Ni yapi madhara yatookanayo ya kemikali kali za kuchubua ngozi, kuongeza ndevu, kuotesha nywele kwenye vipara, kuongeza makalio na maziwa

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,891
155,906
Kumeibuka wimbi la wafanyabiashara wengi wakiingiza nchini madawa mbalimbali yenye kemikali kali za kurefusha uume, kuongeza ndevu, kukupa six packs hata kama una mtumbo mkubwa kama wa Bujibuji Simba Nyamaume , dawa ya kuotesha nywele kwenye upara na nyingine nyingi. Na kuna madawa ya kuchumbua ngozi, kuongeza ukubwa wa hips, makalio, manyonyo nk.

Kupitia uzi huu naomba tujulishane side effects za muda mfupi, wa kati na muda mrefu za kutumia kemikali kali mwilini mwa binadamu
 
wadiz ,
Pia nina jamaa yangu mwingine alikuwa anafanya kazi ya kuendesha folklift bandari I, basi akaona mzigo wa vitu kama maziwa ya unga, njaa imemchakaza kisawasawa, akaona heri ayaoonje hayo, yalikuwa ni matamu, yenye ladha tamu yenye chumvichumvi.

Baada ya muda mfupi uume ukamsimama unachuruzika tu mchuzi, mabao yanaruka kama bomba la Ruvu chini.

Kalowa overall limejaa mijimbegu ya kiume ambayo amejimwagia. Kamwagq hadi kaishiwa nguvu yuko hoi bin taaban.

Kumbe alichokuwa amekula ni kemikali kwa ajili ya madume ya ng'ombe wa mbegu.
 
Mimi nasubiri dawa za KUOTESHA MENO YALIYONGOOKA hata yawe na madhara gani nitatumia. Naamini kama mchina ameweza kutengeneza dawa za kukuza sehemu ya mwili, hawezi kushindwa kuzifufua celi za mwili zinazohusika na meno na kuziamuru zitengeneze jino jipya.

Haya mambo madaktari wa meno wanasomea miaka saba halafu suluisho ni kungoa aukufanya root canal, au artificial implant zote ni magumashi zimeshingwa na zina madhara zaidi
 
Mimi nasubiri dawa za KUOTESHA MENO YALIYONGOOKA hata yawe na madhara gani nitatumia. Naamini kama mchina ameweza kutengeneza dawa za kukuza sehemu ya mwili, hawezi kushindwa kuzifufua celi za mwili zinazohusika na meno na kuziamuru zitengeneze jino jipya. Haya mambo madaktari wa meno wanasomea miaka saba halafu suluisho ni kungoa aukufanya root canal, au artificial implant zote ni magumashi zimeshingwa na zina madhara zaidi
So unataka uwe na meno 98
hapana yale ya ukubwani yakingooka yaote tena
Unaombea uwe kibogoyo?
 
Back
Top Bottom