Kaliua Wapokea Gari la Wagonjwa Bungeni, Mbunge Kwezi Amshukuru Rais Samia Suluhu Hassan

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,902
944

Kaliua Wapokea Gari la Wagonjwa Bungeni, Mbunge Kwezi Amshukuru Rais Samia Suluhu Hassan

MBUNGE, Mhe. Aloyce Andrew Kwezi, Mbunge wa Jimbo la Kaliua akikabidhiwa gari ya wagonjwa kwa niaba ya wananchi wa Jimbo la kaliua huku Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mchengerwa amewataka wabunge kupanga gari hizo kwenye uhitaji.

Aidha, katika hafla ya ugawaji magari ya wagonjwa mgeni rasmi alikuwa ni Mhe. Dkt. Tulia Ackson, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ameomba Wabunge kupeleka gari hizo eneo sahihi ili wananchi wafaidike na huduma.

Vilevile, Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Mhe. Aloyce Andrew Kwezi wakati akipokea gari hilo amemshukuru Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwawajali wananchi wa Jimbo la kaliua.
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2023-11-11 at 13.56.23(1).jpeg
    WhatsApp Image 2023-11-11 at 13.56.23(1).jpeg
    87.2 KB · Views: 4
  • WhatsApp Image 2023-11-11 at 14.00.12.jpeg
    WhatsApp Image 2023-11-11 at 14.00.12.jpeg
    451.8 KB · Views: 4
  • WhatsApp Image 2023-11-11 at 13.56.23.jpeg
    WhatsApp Image 2023-11-11 at 13.56.23.jpeg
    81.4 KB · Views: 4
  • WhatsApp Image 2023-11-11 at 13.56.21(1).jpeg
    WhatsApp Image 2023-11-11 at 13.56.21(1).jpeg
    89 KB · Views: 4
  • WhatsApp Image 2023-11-11 at 13.56.19.jpeg
    WhatsApp Image 2023-11-11 at 13.56.19.jpeg
    94.5 KB · Views: 4
Back
Top Bottom