mbowe

  1. comte

    Kwanini Mbowe alihitaji VIP protection?

    Mwaka 2020 Mbowe alijipatia VIP PROTECTION-kwanini? 1. Ana hela nyingi- lakini yeye katuambia akaunti zake zote zilikuwa zimefungiwa hivyo hakuwa na cha kuibiwa 2. Alikuwa kwenye hatari? Kwao Hai? Hai kabisa 3. Alikuwa mgombea urais? Sababu yake nini hasa?
  2. J

    SoC01 Jinsi kesi ya Mbowe na wenzake inavyoripotiwa ni kielelezo cha mapinduzi makubwa ya upashanaji wa habari

    Siku moja ya mwaka 2005 sikumbuki tarehe wala mwezi mwalimu wetu mmoja aliingia darasani na gazeti lililokuwa na hotuba ya Bilionea Rupert Murdoch Mmarekani mwenye asili ya Australia na mmiliki wa vyombo vingi vya habari.Hotuba hiyo ilikuwa na mada isemayo 'nafasi ya magazeti katika...
  3. Nyendo

    Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Rushwa - 28/09/2021

    Leo tena upande wa utetezi katika kesi ya Mbowe wanaendelea kutoa ushahidi wao katika kesi ndogo ya kesi kubwa ambapo leo tarehe 28/09/2021 Mtuhumiwa Lig'wenya anaendelea na ushahidi wake. ======= Jaji: ameshaingia Sasa Kesi namba 16 Inatajwa Kesi namba 16 ya Mwaka 2021,Jamuhuri dhidi ya...
  4. Light Saber Imetosha Sasa

    Nauliza tu hivi Mbowe na wenzake wangekuwa wanakula keki ya Taifa angedai katiba mpya?

    Nauliza tu hivi Mbowe na wenzake wangekuwa wanakula keki ya Taifa angedai katiba mpya? Mbowe. Lema. Lissu. Upinzani kwa ujumla.
  5. VUTA-NKUVUTE

    Kesi ya Mbowe na wenzake inaanika hadi 'mambo ya siri za nchi'. DPP hujachelewa kuifuta

    Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu mkubwa mwenendo wa kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na wenzake watatu. Nafuatilia kwa kwenda mwenyewe Mahakamani. Hata sasa nipo Viunga vya Law School of Tanzania ilipo Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi kwa ajili ya...
  6. Prof Koboko

    DPP, IGP na polisi kwa ujumla mmelitengenezea sifa mbaya taifa kwa kesi ya Mbowe

    Kwakweli toka moyo wangu na kwa haki ya Mungu, Polisi hii kesi imewaumbua vibaya sana mpaka hata polisi wengine walioko nje wanashangaa sana. Mashahidi upande wenu wamejichanganya kwa kila kitu, wametofautiana mpaka kuna mahali hata raia wa kawaida anajua kuna mambo ni ya uongo wa wazi.Hivi...
  7. K

    Serikali ikikosea kesi ya Mbowe, naamini Ujerumani watafunga ubalozi

    Kama tulivyosema kuna watu wanajaribu kumwaribia Raisbkwa kuweka hizi kesi za kijinga. Ubalozi wa German ndiyo Lissu alikimbilia baada ya kutaka kutekwa baada ya uchaguzi na walimpeleka mpaka Airport. Kwasasa watu kwenye kesi ya Mbowe na wanapima kuona kama Tanzania inabadilika au iko vilevile...
  8. issenye

    Balile: DPP, IGP, DCI lifutieni taifa aibu kesi ya Mbowe

    Na Deodatus Balile Imenichukua muda kuandika makala hii. Ninafahamu kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, anashitakiwa kwa tuhuma za kufadhili ugaidi kwa Sh 600,000. Anashitakiwa pia kwa tuhuma za kupanga njama za kulipua vituo vya mafuta katika miji ya...
  9. Nyendo

    Mahakama yatupilia mbali Kesi ya Mbowe ya Kikatiba dhidi ya IGP, DPP na Mwanasheria Mkuu wa Serikali

    Leo Sept. 23, 2021 saa nane kamili mchana, Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam itatoa uamuzi mdogo juu ya mapingamizi ya Serikali katika Kesi ya Kikatiba namba 21/2021 iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa Chasema Freeman Mbowe dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, DPP na IGP. Wakati anakabiliwa na...
  10. comte

    Kesi ya Mbowe na wenzake: Tuwapime mawakili wasomi kwa vigezo hapa chini

    How to cross-examine a witness Ask questions, rather than making statements. Keep your questions short and to the point. Try and ask questions that have a 'yes or no' answer. ... You must put your version of events to the prosecution witnesses. Make sure you don't argue with or insult the...
  11. Keynez

    Mawakili wa Mbowe waache maswali yasiyo na msingi, ulizeni maswali ya maana mteja wenu aachiwe haraka

