Yaani hii tabia iliyoibuka ya wadada kuacha maziwa yananing'inia, inatuweka wanaume mahala pagumu sana.
Mimi nadhani kwa upande wangu makalio yalikuwa hayanisumbui sana lakini hili suala la boobs wamenidaka.
Mfanyabiashara anaona Kununua Lita moja ya maziwa fresh ni heri ananunue Kopo la maziwa ya unga na akapata lita zaidi ya 20 za maziwa
na wanayaongeza na Butter 'magarine'
ili yawe na vimafuta na yakipoa yanaonekana kama maziwa halisi ya ngombe
Yani Biashara ya maziwa siku hizi ni uhuni mtupu...
client wa instagram: money penny bwana me nimepata demu ila maziwa yake yamelaaaaala sana
money penny: sa unataka nifanyaje jaman
client wa instagram: me nasema tu nisaidie nifanyaje
money penny: una hela?
client wa instagram: ya nini
money penny: ya kusimamisha maziwa?
client wa...
Nilikuwa sijui kama kuna ng'ombe mwenye thamani inayozidi milioni tano.
Lakini hii clip imenifungua macho! Ng'ombe wa maziwa anauzwa Tsh 12,000,000/=
Milioni kumi na mbili si bei ya IST used?
Ufugaji wa ng'ombe wa maziwa unalipa!
Serikali Kutumia Bilioni 900 Kwaajili ya Ujenzi, Uboreshaji na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafiri na Usafirishaji kwenye Bandari za Maziwa Nchini.
Serikali ya awamu ya sita ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Dkt Samia Suluhu Hassan kutumia zaidi ya shilingi bilioni 900 kwa...
Baada ya mashabiki kumsakama kwa muda mrefu kuhusu muonekano wake na sura kiujumla, mwanamuziki kutoka Tanzania House Of Talent (THT) Maua Sama aonesha niya yake ya dhati kuhusu kubadili muonekano wake.
Hii si mara ya kwanza kwa Maua kutaka kubadili muonekano wake ila inaonesha kilichokuwa...
Mwigizaji wa Bongo Movie, Irene Uwoya anasema huwa anaogea maziwa ili aweze kulinda na kutunza ngozi yake ili iendelee kuwa na mvuto. Ameyasema hayo akiwa kituo cha radio cha Clouds Fm.
Nini maoni yako?
Nikiwa mdogo kijijini kwetu ngulugulu huko wilaya ya ileje Babu yangu alinifundisha namna nzuri ya kumkamua ng'ombe maziwa, nilipewa mbinu kwamba kuna ng'ombe wastaarabu, hauhitaji kumfunga kamba miguu ili umkamue, na kuna ng'ombe lazima umfunge kamba ndipo umkamue, kwa kuwa anaweza kukupiga...
Kuna kitu kinanichanganya sana juu ya haya maziwa mbadala (Formula), je ni kweli yapo sawa tu na ya mama? Yaani mtoto aliyetumia Formula na aliyenyonya kwa mama yake hakuna aliyemzidi mwenzake virutubisho maana kumekuwa na mgongano wa hoja mitaani wengine wakidai yanatofauti huku wengine...
Jamani kichwa kinajieleza.
Kwanza ni kweli mende anazalisha maziwa? Mende hawa hawa tunaowaona chooni? Sasa maziwa yenye yanakaa wapi na wanakamuaje? Halafu eti inasemekana maziwa ya mende yanavirutubisho kuliko ya ng'ombe, si makubwa haya!
Mende walivyo wachafu na wanavyoogopesha leo mtu...
Nimekuwa nikisikia kutoka kwa watu mbalimbali kuwa pindi hutumiapo dawa zozote basi itakupaswa usitumie maziwa aina yoyote kwasababu matumizi ya maziwa hupunguza au kuondoa kabisa ufanisi wa dawa hizo hivyo kupelekea kutotibu ugonjwa uliokusudiwa.
Kwa uelewa wangu ni dawa mbili tu ambazo...
Wanahitajika business partners wawili hadi watatu.
Biashara ya kuuza Maziwa Fresh na Mtindi.
Biashara itakuwa jumla na reja reja.
Vyema ukiwa unaishi Dar es salaam.
Mimi nitasimama upande wa upatikanaji wa mzigo hadi kuufikia mzigo Dar.
Partners watasimamia usambazwaji wa mzigo Dar es salaam...
Majuzi nimelisikia Bunge letu tukufu wakijadili hoja ya URAIA PACHA na HADHI MAALUM kwa kina sana lakini yaonyesha wazi viongozi wetu hawajui maana wala tofauti ya mifumo hii miwili japokuwa ni wasomi wazuri.
Kwa sababu hizi inanilazimu kuufahamisha Umma, viongozi na Wabunge wanaojadili hoja ya...
NAIBU WAZIRI SILINDE - MAZIWA YASIYO SALAMA NI HATARI KWA MLAJI
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. David Silinde ameonya kuwa matumizi ya maziwa yasiyo salama huhatarisha maisha ya mlaji kutokana na kutumika kama njia ya kusafirisha magonjwa ya mifugo kwenda binadamu.
Mhe. Silinde amesema...
MJ maziwa jumla tuna uzoefu wa miaka mingi wa kuzalisha maziwa na kutengeneza mtindi bora kabisa, kwa walioona na kunywa maziwa yetu watakubaliana na mimi
Tunazalisha na kutengeneza mtindi zaidi ya lita elfu 1000 kwa siku hivo kwa wakazi wa Dar es Salaam ni wakati wa kunywa maziwa...
Habari zenu ndugu zangu wajf leo nimeamua kuanzisha hii thread inayohusu ufugaji wa ng'ombe wa kisasa /maziwa kwa minajiri ya kujaribu kusolve changamoto mbalimbali zinazowakumba wafugaji wa sector hii kupitia uzoefu wangu mashambani na shuleni (SUA) hivo karibuni tusharee mawazo tupate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.