mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Richard

    JamiiForums Tanzania Tumsikilize mchungaji Gwajima, tusimbeze. Chanjo zote zina bechi tofauti na kuna nchi hukataa baadhi ya bechi na nyingine ni zile zilizobakia

    Utangulizi- Nawaomba Mods msihamishe uzi huu. Mchungaji Josephat Gwajima asimamia maeneo mawili katika hoja yake. Kwanza, kilichomo kwenye chanjo na pili chanjo dhidi ya wanajeshi na walinda usalama wa nchi. La kwanza kuhusu kilichomo kwenye chanjo au (content). Mchungaji Gwajima anadai ni...
  2. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Haki mojawapo ya Mbunge ni kutetea Wananchi wake na sio Serikali

    Mbunge ni kiongozi anayechaguliwa na wananchi ili akawawakilishe Serikalini badala yao. Moja ya haki yake kuu ni kuwatetea wananchi na sio Serikali. Hivyo basi mbunge anapogeuka na kuanza kuitetea Serikali huku wananchi wake anawasaliti hapo anakuwa amevunja haki zake na kuusahau wajibu wake.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Iramba hatumtaki tena Mwigulu Nchemba

    Huyu bwana Dkt. Mwigulu amekuwa akija hapa bila majibu ya maana kwa manufaa ya Jimbo na Wilaya yetu ya Iramba. Huyu hatufai tena kwani kiu yake ni kufanya siasa za KiTaifa ili aje amtoe Mama Samia mwaka 2025. Tunafanya utafiti ni nani sasa atafaa kuiwakilisha Iramba bungeni kuanzia Mwaka 2025...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ile ahadi ya Mbunge wa Kibamba kutoka kwa Mh Rais ndo imeyeyuka?

    Nakumbuka wakati Mh Hayati Rais JPM (R.I.P) kipindi hicho anafungua stand ya Mbezi Lous alimuahidi Mh Mbunge wa Kibamba kuwa kutoka na sababu ya kwamba jimbo hili ndo linaongoza kwa kuwa na kiwango kidogo cha lami yaani chi ya 5%., basi aliagiza timu iundwe na Tanroads pamoja na mbunge wapitie...
  5. NairobiWalker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napenda jinsi huyu mbunge anavyoongea, Hivi yuaitwa nani?

  6. Z

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai ni Mbunge au rais wa nchi fulani?

    Naombeni musikilize hotuba ya Ndugai kwa madiwani. Sikilizeni anavyotetea suala la makato kwa njia ambayo binafsi nimeshindwa kuelewa kama hiyo ni hotuba ya mbunge au rais. Kwa ujumla utaona shida inakoanzia ni wapi. Huyu ni mbunge mzoefu, bado ana akili ya aina hii. Tunakwenda wapi na mbunge...
  7. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mussa Zungu: Ni kweli tozo za miamala zipo juu

    Mussa Zungu, Mbunge wa Ilala amesema haya Hoja kuhusu viwango vya tozo za miamala ziko juu ni kweli yaani Laki moja inatafutwa kwa mbinde halafu ada inakatwa mara tatu, ndio maana Rais Samia ametoa maagizo kwamba litizamwe wapi tulipokosea. Hii kodi tumeiweka kwa ajili ya wenye uwezo, kati ya...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mbunge Erick Shigongo asikiliza kero za wananchi ndani ya basi

    Mh Shigongo mbunge wa Buchosa ameanza kampeni ya kutatua kero za wananchi wake kwa kuwafuata popote ikiwemo ndani ya mabasi ya abiria. Leo ameonekana ndani ya basi lililotokea Kanyara kwenda Sengerema. Chanzo: Global Publishers
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Ofisa mifugo mbaroni kumkashifu Naibu Waziri Katambi

    OFISA Mifugo Manispaa ya Shinyanga, Velan Mwalukwa, ametiwa mbaroni kwa kumtolea lugha chafu Mbunge wa Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi, ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, na Ajira. Mwalukwa, ametiwa Mbaroni jana wakati wa mkutano wa Mbunge Katambi, Kata ya...
  10. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Katika hali na mazingira haya, ukimuuliza mbunge wako kwanini yeye halipi kodi kwenye kipato chake, unadhani atatoa utetezi gani ukamwelewa?

