mbele

Blaise Lelo Mbele (born 10 August 1987) is a retired Congolese footballer who last played for Al-Ahli Club. Lelo previously played for different professional clubs such as South African giants, Orlando Pirates FC and the Saudi Arabian club, Al-Hilal FC.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Ukubwa wa Manchester United mbele ya Klabu kama Liverpool, Arsenal, Manchester City na Chelsea

    Tumeona wiki zilizopita kuwa baada ya Manchester United kushindwa kufuzu Ulaya ndipo UEFA ikakaa chini ibuni mbinu hata kama ya kijanjajanja ili mradi Man Utd wafuzu Na nyie mmeona Man Utd kapewa nafasi ya kufuzu eti kutokana na historia yake, sasa anahistoria gani Man Utd? Kwani Aston Villa...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini bunge linakosa utashi katika kuidhinisha vipaumbele vya serikali

    Yaani kilimo ambacho kimiajiri wananchi asilimia 85% kimetengewa billion 751 wakati wizara ujenzi na uchukuzi imetengewa TRILION 03 sasa hapa kuna nini? Utakuwa umeondoa umaskini wa hiyo population ya 85% kivipi hapo?
  3. profesawaaganojipya

    JamiiForums Tanzania Msaada: Dawa ya kusafisha kioo cha mbele cha gari

    Wakuu kioo cha mbele kina kama ukungu hivi, naomba msaada nijue dawa ya kusafishia..
  4. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania ACT - Wazalendo kutoa Maoni mbele ya Kikosi Kazi cha Rais leo Mei 23, 2022

    Baada ya Kikao cha Kamati Kuu kilichoketi jana katika Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar, Timu ya ACT Wazalendo ipo tayari kuwasilisha Maoni ya Chama mbele ya Kikosi Kazi cha Mh. Rais Kuhusu Demokrasia. Mikononi ni chapisho la Maazimio ya Kamati Kuu Kuhusu Maoni ya Chama Kwa Kikosi Kazi. Timu...
  5. Imalamawazo

    JamiiForums Tanzania Japo ligi inaelekea ukingoni, NBC bado wanayonafasi ya kuboresha tangazo lao la "kupeleka mbele soka la nyumbani"

    Kwa wadau wa Sports Marketing, mnaonaje tangazo la mdhamini wa ligi kuu (NBC Bank)? Kwa maoni yangu, tangazo la mdhamini wetu wa ligi kuu (NBC Bank) ni zuri lakini haliwatangazi. Tangazo lao, haliwatangazi bali linaonesha tu kuwa nao bado wapo. Segement ya huduma zao ipo kama haipo. Mpaka...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee: Walichofanya wajumbe wa Baraza Kuu CHADEMA ni Uhuni! Mimi ni CHADEMA, nitaendelea kuwa CHADEMA

    Dar es Salaam. Aliyekuwa mwanachama wa CHADEMA, Halima Mdee amesema hakukuwa na uhuru kwa wajumbe wa Baraza Kuu la chama hicho katika upigaji wa kura na kwamba, kilichofanyika ndani ya Baraza hilo ni uhuni. Na Mbowe anajua ni Uhuni. Nitaongea siku nyingine kwa Urefu leo sio siku mwafaka. Mimi...
  7. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Kenya yaupiga mwingi,tuige mfano huu wa kenya tusonge mbele zaidi.

    Ubunge iwe ni nafasi ya mtu mwenye uchungu na dhamira ya kweli ya kuwatumikia wananchi na usiwe kigezo cha mtu kwenda kujichumia mali .
  8. comte

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa wazi kama hujui kulima na kupanda utaishi kwa tabu sana miaka ya huko mbele

  9. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Suala la ardhi Zanzibar: Askofu Augustino Shayo apiga msumari wa moto mbele ya Rais Mwinyi

    Mhashamu Askofu Augustino Shao wa Zanzibar ametimiza Jubilei ya miaka 25 katika utumishi wa kanisa la Roman Catholic huko Zanzibar. Kwenye sherehe zilizohudhuliwa na wananchi mbalimbali wakiwemo viongozi wa kidini, askofu Shao kwenye salamu zake kwa Rais wa Zanzibar, amezungumzia mambo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Inonga amekuwa kitonga mbele ya chirwa

    Uyu mzee wa midadi leo amekuwa uchochoro mbele ya Obrey chola chirwa, Inaonekana alitumia nguvu kubwa Sana kumzuia mayele asifunge akasahau kule namungo kuna kiumbe mwingine anayetumia nguvu na akili matokeo yake amekuwa anaburuzwa tu kama gari bovu sasa sijui atatetemeka na Leo au vipi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwa vyovyote vile ni mwiko mtetemaji kutetema mbele ya simba

    Kwa matokeo yoyote yale ila ni marufuku mtetemaji kutetema mbele ya simba!!
  12. Lole Gwakisa

    JamiiForums Tanzania Adam wa kiafrika mbele ya Eva, atapona?

