mbowe

  1. JamiiForums Tanzania Je, ugaidi anaotuhumiwa nao Mbowe ni ugaidi wa serikali?

    Je Ugaidi anaotuhumiwa nao mh Mbowe ni ugaidi wa serikali? Najaribu kutafakari kimyakimya kwa maandishi kuhusu mashataka aliyofunguliwa mwenyekiti wa CHADEMA mh Freeman Mbowe. Nimejaribu kupitia rekodi mbalimbali za Mbowe tokea akiwa mwenyekiti wa vijana (BAVICHA) taifa, mpaka anakuwa...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Kathrin Steinbrenner, Naibu Balozi wa Ujerumani kamwambia Mbowe ‘Never Give Up’

    Naibu Balozi wa Germany nchini Tanzania KATHRIN STEINBRENNER akamsogelea Freeman Mbowe na kumueleza "never, never, never Give up!" Freeman akasema "I will never give up". Ikapigwa ngeli ya kutosha hapo. MaCCM wanalalamika koridoni, wanasema Germans wanasapoti ugaidi wa FREEMAN.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kama kupata Maelezo ya Adamoo, sheria ilikiukwa, Yatatupwa

    Shauri dogo ndani ya shauri lilopo sasa hivi linatokana na utata kuwa je mshitakiwa wa pili Adamoo alitoa maelezo yake kwa mujibu wa sheria? Kuna tashwishi kuhusiana na maelezo ya mshitakiwa huyu kuwa aliteswa au hakuteswa kwenye kupelekea kuwapo kwa maelezo yake. Je kulikuwa na shinikizo...
  4. JamiiForums Tanzania Kama Lissu angekuwepo huu udhalimu dhidi ya Mbowe usingetendeka

    Lissu ni defence lawyer mzuri anajua njama zote za polisi na waendesha mashitaka. Lissu angewapiga maswali mazito mawakili wa serikali wasiojitambua na mashahidi wa uongo na Jamhuri ingeumbuka. Kwani watu walioacha kazi jeshi la wananchi yaani JWTz kuomba kazi ya kumlinda mtu ni kosa? Hii...
  5. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe na wenzake imetufumbua macho, haki za Watanzania zipo mikononi mwa Jeshi la polisi

    Sheria za Tanzania zipo wazi kabisa kuwa mtuhumiwa anatakiwa kukiri kwa hiari ili hiyo kiri iweze kutumika mahakamani. Hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 27 cha sheria ya ushahidi ya Tanzania. Lakini kifungu cha 29 kinawapa kiburi polisi kupiga na kutesa watu maana kinasema kama mtu ataubaki...
  6. JamiiForums Tanzania Kesi ya ugaidi wa Mbowe na wenzake: Nini maana ya "submission?". Je, ni kweli kuwa DPP ana mamlaka ya kuingilia majukumu ya mahakama?

    Jana tarehe 29/10/2021 mashahidi wa pande mbili wamemaliza kutoa ushahidi wao katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi ya tuhuma za ugaidi inayomkabili m/kiti wa CHADEMA taifa Mh. Freeman Aikael Mbowe na wenzake watatu... Kesi hii ndogo imezaliwa baada ya upande wa utetezi kupinga kupokelewa...
  7. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Freeman Mbowe yupo Kazini?

    Atukuzwe Mungu wetu Aliye Mkuu na Mtakatifu Sana. Usiku wa jana nilikua ndani ya viunga vya Kariakoo, sehemu muhimu kibiashara ndani ya jiji la Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla.. Nitaleta Mrejesho wa kile kilicho nipeleka pale Kwa Sasa nataka kufahamishwa/kujuzwa Jambo hili ambalo...
  8. JamiiForums Tanzania Kutokana na ushahidi unaoendelea kutolewa mahakamani, kwenye kesi ya ugaidi ya akina Mbowe, Rais Samia huna budi kumstaafisha IGP Sirro

    Imeandikwa kwenye Biblia, kitabu cha Mithali 14:34 "Haki huinua Taifa bali dhambi ni aibu ya watu wote" mwisho wa kunukuu. Kwa huu mwendelezo unaoendelea kutolewa mahakamani Katika kesi ya ugaidi ya akina Mbowe, hakika ni aibu kubwa Sana kwa Taifa letu kuwa na Jeshi la Polisi, ambalo halitaki...
  9. JamiiForums Tanzania Brings back Moses Lijenje campaign

    Wakuu kutokana na yanayoendelea kwenye kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake, hatuna budi kupaza sauti zetu kuisaidia familia ya Komandoo Moses Lijenje kujua status ya hali ya mpendwa wao, na pia kupaza sauti zidi ya matendo ovu ya jeshi la Polisi Tanzania dhidi ya RAIA wasiokuwa na hatia. Bring...
  10. JamiiForums Tanzania Maamuzi ya kesi ndogo katika Kesi ya Mbowe na Wenzake kutolewa Oktoba 19, 2021

    Hii ndio taarifa iliyotufikia , kwamba leo Mke wa Mshitakiwa aliyeteswa kinyama komando Adam kasekwa leo atapanda kizimbani akiwa ni shahidi wa tatu wa upande wa utetezi katika kesi ndogo ndani ya kesi kubwa inayomkabili Freeman Mbowe na Wenzake watatu Endelea kufuatilia ======== Saa 3 na...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini Mbowe alihitaji VIP protection?

