mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tafakuri: Haya Majiko ya Gesi wanayogawa Wabunge kila kona yanatoka wapi?

    Wanajamvi sijui kama na nyie mnaona au ni mimi tu,nimekuwa nikifuatilia kwa muda sasa naona Wabunge wanagawa sana Majiko ya Gesi majimboni mwao. Ninachojiuliza ni kwamba wanaigana au wanakubaliana kuwa ndiyo zawadi nzuri au kuna maelekezo au kuna sehemu wamepata majiko hayo kwa fadhila au ni...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Ester Midimu Atoa Baiskeli 400 na Majiko ya Gesi 400 kwa Viongozi UWT Mkoa wa Simiyu

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Simiyu Ester Midimu ametoa Baiskeli zaidi ya 400 na majiko ya Gesi zaidi ya 400 kwa viongozi wa Kata kupitia Umoja wa Wanawake (UWT) wa mkoa huo ili kuwawezesha kufanya kazi za Chama Cha Mapinduzi na kutunza mazingira. Mbunge huyo amesema wanawake hao wamekuwa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Hili suala la posho ya mbunge ya siku moja kuzidi mshahara wa mwezi wa Mwalimu, HALIKUBALIKI!

    Salaam wapenzi wana JF. Leo nimeamua kuwasilisha hii kero ya ukosefu wa usawa linapokuja suala la kufaidi keki ya Taifa. Yaani haiingii akilini kabisa kwa mbunge kulipwa pesa ya posho ya siku moja ambayo ni kubwa zaidi kuliko mshahara wa Mwalimu wa mwezi mzima. Siyo sawa kabisa. Ahsanteni.
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Cherehani: Maji ya Ziwa Victoria Kufika katika Halmashauri ya Ushetu

    Mbunge Cherehani: Maji ya Ziwa Victoria Kufika katika Halmashauri ya Ushetu. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia kuanza kwa utekelezaji wa kufikisha mradi wa maji wa ziwa Victoria katika halmashauri ya Ushetu. Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso ameyasema...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Subira Mgalu: Rais Samia amepeleka Zaidi ya Bilioni 29.11 Katika Sekta ya Elimu mwaka 2022-2023 Mkoa wa Pwani

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mhe. Subira Mgalu amesema kuwa katika mwaka wa fedha 2022-2023 Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imepeleka zaidi ya Shilingi Bilioni 29.11 katika Mkoa wa Pwani kwaajili ya ujenzi...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Tarimo Akabidhi Pikipiki Nne kwa Jeshi la Polisi

    Katika kuhakikisha Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro linapata vitendea kazi vitakavyo tumika katika kutimiza majukumu yao,Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini Priscus tarimo amewezesha Jeshi hilo kwa kukabidhi Pikipiki nne ili kuongeza urahisi wa kusimamia ulinzi na usalama . Akikabidhi Pikipiki...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Cherehani: Tumuombee Rais Samia akamilishe Miradi ya Maendeleo

    Watanzania wamehamasishwa kuendelea kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan ili aweze kutekeleza na kukamilisha miradi ya maendeleo anayotekeleza. Rai hiyo imetolewa leo Januari 7 na Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Mhe. Dk. Emmanuel Cherehani alipoongoza...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Saashisha Mafuwe amlilia Katibu wake, Mwal. Benson Lema

    Mbunge Saashisha Mafuwe Amlilia Katibu wake, Mwal. Benson Lema Aliyekuwa Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Hai Mwl. Benson Lema azikwa kijijini kwao Nronga – Machame. Mamia ya waombolezaji wakiongozwa na mbunge wa jimbo la Hai Saashisha Mafuwe wameshiriki katika ibada ya maziko ya aliyekuwa katibu...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Hakuna mbunge yeyote anayeleta maendeleo, maendeleo huletwa na Serikali

    Kwa mfumo wa nchi za kiafrika, hakuna mbunge anayeleta maendeleo, Kama Serikali haina kipaumbele na eneo husika, hata mbunge ufanyeje, huwezi kupata hayo maendeleo Naomba kuwasilisha
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Lugangira: Matumizi ya Mitandao Katika Uchaguzi yaingie Katika Sheria

    Mbunge Lugangira: Matumizi ya Mitandao Katika Uchaguzi Yaingie Katika Sheria MBUNGE wa Viti Maalumu, Neema Lugangira ameshauri Mswada wa Sheria ya Tume Huru ya Uchaguzi uwe na Ibara inayoongelea masuala ya Matumizi ya Mitandao katika Uchaguzi ikiwemo (Akili Mnemba - AI). Lugangira ametoa...
  11. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Inadaiwa, Mbunge wa Busega Bwana Simoni Songe amewahonga wajumbe 800 kila mmoja elfu thelathini kama ushawishi wa kuja kuchaguliwa

