mbaya

The Mbayá or Mbyá are an ethnic group, commonly called "Indians", which formerly ranged on both sides of the Paraguay River, on the north and northwestern Paraguay frontier, eastern Bolivia, and in the adjacent province of Mato Grosso do Sul, Brazil. They have also been called Caduveo. In the 16th century the Mbayá were called Guaycuru, a name later used generically for all the nomadic and semi-nomadic Indians of the Gran Chaco. The Kadiwéu people of Brazil are the surviving branch of the Mbayá.The Mbayá called themselves the Eyiguayegis 'people of the palm', a reference to the abundant palm trees in their home country. (The name Eyiguayegis is similar to that of Agaces or aigeis, a name more often applied to the related Payaguá. Possibly the two peoples were nearly the same in the 16th century.) The Mbayá spoke a Guaycuruan language. They were "formidable" fighters and "kept the Europeans – settlers and priests alike – at bay" for more than 300 years.The Mbayá were nomads. With horses captured from the Spanish, the Mbayá developed an equestrian culture by about 1600 and were a serious threat to Spanish and Portuguese settlers, missionaries, and governments in Paraguay, Bolivia, and Brazil until near the late 19th century. They also raided and subjugated other Indian groups, notably the Guana. They were generally friendly with the Payaguá, who lived along the Paraguay River and had a riverine culture.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Siku mbaya kwa makanjanja redioni leo

    nasikiliza reedio clouds fm hapa dah kuna kanjanja moja mwandamizi linalopenda kusihambulai simba liko very low baada ya utoplo kupigwa na team ngumu kabisa kutoka tanga iitwayo african sports dah aisee poleni makanjanja mengine yako busy ksuimulia jinsi y azam kuifunga simba kesho..MO KAZA...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Fanya yafuatayo ili kuondoa tatizo la mdomo kutoa harufu mbaya

    Safisha kinywa kwa kutumia dawa ya meno na mswaki, kisha sukukutua na maji safi na kutema. Pata matibabu ya magonjwa ya kinywa- endapo kinywa chako kina maambukizi, utapatiwa dawa za kutibu maambukizi hayo. Kuna wakati utahitaji kusafishwa meno na daktari wako ili kuondoa bakteria kwenye...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Zijue sababu za kinywa kutoa harufu mbaya

    Kinywa kutoa harufu mbaya huweza kuwa kero kwako binafsi au kwa watu wanaokuzunguka. Visababishi vya harufu mbaya kinywani ni kama vifuatavyo:- Aina ya vyakula Vyakula jamii ya vitunguu, tangawizi, na viungo vingi vinavyotumika kwenye chakula endapo vitameng'enywa na bakteria katika kinywa...
  4. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Tulianzia hapa Ugomvi wangu na Mwenye Nyumba mpaka kufika mwishoni hali ilikuwa mbaya

    Miaka hiyo nimetoka chuo tu nikapata kazi sehemu fulani bado nikiwa home. Nilijiwekea tu malengo kuwa kuepuka usumbufu wa usafiri in a year lazima niwe na gari. Nilinunua gari nikiwa home then nikanza mchakato wa kuanza maisha binafsi. Nikatafuta nyumba ya kuanzia maisha. Nilipata vyumba viwili...
  5. mathsjery

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ni tabia mbaya nionavyo mimi, kwa mashoga na madogo wa mke

    Nashangaa kitanda nacholalia iweje mke wangu ulale na dada yako, na wakati kuna chumba kingine, ati kisa mimi sipo? Nashangaa bafu la chumbani wadogo zako wanalitumia na wakati unajua ni la wawili tu mimi na wewe na wakati huo kuna bafu tena la ndani hapo kwenye korido? Nashangaa we dogo...
  6. Fatma-Zehra

    JamiiForums Tanzania Mpendwa Rais Magufuli, Dodoma haina maji. Hali ni mbaya!

