mawazo

  1. N

    JamiiForums Tanzania Tuunganishe mawazo wandugu

    Habari za usiku ndugu? Natumai mu wazima wa afya. Nimekuwa nikiwaza namna nzuri ya kuwekeza pesa yangu niliyoipata hivi karibuni, 3m. Nikataka kuiweka katika fixed account lakini kila nikiwaza benki kukaa na pesa yangu kwa mwaka na zaidi halafu kunipa 9.5percent rate naona ni ndogo. Hivyo...
  2. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Milioni 23 za bure kutoka ubalozi wa Marekani kwa wenye mawazo ya miradi (AMBASSADOR’S SPECIAL SELF-HELP FUND)

    Nasikitika kwamba uzi wangu wa US ambassador's self help fund ulifutwa sikuelewa sababu ni zipi. Nimepata lawama sana juu ya uzi huu nimeurudisha tena uzi huu. Vijana wenzangu ninawapenda sina wivu na mtu, mimi ni mpenda maendeleo tuchangamkie hii fursa. US AMBASSADOR’S SPECIAL SELF-HELP FUND...
  3. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo ukiyafanya utajikuta katika hali ambayo ukiwaangalia wanaokuzunguka utajiona una ahueni

    Leo natamani kukuambia mambo ambayo angalau ukiyafanya kwa kujua au kutojua utajikuta ukiwa katika hali ambayo ukiwaangalia wanaokuzunguka utajiona una ahueni. Sitamani sana kukutia moyo au kukususimua hisia ila kuifunua asili mbele yako. Nadiriki kusema bayana kuwa haya yote ninayoyasema...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa mawazo

    Kuna mfanyakazi mwenzangu ambaye Mimi namzidi cheo Ila kapewa Kazi Fulani ya kutupangia utaratibu WA Kazi WA kila wiki. Sasa huyu mtu Ni wale watu wanaitwa kupe, Ni dizaini ya watu wenye tabia ya kupenda kujiweka mbelembele, Kwa kila kitu anataka yeye aonekane ndio anaweza,ikitokea shughuli...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Kusikiliza muziki kunapunguza msongo wa mawazo

    Utafiti wa Chuo Kikuu cha Vienna umeonesha kuwa mziki unaweza kumrudisha mtu katika hali ya furaha au kawaida pindi anaposikiliza muziki mzuri au wenye kusisitiza furaha wakati wa msongo wa mawazo. Utafiti huo ulifanyika wakati watu wengi walipotakiwa kukaa ndani kutokana na maambukizi ya...
  6. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Je, waliooana wanakula bata sana kuliko sisi tunaolala kama baiskeli imepaki? Uzoefu wenu tafadhali

    Hasa msimu huu wa mvua na kibaridi huwa nahisi waliooa na kuolewa wanafadi Sana hasa nyakati za usiku. Au Ni mawazo yangu? Maoni yenu hasa wenye ndoa zao sio michepuko.
  7. Gwappo Mwakatobe

    JamiiForums Tanzania Uponyaji wa Msongo wa Mawazo na Upweke au Kukata Tamaa

    Natoa ushauri kwa mtu yeyote aliye katika hali ya kupitia machungu (bitterness), kutelekezwa au kukataliwa (rejection), msongo wa mawazo (stress) au mfadhaiko/upweke (depression), aanze kufanya au kufikiria lolote lililo zuri, lolote lililo safi, lolote lenye haki, lolote lenye staha, lolote...
  8. Kamongo2

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu amemeza shilingi 200

    Kama ilivyo kwa title mtoto huyo ni miaka Saba ameimeza shilingi 200 tangia saa 12 jioni. Naomba msaada wa mawazo yenu Wana JF
  9. Zeemadeit

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Mawazo: Hapa panafaa kujenga?

