mbele

Blaise Lelo Mbele (born 10 August 1987) is a retired Congolese footballer who last played for Al-Ahli Club. Lelo previously played for different professional clubs such as South African giants, Orlando Pirates FC and the Saudi Arabian club, Al-Hilal FC.

View More On Wikipedia.org
  1. Mjomba Fujo

    JamiiForums Tanzania Kinachotukwamisha kama taifa kusonga mbele

    Kwa Miongo kadhaa Tanzania kama nchi inayojitegemea, inapiga hatua kwa mwendo wa kobe. Kuna mambo ukiangalia ni aibu sana, yani mpaka leo hii tunahangaika na mashimo ya choo, madawati, na vitu vingine ambavyo ni aibu hata kuvitaja. Kama Taifa naona tuna changamoto hizi kubwa: 1. Ufisadi 2...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Binti asimulia Polisi alivyomvua nguo mbele ya baba yake Serengeti

    Tabitha Mwise (22), binti wa Mwise Simon (54), mmoja wa watu watatu waliouwawa kwa kupigwa risasi na polisi wilayani Serengeti kwa tuhuma za ujambazi amesimulia tukio la polisi kuvamia nyumbani kwao kumtia mbaroni baba yake ambaye sasa ni marehemu. “Kwanza walifika kwa kishindo alfajiri ya...
  3. Lyrics Master

    JamiiForums Tanzania Mbele kwa mbele- dj Yusuf ft. Hard Mard

    Verse 01: Kipyenga kimelia Mambo Magumu/ Mithili ya Sumu/ Uchungu na maumivu ambayo huwezi kuvumilia/ Kaa tulia/ Futa machozi msela inatusumbua hela/ Hatuna hata kitu kidogo Cha kupeleka tumboni/ Shida zimejaa, kidogo ulichonacho, lakini bado wanatoa macho/ Lakini kwa masela, mbele kwa mbele...
  4. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi PSSSF afikishwa mbele ya Baraza la Maadili

    Mkurugenzi wa Mifumo ya TEHAMA katika Shirika la Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) Bw. Gilbert William Chawe tarehe 16 Septemba, 2022 alifikishwa mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma jijini Dodoma kwa tuhuma za ukiukwaji wa maadili ikiwa ni pamoja nakukopa kiasi...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Ukraine wakomboa kijiji cha kwanza Luhansk, operesheni mbele kwa mbele

    Vilianzia Crimea vitaishia Crimea..... Ukraine has recaptured its first village in Luhansk, a region that Russian forces took five months to bomb into submission and conquer. Belogorovka is the latest prize for Ukraine’s continuing counter-offensive pushing Russia away from the second city of...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Heshima ya kukaa viti vya mbele

    Heshima ni nini?Ni kukaa viti vya mbele kwenye magari au hafla mbalimbali? La hasha! Baba mzazi Fulani alisikika akimlalamikia mwanae baada ya kumuweka mkewe kukaa kiti Cha mbele kwenye gari na yeye mzazi kukaa kiti Cha nyuma. Alisema"Hivi Josefu unajisikiaje Mimi baba yako kukaa kiti Cha...
  7. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Putin katelekeza wanajeshi wake toka vita ianze miezi 8 sasa hajawahi watembelea askari wake walio msitari wa mbele Ukraine

    Vita ikilipuka amiri Jeshi mkuu huwa ana kawaida kuwatembelea wapiganaji walio msitari wa mbele vitani kuongea nao na kuwatia moyo na kuwasikiliza Raisi Zelensnkyy wa Ukraine amekuwa akiwatembelea mara kwa mara Askari wake walio mstari wa mbele na kupokelewa kwa shangwe na Askari wake Putin...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Okra na Sakho waanze kila mechi na Phiri pale mbele

    Simba inabidi Okra asikae benchi, speed yake inaipa Simba nguvu. Namshauri Mgunda asimsikileze Matola. Okra anajua anaspeed anapiga, hakuna haja ya kumuweka Kyombo mbele tunachelewa kushinda, baadae toa Sakho weka Kibu Denis, pia Chama aambiwe anapoza sana mashambulizi. Timu ikishambulia...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Mbele kwa mbele, shughuli ya wazalendo wa Ukraine inaelekea Luhansk - zege hailali

    Piga, garagaza chochote kilicho mbele hadi ardhi ikombolewe, vilianzia Crimea vinaishia Crimea..... Vijana wa Ukraine wataingia kwenye vitabu vya historia kama mashujaa waliojitoa mhanga kwa ajili ya kulinda taifa lao, bendera yao, wazee wao, watoto wao na jamii yao yote. Vijana wa Kiafrika mna...
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Ukraine wapost video, ngoma ya Kharkiv wameifikisha mpakani na Urusi

    Jamaa wamefukuzia hadi mpakani, wamewehuka, nchi wanaikomboa, wanajitoa mhanga wa kufa afe wa kubaki aendeleze kizazi. Supapawa aliingia cha kike kwenye huu ugomvi maana wanajeshi wake wanapoteana hadi raha. ================= Avideo of a Ukrainian soldier bragging about how close Ukrainian...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali yaagiza zile nyumba ambazo ukuta umepita mbele ya geti, moja ivunjwe ndani ya siku 7

