Godbless Lema kaamua kumpigia mbuzi gitaa…!

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Oct 21, 2021
4,737
11,096
Mmetoka wote chuo , halafu unataka ukute kijana uliyekuwa naye chuo awe ana kila kitu kama nyumba,gari na kazi nzuri,mbona wewe huna?Kwani unataka kuolewa na baba yako? Angalieni Dream, Vision, ethics na discpline na mkaanze kupigana pamoja kujenga maisha yenu.

Hao ambao mnawaona na material achievement kuna wkt walikuwa hustlers na iliwahitaji muda ku overcome vitu hivi isipokuwa labda kwa baadhi ya family chache sana. Muulize mama yako kama alimkuta baba yako na kila kitu ! Dont judge a man by the size of is wallet kama haufahamu ndoto na future yake anatamani aina gani ya maisha.Kuna wakati gari unayoona ni new model leo baada ya miaka miwili inakuwa old model , na wewe uli fall in love kwa new model.Nyanyua antena ya Tafakari,ndio maana imeandikwa na wala msiudharau ule mwanzo mdogo.

Be humble , unyenyekeve sio utumwa,you can start from one bedroom halafu after sometimes mkawa Land Lords to many.Halafu kumbukeni hata mama yako alikuwa demu.Mkiwa serious mtasaidia kupunguza hata chawa mitaani , maana you will only fall in love with character and not power and money.

Nimejisikia tu kuandika tu.
Heri ya kufunga Mwaka.

Godbless Lema
Mtandao wa X
 
Mim.nazan kwa hali ya sasa ilivyo kuwa na Ndoto Na mipango yako wew kama wew pasipo kutaka kumtegemea mtu akutimizie au akusaidie kukimbiza na Ndoto zako Mtu wa kwanza kabisa ambaye inabidi awajibike kwenye kukimbizana Na Ndoto zako kwa asilimia 99 inabidi uwe wew kama. ukisema usubir sjui mpenzi,mke sjui Demu wako akusaidie kwenye kukimbizana Na Ndoto zako utachelewa sana kila Mtu Mungu kamumba na kusudi lake kwon you purpose start to fight
 
Back
Top Bottom