Hakika hayati magufuli atazidi kukumbukwa vizazi na vizazi kwa maneno yake yenye maono alikuwa mara nyingi kwenye hotuba zake anasema "vita ya kiuchumi ni mbaya sana kuliko vita vingine vya kawaida" hii kauli nimeitafakari sana baada ya kuona yaliyotokea nchi ya chadi juzi kiongozi wao aliyeuawa na waasi kirahisi kabisa.
Raisi Idris derby aliuawa na waasi katika mji uliopo kaskazini mwa chadi sasa juzi cha kushangaza nimemwona juzi Raisi wa ufaransa Bwana Emanuel macron amehuzuria mazishi ya kiongozi huyo wa chadi na alipopewa nafasi ya kuongea alisema" sisi kama ufaransa tutaulinda kwa hali na mali utawala mpya wa chadi"sasa wadau tujiulize muda wote ufaransa ilishindwa kuulinda utawala wa chadi dhidi ya makundi ya kigaidi.
Je, walishindwa kuyadhibiti makundi ya waasi na kuyamaliza ?yaani mpaka kifo kilipotokea ndo wanasema tutaulinda uongozi mpya kwa hali na mali wa serikali ya chadi.
Ila ninachotambua huko "nyuma ya pazia wao ndio waratibu wakuu wa hayo makundi ya kigaidi na kupanga kuzipindua serikali za africa kwa ajili ya malengo yao ya kutaka kuiba rasilimali za mafuta na gesi ",hivi nani hajui nchi ya chadi na msumbiji zina rasilimali ya mafuta kwa wingi tena msumbiji hadi gesi inayo na imeingia hadi tz mtwala huko Ni matani na matani ya mafuta yako huko chini ya ardhi.
Daah kiukweli hayati magufuli atakumbukwa vizazi na vizazi.