maziwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Muchaa

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata soko zuri la maziwa Tanzania?

    Wakuu habari zenu , naomba msaada wenu juu ya suala zima la soko la maziwa nchini Tanzania na hata nje ya mipaka ya Tanzania kwa mwenye details zozote zinazoweza kuwa msaada kwangu tafadhali tusaidiane.
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ezra Chiwelesa Achaguliwa Kuwa Rais wa Moja ya Kamati Bunge la Maziwa Makuu

    MBUNGE MHE. EZRA CHIWELESA ACHAGULIWA KUWA RAIS WA MOJA YA KAMATI BUNGE LA MAZIWA MAKUU. Tarehe 27 Machi, 2023 umefanyika uchaguzi wa viongozi mbalimbali wa Kamati za Kudumu za Bunge la Nchi za Maziwa Makuu Jijini Juba Sudani Kusini. Katika uchaguzi huo Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Magharibi...
  3. Cholowao

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Maziwa ya Jumla Tanga

    Hivi ni wapi naweza pata maziwa kama lita 1,000 kwa siku nikiwa Tanga?
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Ni yapi madhara yatookanayo ya kemikali kali za kuchubua ngozi, kuongeza ndevu, kuotesha nywele kwenye vipara, kuongeza makalio na maziwa

    Kumeibuka wimbi la wafanyabiashara wengi wakiingiza nchini madawa mbalimbali yenye kemikali kali za kurefusha uume, kuongeza ndevu, kukupa six packs hata kama una mtumbo mkubwa kama wa Bujibuji Simba Nyamaume , dawa ya kuotesha nywele kwenye upara na nyingine nyingi. Na kuna madawa ya...
  5. system hacker

    JamiiForums Tanzania Kama vile Tanzania ni asali na maziwa ya watu wale wale wachache sana kwenye watu milioni 62!

    People milioni 62 na ushee lakini mmmmhhhh wakulaji ni very small cycle. Competence wala sio ishu kubwa kwenye hii nchi. Kikubwa zaidi ni kuwa karibu na hiyo cycle nothing more nothing less. Lakini truth be told....tatizo sio wakulaji bali tatizo ni wananchi wenyewe. Wameshapigwa ki ufasaha...
  6. benzemah

    JamiiForums Tanzania Vituo vya Uokoaji Maziwa Makuu Kujengwa Nchini

    Serikali kupitia Shirika la Wakala wa Meli nchini (TASAC), imeeleza kuwa inatarajia kujenga vituo vya uokoaji katika Maziwa Makuu nchini ili kusaidia katika tahadhari na uokoaji pindi yanapotokea majanga kwenye vyombo vya usafiri wa majini. Mwenyekiti wa Bodi ya TASAC, Kapteni Musa Hamza Mandia...
  7. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Asili ya baa za maziwa

    Biashara ya kwanza ya baa ya maziwa ilianzishwa na Muingereza huko India mwaka 1930, James Meadow Charles alipofungua baa yake huko Bangalore iliyoitwa Lake View Bar. Wazo hilo likaanza kusambaa kwa kasi katika maeneo mbalimbali duniani, ikiwemo Uingereza. Katika muda mfupi tu zaidi ya baa 1000...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mfugaji wa Mbuzi wa Maziwa anayepaswa kuigwa

    Kwa kweli sijaona mfugaji wa mbuzi wa maziwa anayefanya vizuri kama huyu mfugaji aliyeko Uganda. fuatilia program hapo chini.
  9. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Maziwa fresh ni tiba ya sumu ya vumbi linaloingia kwenye mfumo wa upumuaji

    Umewahi kunywa sumu yoyote ile kimakosa kisha baadhi ya watu wakakushauri utumie maziwa fresh kama sehemu ya tiba? Madai ya maziwa fresh kuwa na uwezo wa kuondoa sumu mwilini yamekuwepo wa muda mrefu. Katika kujadili ufanisi wake, mdau mmoja wa JamiiForums amekosoa vikali tiba hii kwa kusema...
  10. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Nani aliwadanganya Watanzania kuwa maziwa ni tiba ya mtu aliyemeza sumu?

