Mbunge wa Jimbo la Ulanga, Mkoani Morogoro Salim Alaudin Hasham ameliomba jeshi la Polisi wilayani humo kuacha kuwaonea wananchi jamii ya wakulima pindi wanapopeleka kesi za wafugaji kulisha mifugo katika mashamba yao badala yake wawasaidie kupata haki zao ili kupunguza mvutano kati ya jamii...