mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Edward Lekaita asisitiza Serikali kuwekeza kwenye Kilimo, Mifugo na Uvuvi ambako kuna Watanzania wengi

    "Tunataka Utekelezaji wa Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa ya mwaka 2024-2025 uelekezwe Vijijini, watanzania walio wengi wako Vijijini, Mpango uende kwenye Maendeleo ya Vijijini (Rural Developments)" - Edward Ole Lekaita, Mbunge wa Jimbo la Kiteto "Taarifa ya Serikali inaonyesha...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Cherehani: Askari wanyamapori kwenye Maeneo yasiyo na vivutio na wanyama

    "Uzalishaji wa Tumbaku kwa miaka miwili ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan imepanda mpaka mwaka 2023 zimezalishwa Kilo Milioni 122 sawa na dola za kimarekani Milioni 341 za Tumbaku. Msimu wa 2023-2024 wanunuzi wameongeza Uzalishaji wa tani laki 214 ambazo ni zaidi ya Shilingi Bilioni 900" -...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Aloyce Kwezi: Mpango wa Maendeleo ya Taifa 2024 - 2025 Serikali Ijenge Barabara ya Mpanda - Kaliua - Kahama

    MBUNGE ALOYCE KWEZI: MPANGO WA MAENDELEO YA TAIFA 2024-2025 SERIKALI IJENGE BARABARA YA MPANDA - KALIUA - KAHAMA "Nampongeza Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya ya kujenga Taifa letu. Nawapongeza Mawaziri, Komredi Mwigulu Lameck Nchemba na Professor Kitila...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson ameshinda Urais wa IPU kwa kishindo, apata kura 172 kati ya 303

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson ameshinda Urais wa umoja wa mabunge duniani(IPU) leo Octoba 27, 2023. Kura 303 zilipigwa huku mshindi akihitaji angalau nusu ya kura hizo(kura 152) Matokeo yalikuwa kama ifuatavyo Ms. Adji Diarra Mergane Kanouté(Senegal) kura...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mbunge Dkt. Mhagama: Wafanyabiashara wengi wanashindwa kufanya biashara nje ya Nchi kwa kuwa hawana Dola, hili ni tatizo kubwa

    Wabunge wamechangia kuhusu Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2024/2025 pamoja na muongozo wa maandalizi ya Mpango wa Bajeti Mwaka 2024/2025, leo Novemba 7, 2023. Akichangia hoja, Mbunge wa Jimbo la Madaba, Dkt. Joseph Kizito Mhagama amesema Wafanyabiashara wengi wakubwa...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kwagilwa Nhamanilo: Tume ya Mipango ya Taifa Iwe Taasisi Inayojitegemea, Ataja Faida za Kuwa na Taasisi ya Mipango ya Taifa Inayojitegemea

    MBUNGE REUBEN NHAMANILO: TUME YA MIPANGO YA TAIFA IWE TAASISI INAYOJITEGEMEA, ATAJA FAIDA ZA KUWA NA TAASISI YA MIPANGO YA TAIFA INAYOJITEGEMEA "Mwaka 1961 - 1964 Mipango ya Taifa imekuwa ikipangwa na Tume ya Maendeleo ya Uchumi. Mwaka 1965 Mipango tukaipeleka Ofisi ya Rais Idara ya Mipango na...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Saashisha Mafuwe: Ili Mkurugenzi wa Halmashauri ateuliwe anatakiwa awe amefanya kazi miaka 12 Utumishi wa Umma

    "Nakupongeza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Hongera sana. Hii kwasababu una uwezo mkubwa sana na umetuheshimisha sana" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai. "Namshukuru Mheshimiwa...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Esther Malleko alishauri Bunge kutunga Sheria za Kuwadhibiti wabadhirifu wa Fedha za walipa kodi

    MHE. ESTHER MALLEKO ALISHAURI BUNGE KUTUNGA SHERIA ZA KUWADHIBITI WABADHIRIFU WA FEDHA ZA WALIPA KODI "Nampongeza Rais Samia Suluhu Hassan, nayasema kwa moyo wa dhati kwa namna ambavyo ameweza kufanya kazi kubwa. Tumeona miradi mikubwa inayofanyika katika Majimbo na mikoa yetu. Nitakuwa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa Mbunge kutoa taarifa Bungeni wakati wa mjadala unaendelea ufanyike kidijitali

    Kama kichwa cha habari. Naona huu utaratibu wa mbunge kupiga kelele ' taarifa, taarifa, taarifa' una distract anayeongea. Yaani mimi huwa hata siwaelewi, unavuruga kabisa flow ya mchangiaji na hata usikivu kwa sisi wasikilizaji. Nadhani hicho kipengele kiliwekwe kwa nia nzuri na Mabunge ya...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Nancy Nyalusi ahoji uhalali wa KADCO kuendelea kusimamaia shughuli za Uwanja wa Ndege wa KIA

    MHE. NANCY NYALUSI AHOJI KADCO INASIMAMIA SHUGHULI ZA UWANJA WA NDEGE WA KIA KWA MKATABA UPI? "Nampongeza sana CAG kwa kazi nzuri waliyoifanya ya kuweza kubaini madudu. Ucheleweshaji wa Malipo kwa wakandarasi umesababisha riba ya Shilingi Bilioni 68.77 kwa Serikali kwa taasisi 12. Hapo...
  11. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Tukiwa tunaelekea Uchaguzi mkuu, sasa hivi kila Mbunge anajifanya kuiponda Serikali