    Hii video ina-trend kwa kasi sana kwenye social media platforms mbalimbali WhatsApp, FB, Instagram, Telegram, Twitter nk nk. Ukweli huu umewakera wengi sana hususani wanapohusianisha na kodi hizi hatari za tozo kwenye miamala ya fedha kupitia mitandao ya simu walizopitisha juzi...
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mbunge Shigongo abananishwa na mwandishi, apuyanga

    Amebanwa maswali manne hakuna hata moja alilotoa jibu la maana kama mwakilishi. 1. Anasema uchumi ulikuwa umeanguka. Akaulizwa kama uchumi ulianguka kipindi cha Magufuli mbona hakuwahi kusema hayo kipindi cha Magufuli anasema leo? 2. Ameulizwa kwa nini bunge limegeuka kuwa chombo cha kusifia...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania RATIBA: Baada ya Mwanza Kongamano la Katiba Mpya lielekee Ikungi -Singida

    Ikumbukwe kwamba siku ya Jumamosi ya 17/7/2021 lile Kongamano kubwa kabisa la Katiba mpya litafanyika Jijini Mwanza , Tunawashukuru Chadema na wadau wote waliowezesha Makongamano haya kufanikiwa . Sina haja sana na kongamano hili ambalo halijafanyika bado , Bali ninachotaka kuwaomba viongozi...
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Watu makini kama mbunge wa Kawe Josephat Gwajima wamekaa kimya juu ya uharamu unaotendwa na serikali kwa wananchi. Hii maana yake nini?

    Je, CCM huwaweka kitimoto wabunge wake mara tu wanapoapishwa? Wanakuwa watu makini lakini huwezi kuwaona wakiipinga serikali kwenye masuala muhimu kama haya ya kodi. Inatia ukakasi sana.
  14. Kanamusi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Musukuma acha kiherehere cha kutusemea watu wa Kanda ya Ziwa

    Mbunge Musukuma sisi wakazi wa kanda ya ziwa hatukukutuma na hatujawahi kukuchagua kuwa msemaji wetu kwa jambo lolote. Sisi wazee na watu wa kanda ya ziwa hatukukutuma kusema hayo unayoita mapigo ya kumjibu Antony Diallo na kama ulikuwa na nia ya kujibu mapigo ungemjibu kwa utashi wako au kwa...
  15. Influenza

    JamiiForums Tanzania Azzan Zungu ataka uwepo wa kodi ya uzalendo itakayokatwa kwenye Mitandao ya simu kwa kila Mtanzania

    Mbunge wa Ilala, Azzan Zungu ametaka kuwepo na kodi ya uzalendo itakayokatwa katika mitandao ya simu kwa kila Mtanzania kwa siku kama chanzo kipya cha mapato kwa Serikali. Amesema kiasi hicho kikikatwa kwa Watanzania milioni 30 kati ya wote waliopo nchini huweza kufikisha shilingi bilioni 540...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Ni kwa jinsi gani utumishi wa Mbunge hupimwa?

    Dhana ya utumishi wa Uma inaanzia pale mtu anapewa dhamana kusimamia Jambo kwa masilahi mapana ya jamii au wananchi kwa ujumla wake. Dhamana hii huundiwa taratibu na kanuni kwa misingi ya kurahisisha na kusimamia utendaji wa mtumishi kwa ukaribu zaidi. Mheshimiwa mbunge ni mwajiriwa wa wananchi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Mkazi yeyote yule wa Jimbo la Kawe aliyeanza kuzishuhudia ahadi lukuki za maendeleo za Mbunge Askofu Gwajima?

    Nikiwa kama Mmoja wa Wavuvi wa Ununio nimeshaandaa Siku nyingi sana Picha zangu 4 za Passport kwa ajili ya Pasi ya Kusafiria ili anikatie VIZA na Mbunge Askofu Gwajima atupeleke nchini Marekani kama alivyotuahidi na kutuhakikishia pia. Askofu Gwajima USA unatupeleka lini?
  18. E

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mpwapwa hii ndiyo bajeti yako ya kwanza

    Bajeti yako ya kwanza katika utawala wako wa ubunge bado haionyeshi dira, unapapasapasa tu mambo hugongi penyewe hii ni kwa sababu hatujakusaidia kuchagua vipa umbele, hatujakusaidia kutambua matatizo. Umeonyesha kujipendekeza kwa mawaziri, hauko sahihi jipendekeze kwa makatibu wakuu ndiwo wenye...
  19. beth

    JamiiForums Tanzania Tanga: Mbunge wa zamani Bumbuli, wenzake waachiwa huru na mahakama

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Tanga imewaachia huru wakurugenzi sita wa bodi ya kiwanda cha chai cha Mponde Tea Estate akiwamo mbunge wa zamani wa Bumbuli, William Shelukindo. Wameachiwa baada ya ofisi ya Taifa ya mashtaka kufuta mashtaka ya uhujumu uchumi yaliyokuwa yakiwakabili ikieleza...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Lissu ni Mshindi

    TUNDU LISU NI MSHINDI Na, Robert Heriel Moja ya sifa ya Mtumishi wa Mungu ni kumshuhudia Mungu kwa Matendo makuu aliyoyafanya. Tumezoea watumishi wa Mungu tuendapo kwenye nyumba za ibada wakituhadithia simulizi za kwenye misahafu kwa habari ya mambo yaliyopita miaka ya kale. Wote...
Back
Top Bottom