mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Mbarali imekuwa ikitoza ushuru wakulima bila kuwatengenezea barabara

    Moja Kwa Moja kwenye mada; niwapongeze wilaya ya Mbeya vijijini waliohusika na ujenzi wa Barabara ya Inyala -Malamba kupitia hospitali ya wilaya iliyopo Inyala Hadi stesheni ya Tazara Kijiji Cha Malamba. Barabara hii haijawahi kutengenezwa toka mwaka 1970 wakati wa ujenzi wa reli. Barabara hii...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Santiel Kirumba Aongoza Maadhimisho ya Mtoto Njiti Duniani, Agawa majiko ya Gesi, Aiomba Serikali Iongeze Likizo Mama Aliyejifungua Mtoto Njiti

    MBUNGE SANTIEL KIRUMBA AONGOZA MAADHIMISHO YA MTOTO NJITI DUNIANI, AGAWA MAJIKO YA GESI, AIOMBA SERIKALI IONGEZE LIKIZO MAMA ALIYEJIFUNGUA MTOTO NJITI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga Mhe. Santiel Kirumba ameongoza Maadhimisho ya Mtoto Njiti duniani katika Halmashauri ya Wilaya ya...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge Fyandomo ashtukia upigaji ujenzi wa stendi Tukuyu. Hizi sio paving ni mchanga na wahandisi wapo

    Mbunge wa vitu maalum Mkoa wa Mbeya Mhe. Suma Ikenda Fyandomo, ameshtukia mchezo unaofanywa na wataalamu katika ujenzi wa stendi ya mabasi katika Mamlaka ya mji mdogo wa Tukuyu Mkoani Mbeya, kwa kupanga tofali ndogo za nzege (PAVING BLOCK) zilizo chini ya kiwango hali inayo hatarisha ubora wa...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Aysharose Mattembe Aitaka Halmashauri ya Wilaya ya Singida Kuwa na Miradi ya Maendeleo Kuongeza Ukusanyaji Mapato

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Singida, Mhe. Aysharose Mattembe Asisitiza kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Singida inapaswa kuwa na Mradi ambao utasaidia katika Ukusanyaji wa mapato ili kuinua Uchumi wa Halmashauri hiyo. Pia, Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Singida, Mhe. Aysharose Mattembe...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Salim Atoa Onyo kwa Polisi Ulanga/Mahenge

    Mbunge wa Jimbo la Ulanga, Mkoani Morogoro Salim Alaudin Hasham ameliomba jeshi la Polisi wilayani humo kuacha kuwaonea wananchi jamii ya wakulima pindi wanapopeleka kesi za wafugaji kulisha mifugo katika mashamba yao badala yake wawasaidie kupata haki zao ili kupunguza mvutano kati ya jamii...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Fyandomo Ashtukia Upigaji Ujenzi wa Stendi Tukuyu

    Mbunge wa vitu maalum Mkoa wa Mbeya Suma Ikenda Fyandomo, ameshtukia mchezo unaofanywa na wataalamu katika ujenzi wa stendi ya mabasi katika Mamlaka ya mji mdogo wa Tukuyu Mkoani Mbeya, kwa kupanga tofali ndogo za nzege (PAVING BLOCK) zilizo chini ya kiwango hali inayo hatarisha ubora wa stendi...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Saashisha Mafuwe aishukuru Serikali ya CCM kwa kumaliza mgogoro wa muda mrefu KIA

    Mbunge wa Jimbo la Hai Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Saashisha Mafuwe amekishukuru Chama Cha Mapinduzi na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kufuatia kwa zoezi la kumaliza mgogoro wa Ardhi katika Uwanja wa Ndege wa...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Eng. Ulenge: Ifike Wakati Tuangalie Vipaumbele vya Taifa Letu Ili Tuweze Kusonga Mbele

    MBUNGE ENG. ULENGE: IFIKE WAKATI TUANGALIE VIPAUMBELE VYA TAIFA LETU ILI TUWEZE KUSONGA MLELE "Kamati ya Miundombinu tulikutana na Kamati ya Wizara ya Fedha, kiliniumiza ni kuwepo na miradi mingi ya maendeleo ambayo Fedha haziendi kwa wakati. Ifikie wakati tuangalie vipaumbele vya Taifa letu...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Jafari Chege Aitaka Serikali Kufanya Maboresho ya Sera ya Ardhi Mwaka 1995

    MBUNGE JAFARI CHEGE AITAKA SERIKALI KUFANYA MABORESHO YA SERA YA ARDHI MWAKA 1995 "Je, ni lini Serikali itafanya maboresho ya Sera ya Taifa ya Ardhi ya mwaka 1995" - Mhe. Jafari Chege Wambura, Mbunge wa Jimbo la Rorya "Rasimu ya Sera ya Taifa ya mwaka 1995 toleo la mwaka 2023 liliwasilishwa...
  10. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Video: Waziri na mbunge wa Tanga akila kwa anasa huku akisahau wananchi jimboni kwake wana dhiki