    Siku ya jana na Leo Bunge limekuwa la moto kweli, kila mbunge akiishambulia serikali na mawaziri wake. Kwa sisi wenye uelewa tunajua hizi ni mbio za sakafuni tu. Sasa hivi wabunge wanajua Muda wa kukaa bungeni umeisha, kila mbunge anajinadi sasa na kuishtumu serikali juu ya ubadhirifu wa fedha...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ruhoro: Wakaguzi wa ndani nao ni wezi wanashiriki kwenye dili za kuiba. Iundwe taasisi ya Wakaguzi wa ndani inayojitegemea

    Mbunge Ndaisaba Ruhoro akiwa anachangia hoja amesema; Mkaguzi mkuu wa ndani wa serikali anapewa fedha kutoka wizara ya fedha na anapewa fedha na katibu Mkuu Wizara ya fedha, na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha ndiye anaetoa fedha kwenye halmashauri na mamlaka zote za serikali za mitaa na kwenye...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kuchauka: Waziri akichaguliwa leo anakuta wizarani kuna watu ni 'mama wa wizara', ili aweze kudumu kwenye wizara anaungana nao!

    Mbunge Kachauka anasema anaona Wakurugenzi wanatumbukizwa kwenye bwawa lenye mamba kwasababu kuna mhasibu, mkaguzi wa ndani, afisa masuuli kwenye halmashauri ambao wana uzoefu mkubwa kuliko yeye. Kumpeleka mtu aliyekuwa mwalimu akagombea ubunge na kupelekwa pale kama Mkurugenzi je salama yake...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Eng. Ezra Chiwelesa: Watumishi wa Umma kuanzia ngazi ya Wakurugenzi wapewe kazi kwa mikataba ya miaka 5

    Akichangia hoja bungeni Mbunge Eng. Ezra Chiwelesa amesema Watumishi wa Umma kuanzia ngazi ya Wakurugenzi wasiwe wanapata nafazi zao siziwe hazina ukomo, badala yake wapewe mikataba ya miaka mitatu au mitano na kazi hizo zitangazwe wenye vigezo waombe ili kuleta uwajibikaji katika utendaji wa...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Condester Sichalwe: Watu wasio waaminifu, walioaminiwa wanajificha kwenye dhamana walizopewa kuumiza watanzania wenzao

    MBUNGE CONDESTER SICHALWE: WATU WASIO WAAMINIFU, WALIOAMINIWA WANAJIFICHA KWENYE DHAMANA WALIZOPEWA KUUMIZA WATANZANIA WENZAO "Nampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa namna anavyofanya kazi vizuri. Anapambana na kuhakikisha hata Wabunge tunaotojea Majimbo ya Vijijini tunapata fedha kwenye...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Salim Alaudin: Kuna Haja ya Kuharakisha Mchakato wa Mikopo ya 10%

    MBUNGE ULANGA (SALIM ALAUDIN): KUNA HAJA YA KUHARAKISHA MCHAKATO WA MIKOPO YA 10% Wananchi wa Kijiji cha Minepa Wilaya ya Ulanga mkoani wa Morogoro wamesema uwepo wa baadhi ya vifungu vya fedha kumekwamisha kupata mikopo inayotolewa na serikali kwa lengo la kuwainua kiuchumi. Wakizungumza...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ndaisaba: Huu ni Wakati Sahihi Tanzania Kujiunga na Mkataba wa IRENA

    "Namshukuru Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Dotto Mashaka Biteko ambaye baada ya kuteuliwa alifika Ngara na kuzindua miradi ya Umeme kwenye Vijiji vya Ntanga na Katulanzuri, ziara imekuwa na Matunda makubwa sana" - Mhe. Ndaisaba George Ruhoro, Mbunge wa Jimbo la Ngara "Naibu...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kasaka aunga mkono azimio la mkataba wa wakala wa Nishati Jadidifu Irena

    MBUNGE wa Jimbo la Lupa Chunya Mhe. Masache Kasaka amesema kuridhia kwa azimio la Tanzania kuhusu mkataba wa wakala wa kimataifa wa Nishati Jadidifu IRENA utaleta manufaa kwa nchi huku akibainisha kwamba nchi nyingine jirani zikiwemo Kenya Uganda Rwanda na nchi za SADEC zilizoweza...
  19. Replica

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanajua kupiga shangwe, Bahati Keneth Ndingo aapa kiapo cha uaminifu jimbo la Mbarali

    Leo bungeni, mbunge wa Mbarali ameapa kiapo cha uaminifu baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge wa Mbarali. Jimbo hilo liliingia kwenye uchaguzi mdogo baada ya aliyekuwa mbunge wake, Francis Leonard kufariki dunia Julai Mosi, 2023. Wabunge wanawake wa chama cha mapinduzi walijifunga kibwebwe na...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge Joseph Mhagama: Sera ya Mambo ya Nje imesaidia ushindi wa Dkt. Tulia kuwa Rais wa IPU

    Mbunge wa Jimbo la Madaba Joseph Kizito Mhagama amesema sera ya Mambo ya Nje na Diplomasia ya Nchi ni bora pamoja na uhusiano wa Kidiplomasia umechangia ushindi wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr Tulia Ackson kuwa Mshindi wa nafasi ya Urais wa Umoja wa Mabunge Duniani...
Back
Top Bottom