Natafuta bucha la nyama ya mbuzi Dar es Salaam

Mr Why

JF-Expert Member
Nov 27, 2019
1,621
3,020
Wapendwa natafuta bucha linalouza nyama ya mbuzi Dar es Salaam

Ni muda mrefu sana sijapata hii nyama mwenye connection atoe location na namba zao za simu
 
Kigamboni Ferry
Mbagala
Kawe Ukwamani

Nenda hayo maeneo utasikia spika zikitangaza nyama ya mbuzi 7K
Miguu
Vichwa
Figo
Maini
Utumbo
Ndugu nashkuru sana kwa connection yako nimehangaika sana kutafuta
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom