mawazo

  1. Lidafo

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

    Katika maisha kila mtu ana amini katika kile anachokiamini kuanzia kwenye maisha binafsi, dini, uchumi, siasa n.k. Kuna watu wanaamini biashara bila ndumba haiendi, kuna wanao amini mapenzi bila pesa lazima mwanamke Aku cheat n.k. Mimi kwa upande wangu nilikuwa naamini kutumia miti shamba...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kalala vema anaona kabisa vizuri ila kaamka ni kipofu. Nini Tatizo?

    Nina ndugu yangu huwa ana tatizo la kisukari. Amekuwa aki -icontrol vizuri tu with medication as usually is controlled by many. Kalala vema anaona kabisa vizuri. KUAMKA NI KIPOFU. Nini kimetokea na remedy/treatment ni ipi?
  3. GUSSIE

    JamiiForums Tanzania Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu

    Tamko hilo limetolewa leo na Padri Kitima. Kwa Mujibu wa Padri kitime ,TEC imeamua kusimama na wananchi kwenye suala la bandari Padri kitime amesisitiza kwa sasa serikali inataka kuligawa Taifa kwenye pande mbili wanaokubaliana na wasiokubaliana,lakini wengi wanaokubaliana wanahofi tu kwa...
  4. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Ni wazi kabisa CCM Wameshapuuza Mawazo na Maono ya Mwl Nyerere

    CCM heshimu busara za wazee tofauti na hapo hakuna mtakachofanya kikawa na baraka. Bora hata magufuli alijaribu kufuata nyayo za huyu mzee. Nasikia hata huko TBC wosia wa baba unakuja kwa machale sana maana ni mwiba kwa CCM ya samia iliyo jaa wezi za mali ya umma..
  5. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu atembelea kaburi marehemu Alphonce Mawazo

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameitembelea familia ya aliyekuwa wanachama wa chama hicho marehemu Alphonce Mawazo ambaye aliuawa kwa kukatwa mapanga katika kijiji cha Chikobe Wilaya ya Geita mkoani Geita. Pia soma > TANZIA - Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania karibuni vijana wenye mawazo ya teknologia ambayo mnataka yafanyiwe kazi.

    kama kichwa cha uzi kinavyojieleza . nawakaribisha vijana wote wenye mawazo ya teknologia yabayoweza kua biashara au msaada kwa taifa ili yafanyiwe kazi.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Lema: Unapokuwa na viongozi mawazo yao ni uchaguzi na sio kizazi kinachokuja figo zenu zitasainiwa kuuzwa China

    Lema ameyasema hayo katika Mkutano wa kupinga Mkataba wa Bandari unaofanyika leo tar 23/7/2023 Temeke, ambapo amesema, Waarabu wanaangalia miaka 100 - 200 mbele wajukuu zao wataishije wabunge wenu wanaangalia 2025 watapata wapi pesa ya uchaguzi. Huku akiendelea kuwa, Unapokuwa na viongozi...
  8. IBRAHIM EMMILIAN MBAWALA

    JamiiForums Tanzania Mawazo juu ya namna ambavyo tunaweza kukabiliana na ugumu wa maisha na kujipa uhuweni

    Kumbuka, hakuna suluhisho la haraka au rahisi la kutatua matatizo yote ya maisha, lakini kutumia mbinu hizi na kufanya jitihada zako binafsi kunaweza kuboresha hali yako na kukuwezesha kuhimili ugumu wa maisha kwa ufanisi zaidi. Kuelewa jinsi ya kupunguza ugumu wa maisha ni muhimu sana kwa...
  9. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania SoC03 Njia za kuzuia mawazo hasi, na mawazo yanayokuumiza na yanayokunyima Amani ya Moyo

    Kama mawazo hasi, mawazo ya kujiua, mawazo ya kujihisi mpweke, mawazo ya kukataliwa au mawazo yoyote yanayokufanya ukose amani ya moyo basi ujumbe huu unakufaa sana, ujitahidi ufanye hivi. Kila mtu hupatwa na mawazo hasi kwa namna moja au nyingine katika muda tofauti. … ila kinachojalisha...
  10. Street brain

    JamiiForums Tanzania Kujenga vijana kifikra ni muhimu sana katika kuwawezesha kuwa na mawazo na mtazamo mzuri wa maisha

    Kujenga vijana kifikra ni muhimu sana katika kuwawezesha kuwa na mawazo na mtazamo mzuri wa maisha. Hapa kuna hoja kadhaa za kujenga vijana kifikra: Elimu yenye ufahamu: Badala ya kuzingatia tu kujifunza kwa ajili ya mitihani, ni muhimu kuhamasisha vijana kufikiri kwa kina, kuuliza maswali, na...
  11. hp4510

    JamiiForums Tanzania Naomba mawazo ya biashara ya viazi

    Wakuu salaam Kuna ndugu yangu anataka kuanzisha biashara ya kununua FUSO zima la viazi vya chips / viazi ulaya/ viazi mviringo, Njombe na kuja kuuza Dodoma Naomba Kwa mtu mwenye uzoefu au amewahi kufanya hii biashara atoe uzoefu wake Hasa kwenye mambo ya soko kwenye kununua na kuuza
  12. A

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa vyuo vikuu vya Sudan wahamishiwa vyuo vikuu vya Tanzania. Hongera kwa Serikali ya Tanzania

    Hongera kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Hasa Rais wetu mpendwa kwa kupokea Wanafunzi wa Udaktari toka nchini Sudan. Ikumbukwe nchi ya Sudan ipo katika vita vya wenyewe kwa wenyenye. Mungu akawape utulivu, wepesi na waendelee vema na masomo yao katika Chuo cha Kikuu cha tiba...
  13. African Geek

    JamiiForums Tanzania Naombeni mchango wa mawazo juu ya hii Project.

    Habari wana JF, Mimi ni Developer ( Web & Mobile ). Nina uzoefu na web development upande wa Backend na Frontend. Pia nimejifunza mobile app development kwa Flutter na nimefanikiwa kufanya project kadhaa ndogo ndogo kwa ajili ya kujiimarisha na kupata uzoefu wa kile nilichojifunza. Kwa sasa...
  14. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mawazo Yenye Athari Chanya: Kuchochea Maendeleo Na Mabadiliko Katika Jamii

    MAWAZO YENYE ATHARI CHANYA: KUCHOCHEA MAENDELEO NA MABADILIKO KATIKA JAMII Imeandikwa na:Mwl.RCT Picha | Kwa hisani ya 'training'.au 1. UTANGULIZI Katika jamii yetu ya leo, mawazo yana nguvu kubwa katika kuunda mabadiliko chanya. Mawazo hayo yanaweza kuchipuka kutoka kwa mtu mmoja na kusambaa...
  15. GoJeVa

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tiba ya msongo wa mawazo

    TIBA YA MSONGO WA MAWAZO. Utangulizi. Msongo wa mawazo ni hali ya mtu kuzongwa na mawazo hasi ambayo mara nyingi hupelekea matokeo mabaya Kwa muhusika hasa pale asiposaidiwa au asipojisaidia kutoka kwenye changamoto hiyo. Tatizo hili limekuwa ni jambo mtambuka Kwa kizazi chetu, na hii...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Bunge mnataka Wananchi watoe Maoni kuhusu Bandari kwa Mkataba upi? Kwanini unakuwa siri?

    Kunatafutwa namna ya kusema wananchi waliunga mkono. Wananchi wana ambiwa watoe mawazo kuhusu ubinafishaji bila kuweka wazi mkataba sasa mawazo yao hasa ni ya nini?
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watu wakialikwa Ikulu za Afrika mawazo yao huwa ni kwenda Kula tu na si mengineyo?

    Ina maana Watu wote wanaoalikwa Ikulu huwa ni Waroho, wana Njaa sana na Makwao huwa hawali? Natoa pongezi kwa wale ambao hawajaalikwa Ikulu kwani inaonyesha hawana Njaa, si Masikini, si Washamba wa Vyakula na Vinywaji na ni Watu Matajiri vile vile. Hata Mimi MINOCYCLINE ikitokea nimefanya...
  18. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Jiulize haya ili uweze kufanya maamuzi haraka na ujipunguzie mzigo wa mawazo (stress)

    Maamuzi ndio yanachagua tufanye nini, tufanye nini na maisha yetu, au tufanye nini na wapenzi wetu. Ili kufanya maamuzi kwanza inabidi kujiuliza; ~ Ni kitu gani nataka? ~ Kitanifanya nijisikiaje? ~ Je, kitanisaidia kusonga mbele? ~ Ni kitu gani ningependa kitokee? Ukishajipatia majibu ya hayo...
  19. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Mawazo huru - I mean no malice to nobody

    Vijana tunapenda sana kuiingizana kwenye mitego ili tunase, na ninasema hiviiiii...mimi sinasi kwa sababu nina Akili. Sasa sikia! Hili naomba niliweke wazi kwa mara nyingine tena. Mimi siungi mkono mambo ya uchoko wala usagaji, na nikishajua fulani ni choko, kimsingi urafiki wangu na yeye...
  20. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Je, kutumia jina bandia ni chanzo cha maudhui yasiyo na tija mtandaoni?

    Wazungu wanao huu msemo, "How you do one thing is how you do everything." Na sisi makazini na majumbani tunauishi huo msemo. Ukichelewa intavyuu, mabosi wanahisi hata kazini utachelewa tu, na kazi zako zitachelewa pia. Ukidanganya sana kazini, hata kwenye mahusiano utachepuka sana. Turudi...
Back
Top Bottom