    My President, hali ni mbaya sana. Inazidi kuwa mbaya kila kukicha. Mgao wa maji ulikuwa mara mbili kwa wiki na awamu zote zilikuwa zinatoa maji kama mkojo (forgive me kwa lugha hii baba yangu). Kwa sasa ni mara moja kwa wiki on an unknown day, and time. By the way hata yakitoka, you need hours...
  7. MR.NOMA

    JamiiForums Tanzania DAWASCO Kimara fungueni Maji, Hali ni Mbaya

    Habari wanabodi, kama Kuna mtu anamfaham Meneja wa DAWASCO Kimara, tafadhali amjulishe kuwa afungue maji mchana huu kwani Hali huku mtaani ni Mbaya Sana. Siku ya 4 leo inaenda maji hakuna, na hata watu wanaouza toka kwenye matanki yao wameishiwa maji, hivyo, Hali sio ya mchezo kabisa. Kuna...
  8. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya, nikiwa mtanzania je naweza kuagiza gari lifikie kenya ila nilitumie Tz, huku hali imekuwa mbaya

    Hali ya Tz kwa sasa, Ukaguzi wa gari unafanyika hapa hapa Tanzania na sio kufanyikia kwenye nchi unayoagizia gari kama japan. sheria mpya ni kwamba gari halikaguliwi kwenye nchi linapotoka, linakaguliwa likifika hapa tz. Sasa mimi nataka gari ikaguliwe huko huko japan, sitaki gari niliyoagiza...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lasitisha mafunzo ya kujitolea

    JKT YASITISHA MAFUNZO DODOMA: JANUARI 19, 2021 JESHI la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza kusitisha kwa muda mafunzo ya jeshi hilo ya kujitolea kwa mwaka 2020/2021 mpaka hapo itakapotangaza tena. Kutokana na kusitishwa kwa Mafunzo hayo JKT imewataka vijana walioripoti makambini kurejea...
  10. ommytk

    JamiiForums Tanzania Moja ya kanuni ukitaka maendeleo uwe na roho mbaya je kweli?

    Wadau juzi nilikutana na rafiki yangu ambaye tumepoteana muda mrefu amepiga hatua kubwa sana kimaisha nikamuuliza katika mazungumzo yetu kauli yake ni moja tu kaka ukitaka kusogea kimaisha toka hapo ulipo unatakiwa uwe na roho mbaya sana utafanikiwa. Hii kauli mpaka sasa naitafakali.
  11. Chizi Maarifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba mkwe amekopa kwenye kurudisha mkwanja anajisahaulisha. Hii siyo sawa ndugu zanguni

    Wadau kuna siku nipo nafanya service garage fulani mara na baba mkwe naye akatia team amekuja fanya garage hapo hapo. Wametengeneza mara kuna spare inahitajika na amepungukiwa 190,000. Akanambia nimwazime 250,000. Nikamwazima. Miezi miwili imekata. Naona amejisahaulisha kabisa. Kila mara...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kafeini ni nini? Ni nzuri ama ni mbaya kwa afya?

    Kafeini imekua ikitumika kwa watu wengi kwa lengo la kuondosha usingizi ama uchovu. 90% ya watu duniani hutumia kafeini angalau mara moja kwa siku. Kafeini ni nini? Kafeini ni kichocheo cha asili mara nyingi hupatikana kwenye chai, kahawa na mmea wa kakao. Inatumika kuchochea ubongo na mfumo...
  13. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kushuka na begi/mzigo wa abiria mwenzio kwa bahati mbaya? Mtu aliyeshuka na box langu la samaki mwaka 2012 sasa ni family friend

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu watanzania; Je, ulishawahi kushuka na begi/mzigo wa abiria mwenzio kwa bahati mbaya? Mtu aliyeshuka na box langu la samaki mwaka 2012 sasa ni family friend. Kuna kamsemo kamoja huwa kanatamba sana huku mitaani...
Back
Top Bottom