Waliwahi kuitwa na Kamati ya haki, kinga na madaraka ya bunge kwa kutoa kauli zilizodhaniwa kuwa zinalibagaza bunge ni pamoja na:-
1. Makonda alipokuwa RC wa DSM. Huyu alisema wabunge wanalala tu bungeni, hakuna wanachofanya.
2. Alexander Mnyeti alipokuwa DC. Huyu sikumbuki alisema nn.
3. Pascal Mayalla mchambuzi na mwandishi nguli wa habari na makala. Huyu alisema bunge halina meno, ni kibogoyo.
Kama Mbowe ameudanganya umma kwa kulibagaza bunge kuwa wabunge wamejiongezea mishahara kinyemela, kwann hii Kamati ya haki, kinga na madaraka ya bunge haimuiti Mbowe ili kumhoji?
Kwa vyovyote vile taarifa za Mbowe ni za kweli, hivyo bunge linaogopa kuumbuka , ndiyo maana limetoa kanusho hewa mitandaoni.