mbuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Bishop Gwajima je siku 10 hazijaisha? Acheni mikwara mbuzi kwa Serikali

    Ilikuwa tatehe 15 August, na leo ni tarehe 21 Septemba, zaidi ya siku 35.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Bucha la nyama ya mbuzi vs bucha la nyama ya kuku wa kienyeji

    Habari wakuu Naomba uzoefu...Niko na mawazo haya mawili bucha la nyama ya mbuzi au bucha la nyama ya kuku wa kienyeji biashara ipi italipa location ni dar
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mbuzi wa mtaani

    Hawa mbuzi wa Dar tunaoshinda nao Bar na kugombea nao madem wananifikirisha sana,hivi nani aliwahi kumchinja mmoja akakakutana na mauza uza?? Maana kila mtu anasema ni mbuzi mara dawa mara wa albadiri eti ukila lina kukuta jambo,nani aliwahi kukutwa na jambo au mtu wake wa karibu kwa kujaribu...
  4. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Polepole ni Mkwara mbuzi tu, anatishia nyau ila hana lolote

    Humphrey Polepole, aliyekuwa Balozi na Katibu wa Itikadi wa CCM, sasa ni mshindwa wa hali ya juu (pathetic loser) anayeandamwa na machungu, akidai kufichua siri za chama ili kuudhoofisha utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan. Kauli zake za chuki ni za mtu aliyeporomoka, anayeishi kama kibaraka...
  5. D

    JamiiForums Tanzania MSAADA WA NDOA: Mke wangu anauza supu za mbuzi kwa Siri?

    Eti wakuu, mimi ni tandiboi wa Malori ya kwenda Congo na Malawi. Sasa baada ya kukaa nje ya Tanzania kwa miezi miwili, juzi nilirudi kusalimia mke wangu na mtoto mmoja. Kuna jamaa mmoja akatuma meseji katika simu ya mke wangu akamuuliza, "HIVI HUYO MBUZI BADO YUPO?" Sasa najiuliza, mke wangu...
  6. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Majaji Mbuzi wa Mahakama kuna ujumbe wenu hapa

    GT Hii taarifa iwafikie majaji mbuzi wote.
  7. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lipumba: 2020 nilifanya kampeni nchi nzima, nikachinjiwa Mbuzi lakini nilipata kura 0

    Wakuu, Akiwa anazungumza kwenye mkutano mkuu maalum wa CUF wa kuchagua wagombea nafasi ya urais kwa upande Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar, Profesa Ibrahim alikumbushia dosari zilizotokea kwenye Uchaguzi wa 2020 Akitoa mfano namna ambavyo pamoja na kuchinjiwa kipindi cha kampeni...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia apewa Mbuzi wa Supu na Madereva Bodaboda na Bajaji baada ya kuchukua Fomu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye ni mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi amepewa Mbuzi kwa ajili ya supu atakayotumia baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea urais. Mbuzi hiyo iliyotolewa na Madereva Pikipiki za miguu mitatu (bajaji)na miwili...
  9. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania Nahitaji vindama vya mbuzi

    Wapi naweza kupata Vindama vya mbuzi kama 20 na kwa bei gani? Nataka niweke shambani kwangu Mimi nipo dar.
  10. D

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Ufugaji wa mbuzi kwa ajili ya nyama

    Habari wana JF, Mimi ni kijana wa miaka 26 nimekuja kwenu wana JF ili niweze kupata elimu na kunifungua akili juu ya wazo nililo nalo na wapi pa kuanzia Nimejipanga kuanza shughuli za ufugaji wa mbuzi wa nyama ni kitu ambacho sijawahi kufanya hapo kabla hivo nahitaji msaada wa mawazo...
  11. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Huyu mbuzi kanona balaa

    Huyu mbuzi kanona balaa, lakini wanaochepuka kwenye mahusiano yao wataona ni Mbwa.
  12. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Wadada mnaotoa tangazo humu kutafuta wapenzi muwe mnasema kama mna mzigo wa kutosha ama laa

    Unakuta mdada anaandika uzi kutafuta mpenzi au mume, eti anaandika mara nina diglii ya biashara, mara ninaishi sijui mbagala, mara mrefu kidogo mweupe! Jambo la kusikitisha ni kwamba ataeleza yote hayo halafu anashindwa kuandika kama ana makalio makubwa ama la.. Nani kakwambia anashida na hiyo...
  13. Chibike