    Mwaka 2020 Mbowe alijipatia VIP PROTECTION-kwanini? 1. Ana hela nyingi- lakini yeye katuambia akaunti zake zote zilikuwa zimefungiwa hivyo hakuwa na cha kuibiwa 2. Alikuwa kwenye hatari? Kwao Hai? Hai kabisa 3. Alikuwa mgombea urais? Sababu yake nini hasa?
  12. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Jinsi kesi ya Mbowe na wenzake inavyoripotiwa ni kielelezo cha mapinduzi makubwa ya upashanaji wa habari

    Siku moja ya mwaka 2005 sikumbuki tarehe wala mwezi mwalimu wetu mmoja aliingia darasani na gazeti lililokuwa na hotuba ya Bilionea Rupert Murdoch Mmarekani mwenye asili ya Australia na mmiliki wa vyombo vingi vya habari.Hotuba hiyo ilikuwa na mada isemayo 'nafasi ya magazeti katika...
  13. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Rushwa - 28/09/2021

    Leo tena upande wa utetezi katika kesi ya Mbowe wanaendelea kutoa ushahidi wao katika kesi ndogo ya kesi kubwa ambapo leo tarehe 28/09/2021 Mtuhumiwa Lig'wenya anaendelea na ushahidi wake. ======= Jaji: ameshaingia Sasa Kesi namba 16 Inatajwa Kesi namba 16 ya Mwaka 2021,Jamuhuri dhidi ya...
  14. JamiiForums Tanzania Nauliza tu hivi Mbowe na wenzake wangekuwa wanakula keki ya Taifa angedai katiba mpya?

    Nauliza tu hivi Mbowe na wenzake wangekuwa wanakula keki ya Taifa angedai katiba mpya? Mbowe. Lema. Lissu. Upinzani kwa ujumla.
  15. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe na wenzake inaanika hadi 'mambo ya siri za nchi'. DPP hujachelewa kuifuta

    Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu mkubwa mwenendo wa kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na wenzake watatu. Nafuatilia kwa kwenda mwenyewe Mahakamani. Hata sasa nipo Viunga vya Law School of Tanzania ilipo Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi kwa ajili ya...
  16. JamiiForums Tanzania DPP, IGP na polisi kwa ujumla mmelitengenezea sifa mbaya taifa kwa kesi ya Mbowe

    Kwakweli toka moyo wangu na kwa haki ya Mungu, Polisi hii kesi imewaumbua vibaya sana mpaka hata polisi wengine walioko nje wanashangaa sana. Mashahidi upande wenu wamejichanganya kwa kila kitu, wametofautiana mpaka kuna mahali hata raia wa kawaida anajua kuna mambo ni ya uongo wa wazi.Hivi...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ikikosea kesi ya Mbowe, naamini Ujerumani watafunga ubalozi

    Kama tulivyosema kuna watu wanajaribu kumwaribia Raisbkwa kuweka hizi kesi za kijinga. Ubalozi wa German ndiyo Lissu alikimbilia baada ya kutaka kutekwa baada ya uchaguzi na walimpeleka mpaka Airport. Kwasasa watu kwenye kesi ya Mbowe na wanapima kuona kama Tanzania inabadilika au iko vilevile...
  18. JamiiForums Tanzania Balile: DPP, IGP, DCI lifutieni taifa aibu kesi ya Mbowe

    Na Deodatus Balile Imenichukua muda kuandika makala hii. Ninafahamu kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, anashitakiwa kwa tuhuma za kufadhili ugaidi kwa Sh 600,000. Anashitakiwa pia kwa tuhuma za kupanga njama za kulipua vituo vya mafuta katika miji ya...
  19. JamiiForums Tanzania Mahakama yatupilia mbali Kesi ya Mbowe ya Kikatiba dhidi ya IGP, DPP na Mwanasheria Mkuu wa Serikali

    Leo Sept. 23, 2021 saa nane kamili mchana, Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam itatoa uamuzi mdogo juu ya mapingamizi ya Serikali katika Kesi ya Kikatiba namba 21/2021 iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa Chasema Freeman Mbowe dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, DPP na IGP. Wakati anakabiliwa na...
  20. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe na wenzake: Tuwapime mawakili wasomi kwa vigezo hapa chini

    How to cross-examine a witness Ask questions, rather than making statements. Keep your questions short and to the point. Try and ask questions that have a 'yes or no' answer. ... You must put your version of events to the prosecution witnesses. Make sure you don't argue with or insult the...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…