    Huu uongo umekuwepo miaka mingi sana. Ukweli ni kuwa maziwa hayana nguvu yoyote ya kutibu sumu. Mtu anayekunywa maji na anayekunywa maziwa baada ya kunywa sumu wote wapo sawa. Unakuta mtu anafanya kazi kiwandani, mgodini au sehemu yenye vumbi, jioni anapiga maziwa kwamba anazuia sumu. Na wenye...
  11. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Maziwa fresh ni tiba sahihi ya tatizo la vidonda vya tumbo

    Vidonda vya tumbo ni tatizo linalosumbua watu wengi. Husababisha maumivu makali sana, kiasi cha kufanya liwe tatizo lisilovumilika kirahisi. Katika kutafuta tiba, baadhi ya watu hutumia dawa za hospitalini, huku baadhi wakitumia dawa za asili. Pia, maziwa ni miongoni mwa dawa zinazo...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha umwagiliaji kwa maji ya maziwa

    Tanzania imezungukwa na maziwa makubwa yenye maji mengi kama vile ziwa Victoria , ziwa Tanganyika, Ziwa nyasa nk. Mara kwa mara viongozi wetu wamesikika wakisema tutumie maziwa haya kwa kilimo cha umwagiliaji, na wakati mwingine watu hujishangaa kwa nini maji haya hayatumiki kwa umwagiliaji...
  13. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Inashauriwa kutochanganya Maziwa na Ndizi au Mayai na Kitimoto wakati wa kula

    Wataalamu wa Lishe wanashauri kutokula Mayai na Kitimoto kwa pamoja kutokana na kuwa na wingi wa Virutubisho vya Protini ambavyo husababisha Tumbo kutumia muda mrefu kumeng'enya Chakula. Inapendekezwa kula Mayai kwanza na Nyama ifuate angalau baada ya nusu saa. Matumizi ya Matunda yenye Asidi...
  14. Mynd177

    JamiiForums Tanzania Kwanini ng'ombe anatoa maziwa yanayokuwa kama maji?

    Habari wanajukwaa la kilimo na ufugaji, Tafadhali rejea kichwa cha mada. Ng'ombe hapa nyumbani siku za karibuni amekuwa akitoa maziwa ambayo kwa kweli ni kama maji, hayana uzito wowote na hata ukiyachemsha hayana ladha yoyote ni kama maji. Jambo hili limepelekea mpaka wateja kulalamika kuwa...
  15. Satisfy

    JamiiForums Tanzania Nani atawahi soko la maziwa makuu kati ya Tanzania (Dar port) na Kenya (Mombasa port)

    Mwaka 2014 kenya ilikopa fedha kutoka china kupitia bank ya exim ili ku implement ujenzi wa reli toka mombasa port adi Rwanda kupitia Uganda. Ujenzi ulianza immediately, but reli iliishia mji wa naivasha nchini kenya nakupelekea nchi kupata hasara. Mwaka 2022 Tz imekopa fedha kutoka china kwa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Maziwa ya Mbuzi

    wAkuu habari zenu, samahani mwenye kujua anifahamishe mwanza Maziwa ya Mbuzi napata wapi?
  17. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua kiwanda cha kuchakata maziwa cha MSS kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo, Mkoani Katavi

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezindua kiwanda cha kuchakata maziwa cha MSS kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo, Mkoani Katavi ambacho kina uwezo wa kusindika wastani wa lita 10,000 kwa saa. Akizungumza baada ya kuzindua kiwanda hicho ambacho uwekezaji wake umegharimu shilingi milioni...
  18. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Maziwa haya(Lakes) yanaweza kuua watu wengi sana

    Hii inatokea kwenye maziwa yaliyopo kwenye maeneo yenye volkano, hasa crater lakes. Maeneo ya volkano huwa na gesi nyingi sana ikitoka chini, hasa hasa carbondioxide. Gesi hiyo inaweza zama kwenye maji kama ambavyo gesi huzama kwenye soda. Sasa maziwa kama ziwa Ngozi Mbeya, ziwa Nyos huko...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Nani ndio super power wa ukweli ukanda wa maziwa makuu kudhibiti mikwara ya Rwanda na Congo

    Siku zote panapofuka moshi ujue kuna moto hivyo kila jambo linalotokea huwa halikosi sababu. Kenya ameonekana kujiandaa kupekeka mamia ya wanajeshi Congo baada ya waasi kupata nguvu mashariki ya Congo na kukua kwa uhasama kati ya congo na Rwanda. Ikumbukwe mwaka 2013 Tanzania alipeleka...
  20. Diversity

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Maziwa ya kwanza ya Mama yenye rangi ya manjano ni hatari kwa mtoto

    Kumekuwa na mtazamo kuwa maziwa ya kwanza ambayo mama huyapata mara baada ya kujifungua si maziwa yafaayo kwa mtoto. kutokana na mtazamo huu wanawake wengine huyakamua na kuyamwaga mpaka yanapotoka maziwa ya rangi nyeupe.
Back
Top Bottom