    Kuna Madai ya Mbunge wa Jimbo la Busega bwana Simoni Songe hivi karibuni mwezi December mwaka 2023 aliwaita wajumbe wa CCM 800 na kuwahonga kila mmoja elfu thelathini alitumia kama million25 kwamba kiongozi anaenda Bungeni anapewa posho ya Kuja kuwahonga walipa kodi lakini vyombo vya dola...
  12. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Nani anamlinda Gekul? DPP asema hana mpango wa kuendelea na kesi

    ==== Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya Babati, Victor Kimario ameieleza Mwananchi Digital kuwa kesi hiyo imetajwa leo Jumatano Desemba 27, 2023 mbele yake na ameifuta baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuwasilisha taarifa ya kutokuwa na nia ya kuendelea nayo. Kesi hiyo ilifunguliwa na...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Cherehani: Tusiache Kumuombea Rais Samia

    Mbunge Cherehani: Tusiache Kumuombea Rais Samia Mbunge wa jimbo la Ushetu Mhe. Emmanuel Cherehani amewahimiza waumini wa dini zote kuendelea kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt .Samia Suluhu Hassa ili kumpa nguvu zaidi katika kuwatumikia watanzania Wito huo umetolewa...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Usiku kama Mchana!, Mbunge Rohoro Agawa TV Bunge la Kahawa - Ngara

    USIKU KAMA MCHANA!, RUHORO AGAWA TV BUNGE LA KAHAWA - NGARA Mbunge wa Jimbo la Ngara Mh. Ndaisaba George Ruhoro anapenda kuujulisha umma na Wananchi wa Jimbo la Ngara kuwa anaendelea na Zoezi la ugawaji wa Television (TV) kwenye vijiwe/mabunge ya kahawa yaliyopo Wilayani Ngara. Lengo kubwa ni...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Janejelly Ntate Aendesha Semina ya Utekelezaji wa Maono ya Mama Samia kwa Akina Mama wa Mkoa wa Dar

    MHE. JANEJELLY NTATE AENDESHA SEMINA YA UTEKELEZAJI WA MAONO YA MAMA SAMIA KWA WAKINA MAMA WA MKOA WA DAR ES SALAAM Mbunge wa Viti Maalum (Anayewakilisha Wafanyakazi Nchini) Anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Janejelly James Ntate leo tarehe 22 Disemba, 2023 Msimbazi Centre, Ukumbi wa...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ngara, Ndaisaba Ruhoro Amegawa TV Kwenye Vijiwe na Mabunge ya KAHAWA Wilayani Ngara ili Wananchi Waendelee Kupata Taarifa Muhimu

    Mbunge wa Jimbo la Ngara Mh. Ndaisaba George Ruhoro anapenda kuujulisha umma na Wananchi wa Jimbo la Ngara kuwa anaendelea na Zoezi la ugawaji wa Television (TV) kwenye vijiwe/mabunge ya kahawa yaliyopo Wilayani Ngara. Lengo kubwa ni kuwawezesha Wananchi kupata taarifa za Mambo mbalimbali...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Juliana Masaburi atimiza ahadi yake ya ujenzi wa Zahanati Serengeti

    MHE. JULIANA MASABURI AMALIZA AHADI YAKE YA KUTOA CEMENT KATIKA KITONGOJI CHA NYAMERAMA 🗓️ 14 DECEMBER 2023 📍Serengeti, Mara 📸 picha na Matukio Mbalimbali Ndugu Edmund Atanas Changwe Akikabidhi Cement kwa Viongozi wa Kitongoji cha Nyamerama kwa niaba ya Mh Mbunge Juliana Didas Masaburi...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Hanang, Eng. Hayuma alilia Serikali athari za mafuriko ya Hanang

    MBUNGE WA HANANG, ENG. HAYUMA AILILIA SERIKALI, ATHARI ZA MAFURIKO YA HANANG Mbunge wa Jimbo la Hanang, mkoani Manyara, Eng. Samwel Hayuma ameingukia serikali akiiomba kuwatazama kwa jicho la pili wafanyabiashara ambao wamepoteza mali zao kutokana na mafuriko ya maporomoko ya tope yaliyotokea...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Cherehani: Vijana Msikate Tamaa Mnapoanza Mapambano ya Kufikia Ndoto Zenu

    “Ukiona kazi haina upinzani achana nayo, kazi yoyote ambayo ina maslahi kwa watu lazima iwe na upinzani,” - Mbunge Cherehani Mbunge wa Ushetu mkoani Shinyanga Mhe. Emmanuel Cherehani amewasihi vijana kutokata tamaa pindi wanapoanza mapambano ya kuzifikia ndoto zao Mhe. Cherekani amesemaa hayo...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Munira Mustafa Khatibu Akabidhi Matofali 2,000 Ujenzi Miradi ya UVCCM Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar

    Mbunge Munira Mustafa Khatibu Akabidhi Matofali 2,000 Ujenzi Miradi ya UVCCM Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar Mbunge wa Viti Maalum Kundi la Vijana Taifa Mhe. Munira Mustafa Khatibu amekabidhi Matofali 2,000 kwa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kaskazini Unguja Ndugu Ismail Ali Ussi kwaajili ya...
Back
Top Bottom