mbowe

  1. JamiiForums Tanzania Bunge lakanusha Kauli ya Mbowe kuwa Mshahara wa Wabunge umepanda kutoka Tsh Milioni 13 hadi 18

    Maneno ya kukana hoja Hizo yametolewa na Kitengo cha mawasiliano na uhusiano wa kimataifa Bungeni.. Jana Ijumaa tarehe 22 Machi, 2024 alipokuwa anahutubia mkutano wa hadhara Mjini Babati Mkoa wa Manyara na kisha Video yake kusambaa kwenye Mitandao ya Kijamii Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia...
  2. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kuhutubia IDU Forum Mwezi April 2024

    Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka duniani hivi sasa Hili hapa ndio Tangazo la IDU ---- The IDU is pleased that Freeman Mbowe, CHADEMA Party Leader will join us at the #IDUForum2024 Asia-Pacific in #NewZealand. Our support for democratic and free states does continue in any corner of the world!
  3. JamiiForums Tanzania Waandishi wambwaga Freeman Mbowe Mahakamani. Nyumba yaachiwa

    Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, amebwagwa kortini na waandishi wa habari 10, wanaomdai mtoto wake katika kesi aliyofungua kutaka wamlipe gharama kwa kukamata nyumba yake. Uamuzi huo umetolewa leo Machi 13,2024 na Mahakama Kuu ya Tanzania Division ya Kazi mbele ya Naibu Msajili Mary Mrio...
  4. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe awatakia Waislam wote Ramadhan Kareem

    Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , amejitokeza hadharani kuwatakia Waislam wote Baraka tele za mwezi Mtukufu wa Ramadhan Ujumbe wake Muruwa huu hapa
  5. I

    JamiiForums Tanzania Mbowe haoneshi dalili ya kung'atuka licha ya kuwa mwenyekiti kwa miaka mingi CHADEMA

    Na Nulphin Charles Heche, Mtwara Katika hali ya kushangaza Freeman Mbowe ameonyesha nia ya kuendelea kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA licha ya kuongoza kwa zaidi ya Miaka 20. Wanachama wengi wanaonekana kumchoka kutokana na tabia yake ya ubadhirifu wa mali za chama kwa madai ya kukidai chama pesa...
  6. JamiiForums Tanzania Dudley Mbowe anatosha kurithi Uenyekiti CHADEMA?

    Mtoto wa Freeman Mbowe ambaye anatajwa tajwa sana kurithi mikoba ya baba yake kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA. Lakini mimi binafsi naona hatoshi sababu amekimbia na mishahara ya wafanyakazi wa kampuni ya baba yake mpaka sasa baadhi ya mali zao zinatakiwa kupigwa mnada. Haiwezekani mtetezi wa...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe: Naagiza ngazi zote za chama ziandae wagombea wa kushinda Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025

    Akihutubia kwenye mkutano wa BAWACHA, Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe emetoa agizo kwa Katibu Mkuu wa chama hicho John Mnyika kuhakikisha ngazi zote za chama nchi zima zinaandaa viongozi wa kugombea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 na uchaguzi mkuu mwaka 2025. Viongozi hawa wawe na...
  8. JamiiForums Tanzania Mbowe ni kipi ambacho hajakamilisha, kwanini bado Mwenyekiti?

    Ni kitu gani ambacho bado Mbowe hajakamilisha kinacho muweka kwenye kiti cha uenyekiti hadi sasa? Naomba nitajiwe. Upi mbadala wa Mbowe katika kiti cha uenyekiti wa chama? Uenyekiti wa Mbowe wa kipindi kirefu una faidi zipi na hasara zipi katika demokrasia na ukuaji wake?
  9. R

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo wanaamini wanaweza kushirikiana na CCM kumwondoa Mbowe Madarakani? Mbowe anaathiri vipi kustawi kwa vyama hivi shikizi?

    Viongozi wa ACT walikuwa wana Chadema hapo awali. Wakaandaa njama za kuivuruga Chadema mwisho wa siku wakakamatwa na kufukuzwa uanachama. Zito na Kitila wakafika kwa msajili chini ya wana CCM na kusajili chama chao. Wakatafuta wafuasi wakakosa na hivyo Kitila akaamua rasmi kurejea CCM kisha...
  10. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe atua Mahakamani kunusuru nyumba ya mtoto wake

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amekimbilia Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi kuinusuru nyumba iliyokamatwa kwa amri ya Mahakama ili kulipa Sh. Milioni 62.7 za mishahara ya Waandishi wa Habari 10 wanaomdai mtoto wake, Dudley Mbowe ambaye ni Mkurugenzi wa Gazeti la Tanzania Daima. Pia soma...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Mbowe usifanye kosa la kuachia Uenyekiti CHADEMA kabla ya 2030 vinginevyo tutarudi miaka ile myeusi (1995)

