Habari zenu wandugu,
Nimeanza ufugaji wa ng'ombe wa maziwa, sasa nina changamoto ya soko la uhakika: natafuta soko la maziwa kwa ukanda wa Mbande hadi Mbagala, kwa sasa ninauwezo wa lita 10 kwa siku, ila kuanzia mwezi wa kumi ni nitakua na uwezo hadi wa lita 30.
Bei ni elfu mbili kwa lita...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama maziwa yanayotokana na korosho wakati alipotembelea Taasisi ya Utafiti wa Kilimo, Naliendele, Mtwara, Julai 7, 2020. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa.
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na...
Mkutano Mkuu wa CCM unakutana hivi karibuni kumchagua mwana CCM wa kupeperusha bendera ya chama kwenye nafasi ya Urais wa Jamhuri wa Tanzania,msifanye makosa turudishieni JPM Ili akamilishe kazi aliyoibakiza kwenye ilani 2015-2025 na kuanzisha miradi mipya ili kuongeza kasi ya kwenda uchumi wa...
ITV leo asubuhi imemuonyesha Waziri wa Mifugo, Mhe. Luhaga Mpina akitoa maelekezo ya kuzuia vitendo vya KISHETANI vinavyofanywa na Msajili wa Bodi ya Maziwa Tanzania kuchafua maziwa ya ng'ombe yanayouzwa na Wajasiriamali wanawake katika eneo la Ubungo kwa kuyamwagia mafuta ya taa, au rangi ili...
Habari za mida hii Wakuu natumaini shughuri zetu zinaenda vizuri
Leo bwana mida ya asubuhi hivi nilikuwa natazama Clouds 360 ila kuna clip flani ya Mkuu wa Wilaya ilionyeshwa anasema kwamba leo ni siku ya maziwa duniani yani ya kunywa,
Anasema kwamba ukipata maziwa we piga tu mpaka basi...
Msaada wa haraka mtoto wa miezi 2 analia mpaka napata wasiwasi tatizo linaweza kuwa nini mbaya zaidi maziwa hataki kunyonya.
Kuwa ni kwa wenye udhoefu wa watoto
(SEE SWAHILI VERSION BELOW: SOMA CHAPISHO LA KISWAHILI CHINI)
Big earthquakes might make sea level rise worse. Here's how.
The Samoan islands are sinking faster than expected due to warming alone, and a pair of huge quakes is likely to blame.
Source: Big earthquakes might make sea level...
Sio siri tena kwa sasa Tanzania inatajwa vibaya sana duniani kuhusu mapambano dhidi ya COVID-19. Bahati mbaya hali hiyo imepelekea kuitaja Tanzania kama kitovu kipya cha kusambaza maambukizi ya COVID-19 (Covid-19 Epicentre) kwa ukanda wa maziwa makuu.
Hali hii inatokana na hatua ya nchi kadhaa...
Wanabodi,
Kwa mujibu wa Rais Magufuli wametuma sample za mimea na wanyama kwa kuzipa majina ya binadamu kwenye maabara kuu ya Taifa Dar es Salaam kwa siri bila wapimaji kufahamu baada ya kupimwa zimetest positive yaani zina corona
Hapa ndipo Magufuli ameprove uwana-science wake.
Je? Tatizo ni...
Baada yakufanya tathmini isiyo rasmi...nimegundua sehemu ...ambayo CCM wamewekeza mtaji wao mkubwa ni vijijini. Hapa CCM wanachofanya sio..Miujiza ni njia kama za Akina late Mugabe , Mseven na wazee wengineo ambao wako ..radhi wafie madarakani lakin ..sio kuwapa kijiti wapinzani.
Kwa upande wa...
Mwaka 2016 mfumo wa maisha ulibadilika baada ya Serikali mpya kuingia madarakani! Vijana wengi tulijikita katika kilimo na ufugaji baada ya motivational speaker kutuhakikishia tutapata utajiri bila kutoa jasho
Nami nikaanza na nguruwe wenye mimba 3. Mwanzoni hakukuwa na changamoto sana ila...
Utafiri umeonyesha kwamba maziwa ya mgando huimarisha kinga ya mwili na kukinga dhidi ya magonjwa ya mfumo wa hewa na haswa homa ya mafua.
Prof. Dr. Nizami Duran mkuu wa Idara ya Mikrobiolojia katika chuo kikuu cha sayansi ya tiba cha Hatay Mustafa Kemal pamoja na timu yake ya uchunguzi...
Nimejaribu kufuatilia video hii aiseh inatia uchungu sana. Ila nadhani lengo la huyu kwenye video hii lilikuwa ni kuonesha namna ambavyo ufugaji unakumbwa na vikwazo. Tunatakiwa kuangalia namna ya kutengeneza mazingira rafiki kwa wafugaji. Inaumiza lakini hasa ndio maisha hamna namna
Salamu!!
Jamani natafuta mahali au chuo au hata mtu binafsi anaweza kunifundisha namna ya kusindika maziwa.
Nimejaribu SIDO wanasema wao wanafundisha usindikaji wa vyakula na milolongo kibao na procedures za kufa mtu.
Kupitia jukwaa hili nisaidieni jamani anayefahamu mahali au mtu binafsi au...
Habari wana Jf na wakazi wa Dodoma.!
Ninauza Maziwa ya ngombe wa kisasa, Tsh. 2000/= @ 1 litre
Monthly Bills na Discount Kwa Maziwa mengi inapatikana.
LOCATION: Dodoma Mjini
Info; PM
Natanguliza Shukrani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.