mbuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MkulimaAgriClinic

    JamiiForums Tanzania Fursa ya ufugaji wa ng’ombe wa maziwa

    Fursa ya Ufugaji wa Ng'ombe wa maziwa ni kubwa sana nchini.Kwa wastani Tanzania huzalisha maziwa lita bilion 3 kwa mwaka huku karibu lita bilioni 1 pekee hutokana na ng'ombe wa kisasa. Hata hivyo mahitaji ya maziwa ni makubwa sana (zaidi ya lita bilioni 10), japo logistics mbaya za uhifadhi...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Ukiwa vegetarian ghafla unafika ukweni, unakuta wamechinja mbuzi na kuku kwa heshima yako

    Mchumba ulikutana nae kazini. Wazazi walisikia uwepo wako katika maisha ya binti yao. Kilichokupeleka ghafra ni taalifa ya ugonjwa wa mama yake. Mezani mnakuta vyakula vyote na kilichokosa nyama ni kachumbali tu. Unaishia kula wali na kachumbali.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Upatikanaji wa mbuzi aina ya Boer hapa Tanzania

    Nimekuwa nikipata maswali mengi kutoka kwa wadau wa ufugaji mbuzi ambao wanaotaka kujua kuhusu upatikanaji wa mbuzi aina ya Boer hapa Tanzania. Ili kujibu swali hili nimetengeneza video ambayo inatoa taarifa ya kutosha kuhusu upatikanaji wa mbuzi aina ya Boer hapa Tanzania . Hebu angalia video...
  4. 2019

    JamiiForums Tanzania Kutahadharisha kuhusu wimbi la tatu la Covid-19 bila kuchukua hatua stahiki ni kumpigia mbuzi gitaa

    Kwa sasa wizara, mahospitali TVs na radio kelele ni kujikinga au kuchukua tahadhari za wimbi la tatu la Covid-19. Lakini tahadhari hizi sioni kama zina maana yeyote kwa mwananchi sababu watu wanaendelea na maisha kama kawaida inasaidia nini? Hutoi takwimu ili watu wajue kuwa mdudu kashaingia...
  5. Mac Alpho

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa mawazo juu ya biashara ya mifugo (ngombe & mbuzi)

    Habari zenu wana JamiiForums, mimi kama kijana mtafutaji na mwenye kiu ya mafanikio, nimeamua kuja kwenu Ili nipate ABC juu ya mada tajwa hapo juu. Nimejaribu kupitia maada mbalimbali za zamani juu ya hii maada ila sikufanikiwa kupata data nilizokuwa nazihitaji, hasa ukizingatia taarifa za...
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Watu wanne (4) mbaroni kwa kufurahia kifo cha Rais Magufuli kwa kupika supu na kununua lita 20 za Ulanzi

    Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linawashikilia Watu wanne kwa tuhuma za kufurahia kifo cha hayati John Magufuli kwa kupika supu na kununua ndoo ya lita 20 ya pombe ya kienyeji ya Ulanzi. Pia soma > Manyara: 8 mbaroni kwa kushangilia kifo cha Magufuli Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linawashikilia...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Nani anafahamu matumbo ya mbuzi Wachina wanayafanyia nini?

    Kila nikienda vingunguti kutafta nyama ya mbuzi; huwa nakuta haina matumbo; ukiuliza unaambiwa Wachina wameyanunua kwa oda! Je, Wachina wanakazi gani spesho na Yale matumbo ya mbuzi? Maana inavyoelekea yatakuja kuwa adimu kama Mabondo ya samaki huko Mwanza!
  8. TODAYS

    JamiiForums Tanzania TOFAUTI: Mbuzi wa Sherehe na Mbuzi wa Maombolezo

    Ni Kwa vile sisi wenyewe tumeizoea hali hii, lakini Kwa kweli nchi yetu ina mambo mengi ya kushangaza. Fikiria, Kwenye kipindi hiki cha maombolezo, watu wanaweza kukamatwa kwa kukutana na kuchoma mbuzi Kwa kosa la kusherehekea lakini wakawa huru kuagiza mbuzi-choma na bia kwenye baa zilizo wazi...
  9. Mkaruka

    JamiiForums Tanzania Kweli hakuna mkate mgumu mbele ya chai, Mzee mbuzi Fid Q yamkuta 🤣