    Huyu Adamu wa kiafrika atapona kweli? Tunda lazima liliwe.
  13. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Simba SC wanatupa somo la mpira, kwamba uwanja wa nyumba ndio uwanja Sahihi wa Team kusonga mbele

    Wakuu Mimi ni Mwanachama na Shabiki Wa Team Ya Yanga. . Kimsingi nimepanda Jinsi Simba walivyoonesha domination ya uwanja wa Nyumbani. . Haijalishi ni Uwanja Wa Mkapa au Uwanja wowote Wa Nyumbani. . Team makini na Sahihi haiwezi kukubali Kupoteza Kwenye Uwanja Wa Nyumbani kwao ingawa mpira una...
  14. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Baraza kuu Chadema lasogezwa mbele

    Mtandao wa gazeti la Mwananchi umemnukuu Freeman mbowe akisema kuwa mkutano wa Baraza kuu la Chama umesogezwa mbele toka April 25 Hadi may 11 ili kupisha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadan
  15. Area 56

    JamiiForums Tanzania Tutangulize Uzalendo mbele kwenye mchezo wa Simba Vs Orlando Pirates

    naweka silaha chini, kila la heri mnyama mkubwa kesho dhidi ya Orlando Pirates. Mkipata goli 3 itakuwa advantage kubwa sana kuelekea mchezo wa marudiano na hatua muhimu kuelekea robo fainali. Wito kwa sisi mashabiki wa Yanga, tujitunze kuwasapoti watani zetu katika hatua hii muhimu, baada ya...
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kila wizara na Idara ipewe maelekezo kwenda mbele ya waandishi wa habari kujibu hoja za C.A.G, japo muhusika wa awamu ya tano alishafariki.

    Ni vyema Sasa Kila wizara ikakaa mbele ya waandishi ikiwa na executive summary ya majibu ya concerns za C.A.G ili kuondoa vacuum, kama mwendazake alihusika, wizara iseme, kama Kuna ufafanuzi, itolewe, tena kwa kina kabisa. Tunajua mengi si makosa yao, walikuwa wanapelekeshwa. Na pia watoe...
  17. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Dodoma: CAG kusoma ripoti ya 2020/21 mbele ya waandishi wa habari

  18. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Hapa Makongoro Nyerere kaamua kusema ukweli mbele ya Rais bila kupepesa macho

    Hii kauli ni kubwa sana. Kuwa watoto wa viongozi wanapata nafasi si kwa sababu wamewahi fanya matendo makubwa ila ni sababu tu ya majina ya watoto wao. Nadhani alikuwa anamaanisha yeye, Ridhwani Kikwete, Januari Makamba, Nape Nnauye n.k Anasema wao wapo hapo ukisema utafute walichofanya mpaka...
  19. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Nimesikitika baada ya binti kufariki kwa kung'atwa na nyoka kwenye makalio

    Leo imekuwa siku ya majonzi sana. Nipo na wenzangu huku Porini Singida kwenye project moja hivi. Ni week sasa tupo huku na mademu kadhaa wakali ambao nao imebidi waje huku. Huku ni porini kweli kweli tunalala kwenye tents. Hakuna nyumba. Sasa demu mmoja aliamua kwenda kujisaidia haja kubwa...
  20. nyboma

    JamiiForums Tanzania Nimesikitika sana kuona mke wa mtu akichukuliwa mbele ya macho yangu

    - Kwa ufupi vijana wa sasa mna tabu sana maisha yenu ya sasa yamejaa anasa kwelikweli. - Nawaonea huruma sana maana mnazungukwa sana huko maofisini. - Ngoja nipambane na maisha yangu hawa vijana niwaachie maisha yao. - Hakika kikulacho kiko nguoni mwako.
Back
Top Bottom