    Katika ufuatiliaji wangu mdogo, watu wengi wameonekana kuwa na ushabiki na mihemko kuhusiana na kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Wengine wameonekana kuwasifia mawakili wa mtuhumiwa kwamba wana ustadi mkubwa katika kuwabana mashahidi wa upande wa mashtaka (eti hadi...
  12. Ngongo

    DPP ana ushahidi mzito tena usio na shadi ya Mbowe 👮‍♀️

  13. Guselya Ngwandu

    Mpinzani wa kushindana na Rais Samia 2025 labda atokee CCM

    Dkt. Slaa ndiye mgombea pekee mwenye sifa zote za kuwa Rais, kuwahi kugombea kupitia CHADEMA FREEMAN MBOWE walimjaribu 2005 wakaona hamna kitu ndio maan 2010 wakamuweka kando na kwenda na Slaa. Slaa ndiye Mchadema pekee aliyekuwa na kila sifa kuwa Rais. 2015, Lowassa akawatembezea fedha...
  14. J

    Amsterdam & Partners LLP Retained by Tanzanian Political Prisoner Freeman Mbowe

    Mwenyekiti CHADEMA, Mhe. Freeman Mbowe, amepata mawakili wapya kumwakilisha katika kesi inayomkabili ya uhujumu uchumi na ugaidi. Mbowe alikamatwa mwezi Julai mjini Mwanza na sasa atawakilishwa na wakili wa kimataifa Robert Amsterdam akishirikiana na mawakili wengine Freeman Mbowe, a Tanzanian...
  15. J

    Mbowe siyo mnafiki ameiishi itikadi ya Ubepari tokea ujana wake tofauti na CCM wengi wanaojifanya Wajamaa kumbe fix tu

    Katika hili nampongeza Freeman Mbowe kwa sababu hajawahi kuwa mjamaa na amesimamia itikadi yake. Njoo CCM sasa, utamkuta Hamis anatembea na kifimbo cha kama mwalimu Nyerere yaani fix tu. Kangi anavaa koti la bendera ni yale yale. Waziri anavaa tai ya bendera nyuma ya pazia ukwasi wake...
  16. DaudiAiko

    Maisha baada ya kesi ya Mbowe. Nini kutiliwa maanani?

    Wanabodi, Wanao fuatilia kesi ya mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe lazima wana fahamu kwamba kuna kushinda na kushindwa. Kushinda kuna ashiria mambo mengi lakini kubwa kuliko lote ni kwamba serikali inafanya kila kilicho ndani ya uwezo wao kuzuia mikutano ya wapinzani ikiwemo mbinu wanazo...
  17. Erythrocyte

    Mateso makubwa waliyoyapata watuhumiwa wa Ugaidi walioshitakiwa pamoja na Mbowe yanatisha, Inashangaza wamewezaje kuwa hai hadi sasa

    Baadhi ya Picha za makovu ya watuhumiwa wa Ugaidi wanaoshitakiwa pamoja na Mbowe zimeanza kuonekana hadharani, hawa watu waliteswa kinyama! Hii nchi haikuwahi kufikia unyama kama huu , tena kwa tuhuma za uzushi zilizojaa uongo mtupu! kisa ni Kumkomoa Mbowe, Inasikitisha sana! Tunaomba radhi...
  18. comte

    Asante Mh. Jaji Siyami kwa kuwaumbua CHADEMA; wanampa Mbowe tu maji na kuwanyima walinzi wake huku wakiwa wamejazana mahakamani

    Kibatala: Mh. Jaji ni hayo tu, sina swali lingine. Jaji: Ahsante, kila siku naona mtuhumiwa mmoja tu ndiyo anakunywa maji, mmewapa wengine? Wapeni Maji wanywe, Askari Magereza Myakague ni haya tunayokunywa wote. Jaji: Mawakili wa Serikali kuna lolote kwa ajili ya Re: examination?
  19. leonaldo

    Endapo 1985 Nchi yetu ilikuwa imeendelea kwa kiwango Cha kuruhusu vyombo vya habari kuripoti kesi ya uhaini kesi ya Mbowe ina nini?

    Kesi ya uhaini hukumu yake Ni kifo na Ugaidi hukumu zake Ni hafifu zaidi Ni kitu gani kinaipa serikali yetu hofu ya kutaka watu wasijue kinachoendelea mahakamani? Ingekuwa nchi za wenzetu kesi hii ingekuwa live luningani hapa kwetu Kuna shida gani? Kama mnabisha ushahidi upo hapa kesi...
  20. Light Saber Imetosha Sasa

    Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake: Upande wa Mashtaka waendelea kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka Septemba 24, 2021

    Jaji ameingia Mahakamani. Kesi Na. 16 ya mwaka 2021 inatajwa Kesi namba 16 ya 2021, jamhuri dhidi ya Khalfan Bwire, Adam Hassana Kasekwa (Adamoo), Mohammed Abdalah Ling'wenya na Freeman Aikael Mbowe Jaji anamuita Wakili wa Serikali... Wakili wa Serikali anatambulisha Jopo lake Robert...
Back
Top Bottom