    Naibu Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi, Juma Makungu Juma, ametoa muda wa siku saba, ili kuvunjwa kwa nyumba iliopo Fuoni Migombani, kwa madai msimamizi wa nyumba hiyo, Hafidh Ahmed Mohammed, amejenga kinyume na utaratibu wa kisheria za mipango miji na vijiji. Ametoa agizo hilo baada ya...
  12. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hapa sasa nimeamini Wajaluo ni under dogs, Hawawezi chochote mbele ya Wakikuyu na Wakalenjin

    Sikuzijua hizi siasa za Kenya ila Leo ndio nimezijua Nadhani hata ile ya Kenyatta kumsapoti Raila ilikuwa ni strategy tu kusiwe na malalamiko mengi baada ya Ruto kuwa raisi.... Mpango ulishasukwa na matokeo yalishajulikana.. Kikuyu na Kalenjin ndio wataifaidi keki ya Kenya milele. Raila...
  13. Mkemia Fred James

    JamiiForums Tanzania SoC02 Sheria za msingi za adabu

    Sheria za msingi za adabu: 1. Ongea na watu kwa adabu, haswa ikiwa unaomba usaidizi. 2. Jitahidi sana usikatize watu wanapozungumza. 3. Kumbuka kusema asante ikiwa mtu amekuwa msaada kwako. 4. Ikiwa unahitaji kupita, sema samahani - nahitaji njia ,nafasi nyembamba!Usiseme Pisha nipite...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha udhalilishaji katika jamii

    Utafiti binafsi nilioufanya umegundua kuwa chanzo cha ongezeko la kasi ya matendo ya udhalilishaji katika jamii ni jamii yenyewe inajidhalilisha. Hii nikwasababu wanajamii wenyewe katika zama hizi wamekua wakijidhalilisha katika nyanja tofauti tofauti ikiwemo mavazi. Jamii ya sasa imekua...
  15. Boqin

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Rais Samia achapishwa ukurasa wa mbele wa Gazeti la The Scotsman la Scotland

    Ukurasa wa mbele wa Gazeti la The Scotsman la Scotland umekuwa ukisambaa mitandaoni ukiwa na kichwa kinachosema "Rais Samia aongeza matumaini mapya kwa ushirikiano wa kiuchumi kati ya Scotland na Tanzania," Gazeti hilo linalosomeka kuwa ni toleo la 1 Novemba 2021 la gazeti la kitaifa la...
  16. Nangu Nyau

    JamiiForums Tanzania Tunaishi kuleee mbali nyuma, Wenzetu wanaishi kuleee mbali mbele.

    Lazima tukubaliane tunafikiri na kuishi kizamani sana wakati wenzetu wanaishi na kufikiri miaka mingi mbele. Haya yanayoendelea lazima tufahamu hakuna shida nyingine zaidi ya watu wenye uelewa mdogo kwenye mifumo na huku mitaani. Maendeleo ni process na mipango mikali kuikamilisha hiyo process...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia songa mbele, wengine watakushukuru na kuacha kelele za lawama tukifika Kanaani

    Mh. Rais, najua unatambua kuwa safari ya kuyafikia maendeleo siyo nyepesi, siyo tambalale wala mteremko. Mh Rais sisi watanzania huwa tunalalamika sana linapoanza jambo fulani na kuinua sauti za kelele kila mahali ili mradi tu kila mtu kaongea. Mh. Rais wetu, umekuwa muwazi sana katika serikali...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anayo kiu ya kuipeleka mbele Tanzania kimaendeleo, tumpe muda tutafurahi na kushangilia

    Ndugu zangu ukimsikiliza mh Rais Mama Samia Suluhu Hassan akizungumza, ukimuangalia namna anavyotenda utagundua kuwa amedhamiria na anayo kiu ya kuipekeka mbele nchi hii kimaendeleo. Mh. Rais anayo kiu ya kuona kuwa, hakuna mama mjamzito anasafiri umbali mrefu kufuata kituo cha afya au...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Twende mbele turudi nyuma, wanawake waliteseka sana

    TWENDE MBELE TURUDI NYUMA, WANAWAKE WALITESEKA SANA Anaandika, Robert Heriel Licha ya kuwa Mimi ni mfuasi mzuri wa mfumo dume lakini nachukizwa na tabia ya utesaji, unyanyasaji na uzalilishaji wa Wanawake. Mfumo Dume ni Amani, haki, upendo na heshima Kwa dunia yetu. Acha Wanawake wafanye...
  20. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Video: Jana nilivyolia mbele ya kamera sikutegemea

    Kweli Mimi ni wa kulizwa kweli kisa ushabiki? Watoto wangu watanionaje huko mbeleni? Nimepigiwa simu kutoka pande za dunia wakinipa pole. Kwelii man utd na simba mmefikia huko? Kweli simba hile ni timu ambayo inajinasibu kufika Mbali CCL Kweli? Simba ambayo sasa haina sauti kwa yanga yani sisi...
Back
Top Bottom