Salaam wakuu,
Naomba kujua,maziwa ya mbuzi Yana sifa sawa na maziwa ya ngo'mbe?
Nasikia mbuzi wanakuwaga na magonjwa mengi zaidi ya ngo'mbe,Lina ukweli wowote?
Naomba kwa wenye uelewa mnisaidie,maziwa ya mbuzi Yana athari zozote kiafyaaa?
Ndio tumekubali tutakula kwa urefu wa kamba zetu,lakini unajua Kuna mbuzi wanakamba moja tu..?
Wewe unakamba nyingi na nyengine wawezakuwa umezisahau ila zipo!.. sikufundishi ila sijui umewawaza wenye kamba moja..?
Kula,kunywa,Kodi,usafiri na gharama zao zote za maisha hutegemea kamba hiyo...
Kwenu wataalamu wa kuchoma nyama za aina zote.
Naomba tips za kibabe kuhusu namna ya kumarinate nyama kabla ya kuichoma na baada. Viungo gani vitumike, kiasi gani, balancing ya moto haswa kwenye jiko la mkaa iweje.
Wadau,
Nimepata habari rifiji ni mgodi mpya wa upatikanaji wa ngombe na mbuzi kwa bei nzuri. Naomba yoyote mwenye ufahamu wa hili na connection anijuze!
Nataka nifanye biashara ya kuuza mbuzi Ila niuze viwandani na sio mnadani, ni viwanda gani wanalipa vizuri na hawasumbui ulipaji? Na utaratibu ikoje?
Naomba muongozo
Habari wakuu, kaa kichwa kinavyosema, swali langu ni hii, je ni mikoa gani ambayo unaweza pata mbuzi wengi zaidi, na ngombe wa kununua, yaani kwa ufupi ni mikoa a wilaga gani zina mbuzi na ngombe wengi zaidi?
Natanguliza shukrani?
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Allan L. Bukumbi ameeleza kukamatwa kwa watuhumiwa wa wizi wa mbuzi.
Amesema tukio hilo lilitokea 09/02/2022 majira ya Saa Saba Usiku, (01:00hrs) maeneo ya Shule ya Msingi Mlandege Kata ya Mlandege Manispaa na Mkoa wa Iringa, Jeshi la Polisi lilifanikiwa...
Na huku Tanga Mwakidila/Mwahako, kijana mmoja amepigwa na kufa hapo hapo baada ya kuiba mbuzi. The other day, aliiba Ng'ombe mwenye mimba lakini akaponyoka. Jana akamuiba Mbuzi wa mkazi mmoja, akamnyonga mbuzi na kumla ndipo wananchi wenye hasira kali wakafanikiwa kumkamata na kumuua.
Wenzake...
Nimeiona mahali katuni ya mbuzi wa Kipanya aliyekata kamba na kwahiyo anakula bila kuzingatia urefu wa kamba, nimecheka sana.
Ngoja niitafute nitupie mjionee wenyewe.
Maendeleo hayana vyama!
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Mawaziri wasiwe na ugomvi na Manaibu Waziri kwa kuwa kila mmoja ameteuliwa kwa vigezo tofauti. Ametaka kila mtu ajue nafasi yake.
Amesema mara nyingi watu hugombana kwa sababu ya safari na maslahi ambayo mara nyingine huwa ni maslahi ya wananchi.
Rais amesema...
Salaam Wakuu,
Baada ya Kuvumilia kwa muda mrefu, sasa wameamua kuoneshana Makali. Mwenye pesa zake kakodi mbuzi washambulie shamba la Mbigili.
Wanashindwa kujua Mbuzi anakula Majani, Mizizi ya Mbigili imejichimbia chini.
Baada ya Mwenye shamba kuoneaha jeuri ya yasiyowezekana 2021,Sasa...
MKAZI wa Kijiji cha Mavanga kilichopo katika kata ya Mavanga wilayani Ludewa mkoani Njombe anayefahamika kwa jina la Afro Nyigu (31) anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma ya kumbaka mnyama aina ya Nguruwe.
Afisa mtendaji wa kijiji hicho Ramadhani Kihanga amesema kuwa tukio hilo limetokea...
Wote tumeona kwamba mkuu wa mkoa RC Makalla na serikali kwa ujumla wamewakomalia wamachinga waondoke maeneo ambayo hawatakiwi kisheria.
Hiyo sawa; lakini kuna suala hili la mbuzi wa Dar ambao wanajichunga wenyewe Magomeni, Mbagala, Mbezi, Shekilango nk ambao nao wanaleta uchafuzi wa...
Natafuta Chef mwenye uzoefu mkubwa waapishi mbalimbali ya mbuzi, kuanzia choma, foil mpaka supu.
Kama ni eneo lako naomba nitumie SMS kwa 0759 819 819.
NB: Kituo cha kazi ni Bunju B na malipo ni maelewano.
Ahsante
Mkazi wa kijiji cha Nyiboko, kata ya Kisaka, Mwita Karege (19) amehukumiwa na Mahakama ya Wilaya ya Serengeti kifungo cha miaka mitatu jela baada ya kukiri kuiba mbuzi watatu wenye thamani ya Sh150,000.
Hukumu hiyo katika kesi ya Jinai namba 326/2020 imesomwa leo Jumatatu Oktoba 25 na hakimu...
Mbuzi ni mnyama anae lika sana Tanzania, kwa sherehe za kifamilia au hata social gatherings mfano birthdays, kutoa mahari, ubatizo nk. Pamoja na hayo mbuzi choma ni kitafunwa pendwa kwa wanaokunywa pombe na wasiokunywa pia.
Wengi tunanunua mbuzi na kumtafuta mchinjaji. Anachinjwa mbuzi saa 11...
Habarini Waungwana!
Leo nimeona nitoe mchongo wa biashara ambayo binafsi nimewahifanya kabla sijapata ajira na natarajia kuendelea kufanya baada ya ajira kuisha.
Uzuri wa biashara hii, pamoja na kuwa na faida nzuri, soko lake ni la uhakika sana na changamoto zake ni chache sana na zinakabilika...
Habari za Mchana wana JF,
Ndugu yenu hapa naomba info kuhusu biashara ya Nyama (Burchery), Bei wanazonunua Machinjioni inakuwa kiasi gani? wangapi wamefanikiwa through this business.
WADAU WENGINE NAOHITAJI MUONGOZO WA BIASHARA HII
MICHANGO NA MIONGOZO
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.