    Fid Q na mke wake.
  10. V

    JamiiForums Tanzania Mbuzi wa masikini hazai na akizaa ni dume

    Mbuzi wa masikini hazai na akizaa ni dume usemi huu umedhijilika leo. Wiki iliyopita nilibahatika kupata kazi kama revenue officer ofisi za halmashauri ya jiji baada ya kupitia mchakato mrefu na kupata shavu hapo. Na leo ilikuwa ndio tarehe ya kurepoti hapo na kupangiwa kazi ya kunisaidia mimi...
  11. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke ana Watoto wanne kutoka kwa baba wanne tofauti mimi nataka kupewa Uuncle mbuzi. Never, Mjipange Wanawake

    Zaman ilikuwa ngumu sana kukuta mwanadada ana watoto wawil, watatu wana baba tofaut tofaut. Mimi sikuwa nikikutana sana na matukio ya hivi. Naumwa toka last week. Sometimes nakuwa fresh then nakuta kichwa kinawaka moto mpaka kizunguzungu. Ninepima Typhoid, Malaria, UTI, Pressure, kiwango cha...
  12. GeoMex

    JamiiForums Tanzania Ukiona Mbuzi yuko juu ya mti....Ujue kapandishwa na mmiliki wake

    .....
  13. A

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mbuzi na masoko

    Habarini ndugu zangu, Nataka kufanya biashara ya mbuzi. Ninaomba yeyote mwenye uzoefu na biashara hii anifunulie fursa za masoko na changamoto zake.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimeshuhudia mbuzi anachinjwa huku amezibwa mdomo Usseri Rombo!

    Nimeshuhudia jana mbuzi anachinjwa huku amezibwa mdomo ili asilie. Kwa ushinjaji huu hamu ya nyama ya mbuzi imeniishia kabisa bora kesho nirudi Dar. Happy New Year!
  15. luangalila

    JamiiForums Tanzania Vijana tuwe makini. Mahusiano ya online ni sawa na kuuziwa mbuzi katika gunia

    Heri ya mwaka wa 2021 Wadau mwaka jana panapo mwezi wa saba rafiki yangu mmoja alifunga pingu za maisha na msichana ambae walianzisha mahusiano kutokea mtandaoni IG, ila walisomana kidogo kama miezi 8 hivi. Sasa jamaa kapatwa na janga ambalo linamchanganya psychological, yule mrembo aliyemuona...
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kuchoma mchomo nyumbani kula na familia, wageni na marafiki

    Mbuzi ni mnyama anaeliwa na madhehebu ya dini nyingi, ni rahisi kununua mbuzi wa kula na familia kuliko ng’ombe, kwanza gharama pili mnaweza kula na kumaliza. Andaa samaki kidogo kwa wasio kula nyama. Andaa bakuli la kachum Acha moto ukolee wote kabla ya kuweka nyama jikoni. Nyama ya mbuzi...
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Amuua mkewe kwa kumkata sikio na kumnyonga akihoji fedha za mauzo ya Mbuzi

    Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linamshikilia Boshu Kulwa (60) kwa tuhuma za kumuua mke wake, Magdalena Lunguya (45) baada ya kumhoji kuhusu fedha za mauzo ya mbuzi. Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Debora Magiligimba alithibitisha kutokea kwa tukio hilo akisema kuwa amemuagiza mkuu wa polisi...
  18. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Mbuzi avamia mabango ya Aziz Abood na kuyatafuna

    Katika tukio linalofananishwa na lililotokea jijini Dar es Salaam katika jimbo la kawe, kuna mbuzi ameonekana akiharibu mabango ya mgombea wa ubunge wa jimbo la Morogoro Mjini Mh. Abdul-Aziz Abood.
  19. D

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mifugo (ng'ombe, mbuzi, kondoo n.k)

    Ndg wana jf hope sote tu wa afya njema baada ya hekaheka za wiki nzima. Naomba mwenye EXPERIENCE ya kutosha na hii biashara ya Mifugo hasahasa Ng'ombe kuwaleta Dar kutoka Mikoani kama inalipa coz nimewahi enda pale PUGU Mnadani wakati wa Christmas angalau nijitafutie Mbuzi wa kumtafuna na...
Back
Top Bottom