Habari wakuu, Kama kichwa habari kinavyo eleza ya kuwa waafrika na waasia hawawezi kunufaika kiafya kwa kunywa maziwa.
Kwa utafiti uliofanywa na chuo kikuu Cha Cornell kimegundua ya kuwa watu wengi -- kama asilimia 60 na hasa wale wenye asili ya Asia na Afrika -- wanaacha kuzalisha lactase...
Mkandarasi wa Mradi wa Upanuzi wa Barabara ya Ubungo-Kimara na barabara shikizi za Morogoro na Kawawa, Sichuan Road and Bridge Group Corporation Ltd (SRBG), anapenda kuutaarifu Umma kuwa anaendelea na ujenzi wa barabara inayopita katika makaburi yaliyopo mtaa wa ubungo kisiwani. Kufuatia ujenzi...
Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mohamed Hassan Moyo amegawa mahitaji ya mapishi kwa vitendo kwa ajili siku ya Afya na Lishe ya kijiji, hayo ameyafanya Novemba 22, 2024 alipokua katika kikao cha tathimini ya mkataba wa Lishe robo ya kwanza kwa mwaka wa fedha 2024/2025.
Mahitaji hayo ni sukari...
Hili Taifa litaangamizwa na unafiki na uchawa.Samia anasifiwa kwa kupigania nishati safi na salama ya kupikia, ipi hio na wapi? Mbona kasi ya mikaa na kuni iko juu sana?
Nani asie jua matumizi ya Mkaa bado yako juu sana? Nani asie jua hata huko Serikalini kwenyewe taasis zake wanatumia mkaa kwa...
Habari za wakati huu ndugu zangu wa JF, tukiendelea na mapambano ya kila siku
Kwenye harakati za mapambano nimefikiria kutafuta eneo kwa ajili ya kuuza maziwa ikibidi kuongeza na bites na vitu vingine.
Nimefikiria kupata maziwa fresh, maziwa mtindi, Asas (pamoja na yogurt), Tanga Fresh na...
Nina hamu ya kuonja maziwa ya Ngamia; najua Tanzania hatuna ngamia wengi kama Kenya au Somalia na Ethiopia ila wapi hapa Dar naweza nunua maziwa ya Ngamia?
Msaada wana Jamii
Natumaini mko salama Leo naomba niwaletee recipe ya maandazi matamu laini na yanayoweza kukaa hata wiki yakiwa Bado laini na matamu
Mahitaji
Ngano kilo moja
Sukari robo (utaigawa mara mbili)
Iriki iliyosagwa Kijiko kimoja
Maziwa ya maji nusu lita
Mafuta ya kupikia(pima kikombe Cha ml...
Tafiti zilizofanyika huko nchini Marekani zinasikitisha na kushtua sana, kwamba watu takribani milioni 23 sawa na asilimia 7 ya watu wazima wanaamini kwamba maziwa ya chocolate yanatoka kwa ngombe wa rangi ya kahawia. we unadhani ni kwanini? kwamba hawajui?
====
Seven percent of all American...
Habari, nimepata taarifa kuwa mtu akioga maziwa fresh kutamsaidia sana kwenye afya yake ya ngozi. Maziwa ya wanyama kama Punda, Farasi, Ngamia, Mbuzi na Ng'ombe ni tiba nzuri ya ngozi.
Pia kuna sehemu nimesoma kuwa Malkia wa Misri, Cleopatra alikuwa na kawaida ya kuoga maziwa ili apate ngozi...
Muda huu nipo Mwanza Nyamagana, huku bei ni elfu 2 kwa lita maziwa fresh. Je wewe uko ulipo lita ni bei gani. Sio mbaya kama ukiwa mahususi kwa kutaja mkoa, wilaya hata kata kama ikiwezekana.
Asante
Hivi kwanini wanaume hupenda kuangalia maziwa ya mwanamke. Hii tabia inakera sana unakuta mtu unamheshimu kama kaka au ndugu, wakati wa kuongea nae badala ya kuweka concetration katika kile mnachoongelea yeye anaanza kukodolea macho kifuani (maziwa).
Hii tabia inakera ipo siku nitakuja kumtemea...
Kuoga ni sehemu ya muhimu sana katika maisha ya binadamu, baadhi imekuwa ni kama ibada au kujitwaharisha. Wapo wanaopenda kuoga kuendana na mtindo wao wa maisha, mara moja kwa siku au mara moja kwa siku tatu, na kadhalika.
Swali langu ni hili, Je kuna madhara yoyote endapo mtu akioga mara...
Habari za mchana
Naomba kujua maziwa mtindi yananenepesha au kukondesha nimeanza kunywa hivi karibuni nataka niwe natumia permanently kila siku. Nataka nijue kama yanakondesha au Lah maana sitaki nikonde naupenda mwili wangu.
Nchi ya Tanzania imebarikiwa vivutio vya asili ikiwemo mbuga, mito na kadhalika. sekta ya mifugo ni mojawapo ya sekta ambazo huwa zinachangia kwa kiwango kikubwa sana katika maendeleo ya uchumi wa Tanzania. kwa mujibu wa shirika la kimataifa la kilimo na chakula duniani(FAO) Tanzania ni ya tatu...
Kilimo cha maji (AQUACULTURE) ni sekta muhimu na inayokua kwa kasi zaidi ya uzalishaji wa chakula cha wanyama duniani, na inaendelea kuzidi kasi ukuaji wa idadi ya watu, huku usambazaji wa kila mtu kutoka kwa wafugaji wa samaki ukiongezeka kutoka kilo 0.7 mwaka 1970 hadi kilo 7.8 mwaka 2008...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.