Kwanini Tarimba Abbas Tarimba wa (CCM) ana Uchungu na Urais wa TFF kuliko Jimbo lake la Kinondoni?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
42,350
2,000
Hivi hizi Hasira zake na haya Machungu yake dhidi ya Kuutaka kwa udi na uvumba huku akiwa ameshapoteza sifa na matumaini angezihamishia katika Kuyazungumzia Matatizo Sugu ya Wakazi wa Jimbo lake la Kinondoni leo hii asingeshukuriwa na Kupendwa zaidi na Wapiga Kura wake?

Kwa jinsi Mbunge Tarimba Abbas anavyohangaika na TFF huku akiuota Urais wake kuna Uwezekano labda Yeye si Mbunge wa Jimbo la Kinondoni na akawa ni Mbunge wa Kinondoni Football Club Yanga Utopolo Sports Club na Wananchi wengi hatulijui hili.

Wallace Karia miaka Minne (4) tena kama Rais wa TFF. Anayemchukia Karia atakuwa ana Roho ya Kichawi na Akili zake ni za 'Kipa Katoka' pia.
 

mmteule

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
3,727
2,000
Yaan mimi pia nimejiuliza swali kama hilo several times, hivi Tarimba katoka kufiwa Watoto wawili kwa mpigo! Sioni akiwa na uchungu wa kupoteza Watoto au kupambana na Ugonjwa uliowaua wanawe bali yeye ana Uchu wa Kupambana na TFF.

Huyu aangaliwe asije akaiweka TFF kwenye Betting Gangs maana yeye na Michezo ya Bahati nasibu ni sawa na MO na Juice au Azam na Ice Cream.

Tarimba ni Mpigaji na mzee wa kutumia fursa hastahili kupewa TFF
 

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
1,515
2,000
Yaan mimi pia nimejiuliza swali kama hilo several times, Hivi Tarimba katoka Kufiwa Watoto wawili kwa mpigo! Sioni akiwa na uchungu wa kupoteza Watoto au kupambana na Ugonjwa uliowaua wanawe bali yeye ana Uchu wa Kupambana na TFF...
Sheria za fifa hazimruhusu kwa position aliyoko yeye kugombea uongozi wa soka kachukua form makusudi ili kuleta vurugu tu jina likikatwa,he is pathetic na inamuuma sbabu msimu ujao simba wanaachana na hao sportspesa hata kwenye mambo ya betting kapigwa bao na betpawa
 

darcity

JF-Expert Member
Jul 20, 2009
5,724
2,000
Aliigawa mara mbili, Yanga kampuni aliyeongoza yeye na Yanga Asili/wananchi lililoongozwa na Marehemu Mzee Yusuph Mzimba. Baadae Marehemu Mzee Reginald Mengi akiwa kama mdhamini alijaribu kusuluhisha huu mgogoro.

Na ndicho kilichomvutia paka shume Yusuph Manji kumwaga fedha na :kujimilikisha' Yanga kwa sababu ya kumkomoa hayati Mengi ambaye magazeti yake yalifichua ufisadi na wizi wake wa mabilioni ya pesa aliyokopa mfuko mmojawapo wa fedha,akajengea jengo na kisha akauzia hilo shirika lilomkopesha mara mbili ya kiasi alichokopeshwa.

Fedha hizo ndizo alizotumia Manji kufadhili Yanga na kujificha.Kabla ya hapo alikuwa na fedha za kawaida kupitia gereji yake ya kuunda bodi za mabasi ( Quality Garage)
 

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
42,350
2,000
Yaan mimi pia nimejiuliza swali kama hilo several times, Hivi Tarimba katoka Kufiwa Watoto wawili kwa mpigo! Sioni akiwa na uchungu wa kupoteza Watoto au kupambana na Ugonjwa uliowaua wanawe bali yeye ana Uchu wa Kupambana na TFF...
Kawaharibu sana Vijana wengi wa Kinondoni ( hasa Kipindi cha Utawala wa Rais Kikwete ) kwa kuwaingiza katika Ulaibu wa Poda (Ngada) ambayo ameiuza mno na ndiyo imemtajirisha kama Swahiba wake Idi Azzan ambaye nae Wakazi (hasa Wazazi wa Msasani ) hawana hamu nae.
 

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
42,350
2,000
sheria za fifa hazimruhusu kwa position aliyoko yeye kugombea uongozi wa soka kachukua form makusudi ili kuleta vurugu tu jina likikatwa,he is pathetic na inamuuma sbabu msimu ujao simba wanaachana na hao sportspesa hata kwenye mambo ya betting kapigwa bao na betpawa
Umemaliza kila Kitu Mkuu na umesema Ukweli mtupu na wala siongezi tena neno lolote lile.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom