mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Lucy Mahenga: Huduma katika Hospitali Kuu ya Mkoa wa Dodoma sio ya kuridhisha

    Mbunge wa Viti Maalum, Lucy Mahenga, amesema huduma katika Hospitali Kuu ya Mkoa wa Dodoma sionza kuridhisha, vitu vingi vina kasoro na wananchi wamekuwa wakilalamika. Akiwa Bungeni amesema, "Hospitali imekuwa ikihudumia Wagonjwa wengi sana, hasa kutokana na kwamba idadi kubwa ya Wananchi...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Hili la mbunge baraza la wawakilishi kuwadharau samaki aina ya Kambale na Sato wa ziwa Victoria lisipite pasipo mjadala. Linatoa picha mbaya

    Kuna video moja fupi inazunguka mitandaoni anaonekana mbunge wa baraza la wawakilishi akiwaongelea kwa dharau samaki wa Ziwa Victoria. Anasema wao kwa maana ya watu wa visiwani hawana utamaduni wa kula samaki wa aina hiyo, kwamba isitokee mbegu zao zikawekwa kwenye bahari iliyo karibu na visiwa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mavunde aanza kuboresha miundombinu ya Viwanja vya Michezo vya Shule za Msingi na Sekondari Dodoma Jiji

    MBUNGE MAVUNDE AANZA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA VIWANJA VYA MICHEZO VYA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI DODOMA JIJI. Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde ameanza kuboresha miundombinu ya viwanja vya michezo katika shule za Msingi na Sekondari za Jiji la Dodoma kwa kulenga la kukuza...
  4. JamiiForums Tanzania Munde Tambwe: Sheria itungwe kudhibiti mauaji ya mapenzi

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Munde Tambwe ameomba mwongozo wa Spika wa Bunge akitaka chombo hicho cha kutunga sheria kujadili ongezeko la mauaji ya wivu wa mapenzi. Mbunge huyo ameomba mwongozo huo leo Ijumaa Juni 4, 2021 mara baada ya kipindi cha maswali na majibu. Munde amesema kuna ongezeko...
  5. JamiiForums Tanzania Tatizo la mfumo wa Luku, Mbunge Kingu ahisi ilikuwa ni 'Sabotage' kwa Serikali

    Akiwa Bungeni mkoani Dodoma, Mbunge Singida Magharibi, Elibariki Kingu amempongeza Waziri wa Nishati kwa Kazi kubwa anayoifanya na kushangazwa na sintafahamu iliyotokea kwenye mfumo wa Luku na kwa upande wake alihisi ni 'Sabotage' kwa serikali ya Chama cha Mapinduzi. Amempongeza Waziri kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Wabunge wataka Condester Sichwale aliyetolewa nje kisa mavazi aombwe radhi

    Sakata la kutolewa nje kwa mbunge wa Momba, Condester Sichwale (CCM) kuhusu mavazi, limeibuka tena leo jioni katika kikao cha Bunge baada ya wabunge wanawake kutaka aombwe radhi na aliyetoa hoja. Hata hivyo mbunge Hussein Amar amesema hawezi kuomba radhi kwa sababu alichosema alikuwa sahihi...
  7. JamiiForums Tanzania Mbunge Condester Michael atimuliwa Bungeni kwa kuvaa ovyo. Spika awaagiza askari wa bunge kuwazuia getini wavaa ovyo

    Mbunge wa Momba Condester Michael Sichalwe ametolewa ndani ya ukumbi wa Bunge ili akabadilishe mavazi yake baada ya Mbunge wa Nyangw'ale Hussein Nassor Amar kuomba muongozo wa Spika kuwa kuna baadhi ya Wabunge wamevaa mavazi yasiyo na maadili. Spika baada ya kumuamrisha kuondoka Bungeni pia...
  8. JamiiForums Tanzania Nalaani Mbunge Condester Michael kutolewa ndani ya Bunge kisa Mavazi, ameonewa na kudhalilishwa kwa makusudi

    Kwa ukweli huu ni udhalilishaji wa makusudi kabisa ambao umefanywa kwa mbunge huyu mwanamke. Nimeangalia suruali aliyovaa huyu dada si zile suruali za kubana maumbo. nimeshangaa hata spika kutotumia busara kuona kuwa huyu alipaswa kwanza aachwe then aje aangaliwe baadaye. Kama alishakuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Mbunge Tarimba Abbas (CCM) je, wana Kinondoni tulikutuma Bungeni kuzungumza matatizo yetu au kuizungumzia Yanga SC yako tu?

