Al Jazeera inamilikiwa na Hamas? Mbona wanawatetea sana Magaidi kiasi cha kupindisha ukweli ili kujenga chuki kwa Israel

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,034
Jana dunia nzima ilikuwa inaamini kwamba Israel kalipua hospitali lakini ajabu ni kwamba muda wote huo Al Jazeera alificha video za ushahidi kwamba bomu lililorushwa na Hamas lilijamu angani na kushuka kwa kishindo kwenye hospitali ya Gaza kupelekea mlipuko na vifo vya wapalestina kibao.

Hii ni live footage ya mji wa Gaza iliyokuwa inarushwa live kwenye channel ya Al Jazeera lakini walipoona Hospitali imelipuliwa kwa kombora la Hamas lililojamu angani wakakatisha live footage na hawajuripoti tena mpaka sasa, uzuri ni kwamba teknolojia imekua nakala zinatunzwa.

Ikumbukwe hospitali ina umeme sababu ina bati la sola

 
Haiwezekani hamas kurusha kombora moja hamas wanarusha mvua ya makombora mzee,,iyo ni Israel imeamua kuwachonganisha wamepinpoint hospital makusudi
 
Ni swala la muda kabla Aljazeera haijafurushwa Israel.

Hata safari ya Biden hawajafanya coverage
 
Aljazeera inamilikiwa na Qatar ambae anaunga mkono Hamas. Viongozi wa juu wa Hamas wanaishi maisha ya kifahari Qatar.
Ulijuaje.? Kwani Biden alipotuma majeshi Afaghanistan yeye alikua anaishi maisha ya dhiki. Tumia akili usilete porojo
 
Aljazeera inamilikiwa na Qatar ambae anaunga mkono Hamas. Viongozi wa juu wa Hamas wanaishi maisha ya kifahari Qatar.
Nakumbuka kile kipindi mwaka jana, Israel walitoa lisaa watu watoke kweny jengo linalotumika kutunza silaha za Hamas ili walilipue, kila mtu alitoka mule ndani lakini Hamas wakaripoti Israel imepiga bomu watu wakiwa ndani
 
Kiufupi jamaa wana mrengo wa waarabu hivyo wako upande wa HAMAS hata kwenye mitandao ya kijamii accounts zao ziko ku-sympathize na waasi wa HAMAS.

Nimeacha kuwa nawaangalia mara kwa mara hasa katika coverage ya hii vita.
 
Haiwezekani hamas kurusha kombora moja hamas wanarusha mvua ya makombora mzee,,iyo ni Israel imeamua kuwachonganisha wamepinpoint hospital makusudi
Video kamili ambayo haikuonyeshwa na Al Jazeera hii hapa, Tazama video yote kuiona Mvua ya makombora ilipoanza


 
Back
Top Bottom