  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kaliua Wapokea Gari la Wagonjwa Bungeni, Mbunge Kwezi Amshukuru Rais Samia Suluhu Hassan

    Kaliua Wapokea Gari la Wagonjwa Bungeni, Mbunge Kwezi Amshukuru Rais Samia Suluhu Hassan MBUNGE, Mhe. Aloyce Andrew Kwezi, Mbunge wa Jimbo la Kaliua akikabidhiwa gari ya wagonjwa kwa niaba ya wananchi wa Jimbo la kaliua huku Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mchengerwa amewataka wabunge kupanga gari hizo...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Keneth Nollo: Serikali ifute ada Vyuo Vikuu

    Akichangia bungeni mbunge Keneth Nollo, amesema serikali ifikirie kuondoa ada kwa wanafunzi wa chuo nchini sababu umasikini na mkubwa na wengi hawawezi kumudu. Badala yake wanafunzi wa nje pekee ndio wawe wanalipa ada.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimesikia Wabunge wakisema hawaungi mkono hoja! Spika Tulia ajiuliza waliounga mkono walitoka wapi!

    Salaam, Kwakweli katika kufatilia vipindi vya bunge sijawahi kuona mbunge akichangia hoja halafu mwishoni aseme siungi mkono hoja! Mara zote huwa wanatoa malalamiko weee ya kukosoa hoja hiyo lakini mwisho wa siku wanaunga mkono hoja, leo kwa mara ya kwanza nimeona mbunge kagoma kuunga mkono...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Nicodemas Maganga: Mbogwe Tumejipanga, Mtumishi Mwizi Hatatoka Salama, Tumejipanga Kuzuia Uhalifu

    Mbunge Nicodemas Maganga: Mbogwe Tumejipanga, Mtumishi Mwizi Hatatoka Salama, Tumejipanga Kuzuia Uhalifu Mbunge wa Jimbo la Mbogwe, Mhe. Nicodemas Henry Maganga wakati akichangia Mpango wa Bajeti 2024-2025 ya Shilingi Trilioni 47.4 amesema kuwa Mbogwe wamejipanga kuzuia uhalifu fedha za...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Reuben Nhamanilo Aiomba Serikali Kuongeza Nguvu kwa Wananchi katika Ujenzi wa Shule za Msingi Handeni Mjini

    "Je, ni lini Serikali itamaliza mgogoro wa mpaka kati ya Handeni na Kilindi katika eneo la Bondo" - Mhe. Kwagilwa Reuben Nhamanilo Reuben Nhamanilo, Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini "Serikali imekwishatatua mgogoro wa mpaka kati ya Halmashauri ya Handeni na Kilindi katika eneo la Bondo kwa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Tutajie Mbunge ambaye hujawahi kumsikia akichangia chochote Bungeni

    Hadi wakina Msukuma na Mpina wanapata nafasi kila siku ya kuchangia kati ya wabunge 360 ni ukweli kwamba wapo wabunge wengi ambao kwao wao ubunge ni posho. Vikao vya bunge vinaanza hadi vinamalizika hakuna siku amewahi kuchangia chochote. Wengi wao ni wabunge wa viti maalum. Swali la kujiuliza...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Norah Waziri Mzeru (Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Morogoro) Atembelea Katika Shule ya Sekondary Lupanga Mkoani Morogoro

    Mbunge Norah Waziri Mzeru (Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Morogoro) Atembelea Katika Shule ya Sekondary Lupanga Mkoani Morogoro Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru amewaasa wahitimu wa Kidato cha Nne Katika Shule Ya Sekondary Lupanga Mkoani Morogoro wasome kwa bidii kwa...
  18. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania TANAPA ni shida Wanawaonea sana Wafugaji, Mbunge Musukuma anasema kweli

    Nimesikiliza na kuangalia Bunge kuhusu utendaji kazi wa baadhi ya maafisa wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) bila shaka Serikali inatakiwa kuangalia taasisi hii au mamlaka hii.
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mkundi: Serikali iwekeze kwenye huduma za Kijamii

    Mbunge wa jimbo la Ukerewe (CCM), Mhe. Joseph Mkundi ameishauri serikali kuwekeza katika huduma za kijamii ili kukuza uchumi wa taifa. Mhe. Joseph Mkundi ameyasema hayo Novemba 7,2023 bungeni jijini Dodoma wakati akichangia mapendekezo ya mwongozo wa maandalizi ya mpango na bajeti ya serikali...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Saashisha Mafuwe akichangia Bungeni Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa ya mwaka 2024-2025

    "Katika taarifa ya Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa ya mwaka 2024-2025, Matarajio yangu ni kuona sasa kuwa na Mipango ya Nchi yetu ambayo inatekelezeka kwa muda mfupi na muda mrefu. Mipango ambayo itajibu matarajio ya wananchi" - Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai "Ili...
Back
Top Bottom