Mbona mnapindisha, kura ilikuwa kwa ajili ya "Humanitarian truce", sio uungwaji mkono wa Palestine

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,432
Aidha tatizo ni kutoelewa kingereza au nini haswa, wengi wameelewa kwamba ile kura iliyopigwa kusitisha vita ili kuruhusu misaada iwafikie wahanga, kwamba hiyo ina maana wameunga mkono Palestine au maugaidi ya HAMAS.

Kingine msiolelewa kingereza, mkatafute mtu awatafsirie nini maana ya "non-binding".

Kipigo kiko pale pale hadi hayo magaidi yafutwe ibaki wapenda amani wasio na uzombi wa kidini.

Israel jana wamepiga mabomu ambayo hayajashuhudiwa siku nyingine, na tayari wameingia humo kwa vifaru ila kikomando.
=====================

UNITED NATIONS (AP) — The U.N. General Assembly approved a nonbinding resolution Friday calling for a “humanitarian truce” in Gaza leading to a cessation of hostilities between Israel and Gaza’s Hamas rulers, the first United Nations response to the war.

The 193-member world body adopted the resolution by a vote of 120-14 with 45 abstentions after rejecting a Canadian amendment backed by the United States. It would have unequivocally condemned the Oct. 7 “terrorist attacks” by Hamas and demanded the immediate release of hostages taken by Hamas, which is not mentioned in the Arab-drafted resolution.

Riyad Mansour, the Palestinian U.N. ambassador, called the General Assembly “more courageous, more principled” than the divided U.N. Security Council, which failed in four attempts during the past two weeks to reach agreement on a resolution. Two were vetoed and two failed to get the minimum nine “yes” votes required for approval.

 
Sileti hadithi, ni maandiko yenu mnayoyatumia kila siku, hauwezi ukachagua yapi ya kufuata na yapi ya kupuuza.
Hujui kitu

Hakuna muislamu unaweza kumdanganya kwani kitabu cha waislamu ni Qur an ... Hadith kama inapinga Qur an haipo imetungwa tu.
 
Hujui kitu

Hakuna muislamu unaweza kumdanganya kwani kitabu cha waislamu ni Qur an ... Hadith kama inapinga Qur an haipo imetungwa tu.
Kwani hiyo Quran si imetungwa pia na Muhammad??
Au hujui kua,,yeye alikua anasimulia watu mambo ya kufikirika na mapokeo ya kale ya adithi za waarabu na wafuasi wake wanaandika simulizi zake.
 
Uislamu unafuata Qur an kama hadithi inapingana na Qur an ni batili haipo..Leta ayah ya Qur an inaendana na iyo hadithi.
Mkuu hiyo kazi yako ya kutafuta ila Muwa'yia Abu ibn Sufyan kashasema ukweli kuhusu tabia za muhamad alipokua syria yeye na wafuasi wake.
 
Mkuu hiyo kazi yako ya kutafuta ila Muwa'yia Abu ibn Sufyan kashasema ukweli kuhusu tabia za muhamad alipokua syria yeye na wafuasi wake.
Leta Qur an acha ubishi na kukosa elimu,kitabu cha waislamu ni Qur an ndio muongozo 🤣🤣.

Hadithi za kutungwa kila siku mnbadili .
 
Leta Qur an acha ubishi na kukosa elimu,kitabu cha waislamu ni Qur an ndio muongozo 🤣🤣..


Hadithi za kutungwa kila siku mnbadili .
Sasa quran yanini mkuu wakati Abu ibn Sufyan kakaa na muhamad na kajionea yote na kasema ukweli.

Tatizo kwakua kasema siri za muhamad na uraibu wake ndio maana unapinga. Afu mimi namuabudu JAH HAILE SELASIEna ndie kiongozi wangu,,sasa unataka kusema JAH HAILE SELASIE NI CHICHI MAN?
 
Halafu waislamu wenzako wote wanasoma huu ukweli na kupita kimya kwa aibu, maana imeandikwa kabisa huyu unayemuabudu kafanya uchafu wote, ni wewe tu ndiye unamtetea hehehehe
MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSAN Hadith Idadi 16,245:

Muhammad aliikamilisha ndoa yao kwa tendo la unyumba wakati 'Aisha alipokuwa na umri wa miaka tisa."Bukhari juzuu ya 5 kitabu cha 58 sura ya 43 na.236, uk.153.
Waislamu hawamuabudu Muhamad na hawamuabudu Mungu.

Nyie mnaabudu mtu aliyekamatwa na kuteswa na wanadamu akashindwa kujitetea
 
Back
Top Bottom