mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mbunge ataka kuwe na utaratibu wa kuchukua fedha M-Pesa, Tigo Pesa kwa watu wanaofariki na kuacha fedha huko

    Mbunge wa Viti Maalum, Judith Kapinga amesema watu wanaofariki na kuacha fedha kwenye mitandao kama Tigo pesa, M-Pesa, Airtel Money nk wanazinufaisha kampuni za simu huku serikali ikiwa haipati kitu. Ameishauri serikali iweke utaratibu ili ndugu wa karibu waweze kudai fedha hizo na serikali...
  2. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani na suala la Mbunge kuteuliwa kuwa Waziri

    Ilitakiwa iwe hivi. Uwaziri uwe ni kazi ya utumishi, mtanzania mwenye elimu ya juu inayoendana na hiyo wizara, mwenye uzoefu na mwenye sifa za kuongoza wizara hiyo atume maombi kuomba kazi ya uwaziri. Kwani mbunge kuwa waziri unamfanya kuwa na vyeo viwili hiyo ni poor allocation of employment...
  3. Mkaruka

    JamiiForums Tanzania INAKUWAJE: Umekuwa Mbunge, umesoma nje ya nchi, umefanya kazi Obama foundation lakini bado unavizia teuzi za uDC, uRAS ?

    Kiukweli serikali iheshimu sekta binafsi. Kujiajiri kwa mafanikio ni kipaji cha kipekee sana. Hivi inawezekana vipi Joshua Nassari kutumia pesa za ubunge kwenda kusoma nje, lakini unarudi kutafuta teuzi ??? Lijualikali alikuwa anatafuta teuzi mpaka analia licha ya kuwa na mshahara, posho na...
  4. The Khoisan

    JamiiForums Tanzania Nitamuita Shujaa wa Taifa Mbunge yeyote atakayependekeza kodi kwa Wabunge

    Kwa kweli wananchi wa Tanzania hasa wafanyakazi wa serikali wamesota sana kwa miaka 6 iliyopita. Kuiishi miaka yote hiyo bila kuongezewa mshahara wakati ghalama za maisha zikiendelea kupanda kwa kweli siyo mchezo. Hapa lazima tuwapongeze hawa wafanyakazi. ingekuwa nchi za wenzetu has kama za...
  5. beth

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mwinyi: Kilimo na Ubunifu havijapewa support ipasavyo kwenye Bajeti ya Serikali

    Mbunge Abdullah Mwinyi amesema Bajeti ya Serikali haijaunga mkono ipasavyo Sekta za Kilimo na Ubunifu ambazo zinategemea kuwapa Ajira nyingi kwa Watanzania. Akichangia majadiliano Bungeni amesema, "Lazima turuhusu Ubunifu ustawi na tuulee, sekta hiyo kwa Tanzania ukilinganisha na Afrika...
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kibonzo: Ukitaka kula mema ya nchi kuwa mbunge

    Mishahara yao haikatwi kodi, wanapata kiinua mgongo kila baada ya miaka mitano pasi kuchangia mfuko wa jamii. Tena mafao yao yanatoka kwa wakati stahiki hakuna njoo kesho.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hamis Tabasamu, Mbunge wa Sengerema usichokoze hisia za watu

    Leo wakati Rais wa Tanzania akihitimisha ziara yake mkoani Mwanza, aliongea na kundi muhimu sana katika jamii yoyote ile (vijana) Mh Rais aliwataka wabunge waliokuepo eneo hilo anhalau watoe salam. Mbunge wa Sengerema ndugu Tabasamu amewaambia vijana eti wasome waelewe ila serikalini hakuna...
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Mbunge Munde Tambwe: Fedha zinazokusanywa na Serikali sio kwa ajili ya kulipana posho

    Mbunge Munde Tambwe amemuomba Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba kuhakikisha Fedha zinazokusanywa na Serikali zinaelekezwa kwenye Maendeleo badala ya kulipana posho. Akizungumza katika majadiliano ya Bajeti Kuu ya Serikali 2021/22 amesema, "Pesa hizi wazipeleke zikafanye kazi ya kuwakomboa...
  9. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson (Mbunge wa Mbeya Mjini) Roho inamsuta

    Waswahili wanasema ukizoea vya kunyonga basi siku ukiambiwa kuchinja utaona unaonewa. Sisi wananchi wa Mbeya hatujawahi kuikubali CCM tangu tulipopatiwa option ya nini cha kuchagua kati ya chama cha viongozi na chama cha watawala. Tulia jitazame na ujitafakali kwa hiyo nafasi yako ndani ya...
  10. Mtu wa Pwani

    JamiiForums Tanzania Kwanini mbunge Musukuma anapenda kuwadharau wasomi wetu?

