kila sku. Wana visirani na viburi sijawahi ona. Picha linaanza akikata kamba aisee atakupigisha tizi moja sio ya nchi hii na ukimkamata ukaanza kumvuta na kamba yake...
  10. Brain Kingdom

    Tuache kuifanya mbuzi kagoma kwenda kimazoea

    Hello JF, 👇👇👇 Mbuzi kagoma ni style ya ufunuo wa mahaba, chonde tusifanye kwa mazoea, kuna mikao mingi kama 20 ya mbuzi kagoma nawasihi jitahidi unapokuwa unanyanduana usikose angalau mikao mitano kwa kiwango cha chini ukiwa unanyandua mbuzi kagoma. Tujipee raha na utamu wenye ladha kwa...
  11. jastertz

    Nataka nifuge kondoo dume na mbuzi mkoa wa Tanga

    Habari Wana JF! Nataka nianzishe mradi wa kufuga kondoo dume pamoja na mbuzi dume kwa mkoa wa Tanga, ningependa kujua eneo zuri likiwa karibu na mjini itapendeza zaidi.. na mbinu na je italipa au.
  12. Expensive life

    Mbuzi kagoma kwenda ndio mtindo pendwa zaidi kwa wanaume kunako sita kwa sita

    Wanaume wenzangu kuna ubishi hapa? Mbuzi kagoma kwenda, yaani baby mama anakuwa amepiga magoti huku amejibinua kidogo alooo 😋😋😋 Utamu wa hii style mwanamke awe na nyama laini (steki) vimbaumbau haiwafai hii.
  13. P-35

    Malengo 2024:mradi wa ufugaji nguruwe na mbuzi wa nyama

    Habari wapambanaji? Mimi ni kijana mpambanaji,katika kilimo cha mahindi na alizeti,ila mwakan nataka nijikite zaid kwenye ufugaji wa nguruwe na mbuzi wa nyama,nimewajia hapa ili kupata experience pia ushauri,nina ekari mbili nataka 1½ nilime mahindi,alizeti na maboga at least gharama za ulishaji...
  14. O

    Edo Kumwembe: Onyango mbuzi wa kafara, Bacca anachafua hali ya hewa

    NAMNA maisha yanavyokwenda kasi. Ijumaa usiku wa manane dunia ilikuwa imemwangukia mlinzi wa kati wa kimataifa, Josh Onyango mara baada ya kumalizika kwa pambano kati ya Simba na Raja pale Casablanca. Asubuhi tuliamka picha zake katika mitandao ya jamii na alikuwa akishambuliwa kwa kejeli na...
  15. M

    Onyango, Mkude, Nyoni Wasiwe mbuzi wa kafara, uwezo wa Simba ndio umeishia hapo

    Nawashangaa sana mashabiki wasiojitambua wala kujielewa na wasioitambua sayansi ya mpira wa miguu. Simba kapigwa 3 mzuka na Raja nongwa na jumba bovu wanaangushiwa Onyango, Mkude, Manula na Nyoni, ni mpuuzi tu anaweza kuongea utumbo kama huo! Wachezaji wa Simba ndio hao hao wa siku zote na...
  16. Torra Siabba

    Mwanza, jiji linaloongoza kuwa na mbuzi watembea bure

    Mwanza Bwana ni Jiji linalokua kwa kasi sana, hilo linatokana na watu kuongezeka na Serikali imeweka miradi mingi ya kimkakati katika jiji hilo, lakini cha ajabu ni kwamba Mwanza ni mji unaoongoza kwa kuwa na mbuzi (wanyama) ambao hawana mwenyewe. Mara nyingi nimekuwa nikishuhudia mbuzi...
  17. BARD AI

    Afikishwa mahakamani kwa kuwaingilia Mbuzi wa jirani kimwili

    Mkulima na mkazi wa Kijiji cha Naibili wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro, Emmanuel Kilenga ( 22) amefikishwa katika mahakama ya Wilaya ya Siha Machi 17, 2023 akikabiliwa na shtaka la kuandama wanyama kesi iliyosajiriwa kwa namba CC 35/2023. Akisoma mashtaka mahakamani hapo Mwendesha Mashtaka wa...
  18. GENTAMYCINE

    UFM ya Azam Media tafadhali naomba Jina la huyo Mama aliyesema Kauli hii ya Kishujaa niliyoipenda ili nimpe Zawadi ya Mbuzi Jike

    "Mwanamke mwenye Maadili na mwenye Kujitambua ukipigwa na Mumeo hutakiwi Kutangaza kwa Majirani au hata kwenda Kushtaki Kwenu au Ukweni bali unavumilia na unamsubiria Mumeo Hasira zikipungua unamuomba Radhi hata kama unajua kabisa kuwa Mkosaji ni Yeye kwani kwa kufanya hivi utamjengea Kitu Mumeo...
  19. L

    Wazee wa zamani walivyotumia viungo vya mnyama kutabiri yajayo

    Sijui kama umewahi kuexperience jambo kama hili, Wazee wa zamani waliweza kutumia viungo vya ndani vya mnyama kupredict yajayo ama jambo lolote BAYA lijalo. Mnyama kama mbuzi angechinjwa na wajuzi wangetumia viungo vyake vya ndani kufanya utabiri wa mambo yajayo, sijui kama wewe umewahi...
  20. Mamba_Mtoni

    Jones bones ni mbuzi🐐

    Amchakaza mfaransa Kwa fedheha😁😁
Back
Top Bottom