Mbunge Stella Manyanya ataka Walemavu nao waingizwe jeshini wakasaidie maeneo ya kutumia akili kama IT

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,840
141,765
Mbunge wa Nyasa Stella Manyanya amemuomba Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga taif mh Kuandikwa kuwafikiria walemavu ili nao watumike jeshini katika maeneo ya kutumia akili kama Tehama

Manyanya amesema ajira za jeshi huwa haziwafikirii walemavu na amemwomba Waziri awasaidie.

Chanzo: ITV habari

Kazi Iendelee!
 
Source: ITV habari

Kazi Iendelee!
Hivi bungeni unarehusiwa kusema chochote hata utopolo?
 
Mbunge wa Nyasa Stella Manyanya amemuomba Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga taif mh Kuandikwa kuwafikiria walemavu ili nao watumike jeshini katika maeneo ya kutumia akili kama Tehama

Manyanya amesema ajira za jeshi huwa haziwafikirii walemavu na amemwomba Waziri awasaidie.

Source: ITV habari

Kazi Iendelee!

Ni jambo jema ,maana najua na yeye ana mtoto mwenye ulemavu.
 
Jeshi ni jambo lingine tofauti, ndo maana interview yake huhusishwa ukaguzi wa mwili mzima. Watu wenye nyayo isiyo na uvungu, matatizo ya macho etc hawanaweza kuwa not suitable. Naomba ieleweke hiyo
Hahahaaaa...... Kwanini nyayo isiyo na uvungu hawachukuliwi?
 
Jukumu la kwanza na la muhimu kwa mwanajeshi ni ulinzi-kuilinda nchi na kupigana vita,hata akiwa mtaalamu wa IT,Daktari vita ikitokea lazima aende.Sasa mtu mwenye ulemavu ataweza kupigana vita?Watu wenye ulemavu wanaweza kufanya kazi nyingine kama ualimu,unesi,ubunge,uwaziri nk.
 
TOMATO.jpg
 
Back
Top Bottom