Kutoa msaada Mbele ya Ma-Camera!

Michewen

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
24,537
32,144
Inashangaza Sana kutoa misaada kwa wahitaji Mbele ya Camera Kama zote. Ili upate nn?

2669839_Screen_Shot_2021-01-18_at_3.28.12_PM.png
 
Mabingwa wa siasa wanashauri kama unatoa msaada basi toa kwa shamrashamra na mbwembwe kadri unavyoweza. Tofauti na hivyo watu hawatajua kuwa ni mwema.
 
Mtaji wa wanasiasa ni watu na si vinginevyo! Mwanasiasa akitaka kutoa msaada ni vyema akaleta macamera mengi kadri awezavyo ili habari isambae kila kona ya jimbo na ikiwezekana nchi nzima. Wapiga kura wake wamuone mtu mzuri na wampigie kura katika uchaguzi ujao. Ndio maana wanasema siasa ni mchezo mchafu!

Kwa mtu wa kawaida, si vizuri kutoa msaada labda kwa ndugu, rafiki au jamaa, halafu unaanza kumtangaza. Mwenyewe akisikia atajisikia vibaya na kukasirika.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Camera muhimu wewe ungejuaje hayo?

kwahiyo ulikuwa unataka apeleke haya dustbin kimyakimya aziweke hyo sehemu?
 
Inashangaza Sana kutoa misaada kwa wahitaji Mbele ya Camera Kama zote. Ili upate nn?

View attachment 2057484
Kwa kesi kama hii yupo sahihi kwa sababu ni katika kutekeleza ahadi aliyoitoa.

Kwa Politicians its not charity,for them its about doing everthing in their power to gain political popularity.For this reason ni lazima watafute namna ya kuinform general public kwa kila jambo jema wanalofanya kwa jamii.

Kwa makampuni most of the time huwa sio charity pia bali ni katika utekelezaji wa Corporate Social Responsibility (CSR) ambalo wanawajibika kisheria kufanya hivyo. On the other hand ni inatumika pia on their advantage kama marketing pia.

Sasa kwa hawa individuals wengine sasa ndo wanatakiwa wafanye bila cameras,hawa hawana sababu ya msingi ya kufanya hivyo ni misifa tu isiyokuwa na maana.
 
Imeandikwa; “ utoapo kwa mkono wa kulia wakushoto usijue”

Ndipo utapata thawabu kinyume na hapo ni sifuri.
 
Back
Top Bottom