    JamiiForums Tanzania Tupeane connection kwenye biashara za mifugo kama ng'ombe na mbuzi

    Wadau hamjambo nyote Wafanya mishe za biashara za mifugo haswa mifugo kama mbuzi na ng'ombe tupeane fursa mbalimbali ziizoko kwenye biashara hio. Na je swali la ziada Yale maduka ya kuuza dawa za mifugo tu hua tunaziitaje? au ndio AGROVET... Na Kama Kuna thread zilishaanzishwa kwa kuelezea...
  14. TODAYS

    JamiiForums Tanzania PICHA: Nilichoshuhudia ni ishara mbaya sana kwa jamii

    Asalaam alykhum. Tumsifu Kristu. Kuna lile tukio lilitokea kule Serengeti (kama sijakosea) la simba dume kutongozana na kuanza kufanya ufuksa. Basi leo siyo Serengeti ni mjini kabisa hapa Zanzibar, nikiwa napelekwa kupumzika kule Pwani mchangani kufika eneo moja la jeshi karibu na chuo cha...
  15. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Watu wa nyota ya CAPRICORN ♑ - MBUZI na nyota ya AQUARIUS ♒ NDOOJumamos ni siku yenu nzuri kiroho na kimaisha na mvuto

    Watu wa nyota ya CAPRICORN ♑ - MBUZI na nyota ya AQUARIUS ♒ NDOO Jumamos ni siku yenu nzuri kiroho na kimaisha na mvuto, Vaa rangi ya jumamos ambayo NYEUSI, Pia saa 12 ahsubuhi na saa saba mchana choma mafusho ya MIATUN-SAILA ili kuongezea nyota yako nguvu. HAPPY SATAN DAY By Dr DOGOLI...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa Biashara ya Mbuzi imekuwa kama Pembe za Ndovu, baadhi ya mikoa ni ngumu sana kupata

    NRNE Wakuu habari za hapo juu. Inaonekana Tz sasa mazao yanayotokana na mifugo ya Mbuzi ni ngumu sana kupata. Mikoa kama Mbeya, Songea, Lindi, Mtwara, Dar es salaam ni nadra sana Inaonekana wafugaji wameacha kabisa kufuga hawa aanyama. Je kuna changamoto mpya kwenye hii industry? Au...
  17. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Hakuna jambo nzuri kama kuwa huru, usikubali kuwa Mbuzi wa kafara

    Salaam jamiiAfrica. Unataka kuwa huru? Unataka kuwa na Amani? Unataka watoto wako uwalee na wafurahie uwepo wako? Unataka kufaidi mema ya Dunia,japo asilimia 0.01? Jitenge na siasa,kaa mbali na wanasiasa. Acha kuiongelea siasa. Kaa kimya fanya mambo yako ,usifanye vitu Kwa kutafuta sifa...
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa mbuni biashara yenye kuzidi kitowewo cha ng’ombe na mbuzi.

    Ufugaji wa mbuni (Ostrich farming) ni aina ya kilimo cha kisasa kinachokuwa kwa kasi katika maeneo mengi duniani, ikiwa ni pamoja na baadhi ya maeneo ya Afrika Mashariki kama Tanzania, Kenya, na Uganda. Mbuni ni ndege mkubwa kuliko wote duniani, ambaye huliwa nyama yake, hutumika kwa manyoya...
  19. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Zanzibar mbuzi wanaruhusiwa?? Ee Mungu tusaidie kikombe hiki kitupite kama n mapenzi yako

    Nimeona taarifa si njema kwa wanasimba wenzangu Kwa kweli mambo n magumu sana yaan kwa uwanja ule wa znz naona berkane akiondoka na kombe la shirikisho N mapenzi yangu kujua je na kule znz mbuzi wanaruhusiwa kuingia nao uwanjani Mwisho nisiseme mengi naomba niheshimu uamuzi wa caf kubadili...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Mbuzi 50

    Habari ndugu zangu, nimekuwa nikifutiwa na kilimo pamoja na ufugaji kwa muda mrefu sana. Nataka nianze na ufugaji kwanza natafuta mtu wa kuniuzia mbuzi 50 kwa bei nzuri, na kama bei itakuwa nzuri zaidi ntachukua mbuzi 100 wa kuanza nao. Nitajie bei yako ( whatsapp contacts 0685068828 )
Back
Top Bottom