    Sisi tanaangalia mzigo ufike panapohusika na sio hali ya punda! Tunakuomba sana mheshimiwa Freeman Mbowe kama unawapenda watanzania na CHADEMA usifanye kosa la kuachia uongozi wa chama kabla ya angalau 2030. CHADEMA sio chama cha kuchukuliwa kiepesi epesi, CHADEMA ndio upinzani nchi hii na...
  12. JamiiForums Tanzania Gerald Hando: Mbowe aachie ngazi, amekaa sana CHADEMA

    Gerald Hando akiwa katika kipindi cha Good Morning cha Wasafi FM leo Machi 7, 2024 ametoa hoja ya kumtaka Mwenyekiti wa CHADEMA kuachia ngazi ya Uenyekiti wa chama hicho kwa kile alichodai amekaa sana, tazama video hapo juu. Hoja hii inakuja siku chache baada ya kumshuhudia Zitto Kabwe akiachia...
  13. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Tunaanzisha wiki ya Maandamano kwenye Makao Makuu yote ya Mikoa nchi nzima

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema chama hicho kitaingia kwenye awamu nyingine ya Maandamano yatakayofanyika kwenye makao makuu yote ya mikoa nchini, maarufu kama wiki ya Maandamano yatakayofanyika kuanzia Aprili 22-30, 2024. Aidha, amewatangazia Diaspora kufanya maandamano makubwa...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Mbowe jifunze haya kwa mwenzako Zitto

    Kutokana na taarifa ya ACT Wazalendo kwa Zitto Kabwe, Mhonga Said Ruhwanya, Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini, ametoa mfano wa uongozi bora na kutenga mfumo wa ukomavu katika siasa. Hapa kuna vipengele ambavyo Mbowe, kama mwenyekiti wa chama chake, anaweza kujifunza: 1. Kujenga Misingi ya Chama...
  15. JamiiForums Tanzania Picha ya Addis Ababa, Ethiopia July 8, 1990 yajibu hoja ya MBOWE juu ya Rais Samia na Kikwete

    Addis Ababa, Ethiopia July 8, 1990. Rais Mwinyi akiwa na Rais mstaafu Mwalimu Nyerere na waziri wa mabo ya nchi za nje Mkapa. Hoja ya Mbowe na CHADEMA kweney maandamano Arusha inakosa nguvu kabisa , ni ya hovyo, na chuki binafsi. Picha kwa hisani ya maktaba ya Salim Ahmed Salim Digital...
  16. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe afika Uwanja wa Amani kumuaga Mzee Mwinyi

    Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe amekuwa miongoni mwa Watanzania waliofika Kwenye Uwanja wa Amani , huko Zanzibar kwa ajili ya kushiriki maziko ya Aliyekuwa Rais wa Tanzania awamu ya Pili , Ally Hassan Mwinyi . Mbowe ambaye pia huko Zanzibar anafahamika kama Ustaadh Aboubakar Mbowe ...
  17. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe acha kumsakama Mzee Kikwete, mwache apumzike

    Umekosa hoja ! Umekosa mvuto, Hauna dira yoyote ! Kama Kikwete kusafiri na Samia wewe unaumia, kasafiri nae wewe!? Kikwete hapangiwi na wewe mahali kwa kwenda wala Samia hapangiwi na wewe anatakiwa kusafiri nanani! Stress za maandamano kukosa mvuto na wafuasi usiziamishie kwa JK wetu ! Hapo...
  18. JamiiForums Tanzania Mbowe: Tunaandamana kupeleka ujumbe kwa watawala

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema kuwa lengo la maandamano si machafuko bali ni kupeleka ujumbe kwa watawala. Akizungumza Katika mkutano wa hadhara uliofanyika baada ya maandamano jijini Arusha, Mbowe aligusia kuwa mpaka sasa hakuna madhara yoyote yaliyojitokeza tangu walipoanza...
  19. JamiiForums Tanzania Ni ipi hasa sababu ya Freeman Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa CHADEMA kwa kipindi kirefu hivi?

    Je, CHADEMA watu wenye hakuna uwezo wa kuwa wenyeviti? Mbona kina Mtei na Bob Makani walimuamini inamaana baada ya yeye hakuna mwingine mwenye uwezo? Ni kipi kinafanyika kwenye chama chetu CHADEMA kinachoonesha uwepo wa Demokrasia? Ni miaka zaidi ya 20 mwenyekiti yule yule. Binafsi kama...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kosa ambalo Mbowe analifanya katika siasa ni kumrudisha CHADEMA Dkt. Slaa

    Hili ni kosa kubwa la kisiasa ambalo Mbowe anataka kulifanya. Dkt. Slaa kama Lipumba wenye tamaa ya madaraka na waroho wa mali. Dkt. Slaa aliondoka CHADEMA kwa mbwembwe na kuimiza chadema kimkakati na kiakili. Hivi sasa baada ya kuona aliopo madarakani sio wa aina yake kaamua kuingia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…