    Nimesikiliza kwa makini wakati mbunge Musukuma akichangia leo bungeni, moja alikua akichangia kuhusu bajeti na kuwaita wataalamu wetu wa uchumi kua wataaalamu uchwara, hasa akitetea kuhusu wamachinga na kuondolewa barabarani hasa Kariakoo. Hali iliopelekea Naibu Spika kumtaka aondoe neno hilo...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tarimba Abbas Tarimba wa (CCM) ana Uchungu na Urais wa TFF kuliko Jimbo lake la Kinondoni?

    Hivi hizi Hasira zake na haya Machungu yake dhidi ya Kuutaka kwa udi na uvumba huku akiwa ameshapoteza sifa na matumaini angezihamishia katika Kuyazungumzia Matatizo Sugu ya Wakazi wa Jimbo lake la Kinondoni leo hii asingeshukuriwa na Kupendwa zaidi na Wapiga Kura wake? Kwa jinsi Mbunge Tarimba...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Kauli za Chuki za Mbunge Tarimba Abbas (CCM) dhidi ya Simba SC na TFF naiomba Simba SC iachane rasmi na SpotiPesa yake

    "TFF ni Simba SC na Simba SC ni TFF na tumeshaona jinsi Simba SC inavyobebwa na TFF kiasi cha wengine Kuchoshwa na Upuuzi huu ", Mbunge wa Kinondoni Tarimba Abbas Tarimba. Chanzo: Sports Court Wasafi FM leo. Simba SC nadhani tumeshauvumilia huu unafiki uliopitiliza wa Mbunge wa Kinondoni...
  13. Chomo

    JamiiForums Tanzania Msigwa: bora nisiwe mbunge kuliko kuhamia CCM

    Katika mahojiano na mwandishi wa Star TV muheshimiwa Peter Msigwa asema aliitwa ofisini kwa spika ndugai akishawishiwa kuhamia ccm kwa malipo ya ubunge pia amezungumzia suala la wabunge wasio na chama maarufu kama covid 19
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa zamani wa Ubungo, Saed Kubenea achukua fomu kugombea Urais wa TFF

    Hii ndio taarifa ya sasa kutoka ofisi za TFF , Hata hivyo kabla ya kukabidhiwa fomu yake Kubenea alilalamika kwamba kulikuwa na njama za kumchelewesha makusudi.
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kinondoni Abbas Tarimba achukua fomu ya kugombea Urais wa TFF

    Hii ndio taarifa ya leo hii kutoka kwa watoa fomu
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Bukombe, Geita: Walimu waripotiwa kuzihama nyumba walizojengewa na Serikali kutokana mauzauza

    Baadhi ya walimu wilaya ya Bukombe wameripotiwa kuzihama nyumba walizojengewa na Serikali na kwenda kupanga mjini Ushirombo kutokana na kuona mauzamauza ya sungura waliovaa tai na watu waliosimama katika nyumba hizo usiku. Hayo yamebainishwa katika kikao cha baraza la madiwani. Chanzo: Clouds...
  17. Replica

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mavazi aomba muongozo wa Dawati la kina Baba, Spika amuunga mkono

  18. beth

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia amjibu Mbunge aliyehoji kuhusu Uwanja wa Ndege Msalato. Asema Rais kashasema utajengwa

    Katika kipindi cha maswali na majibu, Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, amesema Naibu Waziri hawezi kusema kitu tofauti na alichozungumza Rais. Amesema hayo baada ya Mbunge Kunti Majala kuhoji ni lini Serikali itajenga Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato akisema haupo kwenye Bajeti...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Fredrick Lowassa, mbona kimya Bungeni?

    Ni takriban miezi saba sasa tangu uwepo wa bunge hili, Mbunge wa Monduli Mh. Fredrick Lowassa hatujamsikia akichangia chochote kama alivyokuwa mtangulizi wake, Mh. Julius Kallanga aliyekuwa na makeke sana? Au naye kajiunga kwenye kundi la Mh. Abood yule wa Morogoro asiyechangia bungeni?
  20. beth

    JamiiForums Tanzania Lucy Mahenga: Huduma katika Hospitali Kuu ya Mkoa wa Dodoma sio ya kuridhisha

    Mbunge wa Viti Maalum, Lucy Mahenga, amesema huduma katika Hospitali Kuu ya Mkoa wa Dodoma sionza kuridhisha, vitu vingi vina kasoro na wananchi wamekuwa wakilalamika. Akiwa Bungeni amesema, "Hospitali imekuwa ikihudumia Wagonjwa wengi sana, hasa kutokana na kwamba idadi kubwa ya Wananchi...
Back
Top Bottom