    Leo ni mara ya Pili (kama siyo ya Tatu) nakuona kila ukipewa muda wa Kuongea Bungeni Wewe Kazi yako ni Kuisemea tu Yanga SC yako na Kuonyesha pia chuki zako za wazi wazi kwa Rais wa TFF Wallace Karia na Klabu Hasimu Kwako ya Simba SC. Hivi Wewe Mbunge wa Kinondoni Tarimba Abbas (CCM) ulipigiwa...
  10. JamiiForums Tanzania Mbunge sio kiongozi ni muwakilishi tu

    Nimeona watu wakijaribu kumtia mbunge awe ni katika viongozi, utasikia sijui dada fulani katia aibu alafu ni kiongozi kabisa mbunge yule. Mbunge sio kiongozi, kiongozi anasimamia watu. Mbunge anawakilisha watu wa eneo fulani kwa kiongozi. Mbunge ni muwakilishi,ni mtumwa wetu,wasijitie katika...
  11. JamiiForums Tanzania Dokta Ntara: Nguvu za kiume hutibiwa kwa vyakula tu

    Kamati ya Bunge masuala ya Afya iliypkaa dodoma hivi karibuni , kupitia mbunge wake , ambaye pia ni daktari, imesema tiba ya nguvu za kiume ni vyakula na si madaewa, alkasusu, wala mengineyp yatajwayo. Wanawake watakiwa kuwacha wanaume wapumzike kidogo baada ya bao la kwanza, maana mwanaume...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanahalisi imeamua kupotosha kwa makusudi kauli ya mbunge Mwanaisha Mlenge au wametumwa?

    Mwanahalisi imeamua kupotosha kwa makusudi kauli ya Mbunge wa Viti Maalum Tanga Mwanaisha Mlenge. Mwanaisha ameshauri Serikali iwe na Ofisi moja tu ya Tathmini na Ufuatiliaji (Monitoring and Evaluation) badala ya kuwa na ofisi ndogo sita ambazo hazina nguvu kwa kuwa zipo chini ya Wizara...
  13. JamiiForums Tanzania Pole Catherine Magige, hii iwe fundisho kwa wadada maarufu nchini

    Mbunge Catherine Magige amekuwa akiishi na kijana Madoda, Ex TRA Staff ambae alikuwa mkulima na pia anamiliki kampuni ya mikopo. Madoda walitengana na mke wake waliezaa watoto watatu kabla ya umauti haujamkuta. Walianza maisha na mkewe na Mungu aliwabariki kufikia walipofikia. Walitofautiana...
  14. JamiiForums Tanzania Mbunge asema kilimo kinazungumzwa miaka nenda rudi lakini hakuna kinachotatuliwa

    Mbunge wa Bunda Vijijini, Boniface Getere, amesema haiwezekani kuzungumza habari ya Kilimo cha Pamba, Korosho na Alizeti miaka nenda rudi, lakini hakuna kinachotatuliwa. Akichangia majadiliano ya Bajeti ya Kilimo, Mbunge huyo amependekeza kuundwa Kamati itakayojumisha watu wachache, ili...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Stella Manyanya ataka Walemavu nao waingizwe jeshini wakasaidie maeneo ya kutumia akili kama IT

    Mbunge wa Nyasa Stella Manyanya amemuomba Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga taif mh Kuandikwa kuwafikiria walemavu ili nao watumike jeshini katika maeneo ya kutumia akili kama Tehama Manyanya amesema ajira za jeshi huwa haziwafikirii walemavu na amemwomba Waziri awasaidie. Chanzo: ITV...
  16. JamiiForums Tanzania TANZIA Mbunge wa Jimbo la Konde Zanzibar, Khatib Haji afariki Dunia

    Mbunge wa Jimbo la Konde Ndugu, Khatib Haji wa Chama cha ACT Wazalendo, amefariki Dunia. Umauti umemfika katika Hospitali ya Rufaa ya Muhimbili akipatiwa matibabu Alfajiri ya leo. Khatibu aliwahi kuwa Mbunge wa Konde kupitia Chama cha Wananchi CUF mwaka 2010 hadi 2020. Alishawahi kushika nafasi...
  17. JamiiForums Tanzania Mbunge Ng'wasi Damas Kamani: Wakandarasi wa ndani wapewe kipaumbele kwa kupewa kazi zaidi

    Nimemsikiliza huyu mbunge kijana Ng'wasi Damas Kamani na nikatambua ni kichwa. Ameelezea vizuri na kwa ufasaha maswahibu ya wakandarasi wazalendo kwa usafaha tena kwa kina. Bunge inatakiwa kuwa na vichwa kama huyu mbunge. Ni wabunge wachache mno, na miaka ya karibuni sijamwona hata mmoja...
  18. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Mbunge wa Newala mjini, Kapteni Mkuchika?

    Aliwahi kuwa waziri wa utawala bora awamu hii nikasikia amepangiwa kazi maalumu... Sijamuona kwenye uapisho pia sijabahatika kumuona Bungeni yuko wapi Mbunge wangu?
  19. JamiiForums Tanzania Mbunge Jimbo la Lupembe, Edwin Swale: Bajeti ya Wizara ya Ujenzi haina matumaini kwa Watanzania

    Mbunge wa Jimbo la Lupembe, Edwin Swale amesema Bajeti wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imeanza vibaya na haina matumaini kwa Watanzania wengi, Wabunge wote wanalalamika na Waziri naye amekata tamaa. Amesema Wananchi wa Lupembe wamekuwa wakifurika kwenye Kampeni na kushangilia ujio wa barabara...
  20. JamiiForums Tanzania Mbunge na Madiwani Iringa Mjini, wasaidieni Madereva wa Bajaji

    Vijana hawa wananyanyasika sana na polisi pamoja na mkuu wa wilaya. Kila siku lazima wakamatwe au kupigwa mabomu ya machozi bila sababu za msingi. RPC aliapa kuwanyoosha/kulipa kisasi kwa sababu walimzomea mkuu wa wilaya
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…