    Habari! Kuna eneo nmeoneshwa na rafiki angu bei nzuri kdogo. Sina uzoefu na ujenzi (sijawah kujenga). Baada ya kupaona kama sijaridhika napo japo bei ni nzuri . Nahofia kuna uwezekano pakawa panajaa maji. Wamenihakikishia kua hakuna kitu hicho ila najua tu ni lugha ya biashara. Picha hizo ila...
  10. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Kama una ugonjwa unaokupa tabu maishani na unarithishwa fikiria kuhusu kuasili

    Nimetoka kucheki documentary ya magonjwa yanayorithika nimeona nije kuweka maoni, Magonjwa ya kuruthi: kifafa cha kurithi. sickle cell. CCHS ; tunavyopumua huwa hatufikirii kupumua, wenye ygonjwa huu inabidi wafikirie ili wapumue, wanapolala inabidi watumie mashine kuwasaidia. Kansa ya mifupa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Tupaze sauti kuhusu uonevu na ukandamizaji wa mawazo huru

    Awamu ya 6 iweke wazi kuwa ni kosa la jinai kutoa maoni kinzani kuhusu mikopo inayochukuliwa na serikali toka mataifa makubwa. *Ndugai alivuliwa uspika. *Meneja TRC alipoteza kazi. *Askari alikutwa kajinyonga *Gerad Hando amepoteza kazi EFM. Kama taifa tunaelekea wapi?
  12. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Mwaka Mpya: Mawazo ya viongozi wa dini yaliyonajisiwa kwa binadamu, nani mkweli?

    Happy New Year!. Hiyo ☝🏾 ndiyo salamu inayotolewa na kila mmoja kutakiana amani, furaha na shangwe kwa kuingia mwaka namba mwingine. Ilikuwa kama jambo la kawaida tu kupitia pitia misahafu na zamu ya mwezi huu unaopita ilikuwa ni Bibilia na nilibahatika kusoma kitabu cha Mwanzo eneo hili hapa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Bora kuolewa na mzee aliyejipanga kimaisha kuliko kuolewa na kijana maskini mwenzio

    Maisha yetu ni mafupi sana hapa duniani, hivyo tunapaswa kufurahia maisha muda wote. Hii habari ya kuoana na mtu eti mchume wote baadaye mtafurahia maisha haikubaliki. Maana hakuna aliye na mkataba na Mungu, unaweza ukafa the next morning. Na kwa taarifa yako furaha na umaskini havikai pamoja...
  14. Pekejeng

    JamiiForums Tanzania Mnatumia njia gani kukabiliana na msongo wa mawazo (stress)?

    Siku ya jana, leo na sijui hiyo kesho itakwendaje. Napitia msongo mkubwa sana wa mawazo, najaribu kujiliwaza na kujifariji pamoja na kujichanganya na watu ila nikikaa kidogo na kufikiri najikuta narudi katika huzuni na mfadhaiko wa nafsi. Sio siri nakosa raha na hamu ya vitu vingi naomba mbinu...
  15. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania Kila nikifikiria kifo cha Alphonce Mawazo Roho inakataa kabisa kuishi Bongo, bora nikimbie

    Huwa nawaza sana kuuawa kwa huyu mwamba halafu mbaya zaidi huzuni hii hunijia wakati unapigwa wimbo wa taifa kwamba Mungu ibariki Tanzania, wabariki viongozi wote. Yaani Mungu abariki wauwaji? Hakika baadhi ya vesi za kinafiki kwenye wimbo wa taifa ziondolewe. Yote kwa yote mimi nafsi yangu...
  16. britanicca

    JamiiForums Tanzania Vipi ikatokea unakutana na barua ya Zuhura Yunus kuhusu uteuzi wa Kiongozi Mkubwa wa Upinzani?

    Siasa za Tanzania zina mambo, hivi siku hizi mnajua barua za uteuzi wanakadiria tumelala ndiyo inarushwa hewani. Vipi Ukakutana na barua siku moja kwamba uteuzi wa Mheshimiwa Mbowe ameteuliwa kuwa na nafasi fulani serikalini au nje ya nchi? Si lazima Mbowe, hata Lissu Au Lema? Kwa Zitto huko...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo: Kubadilisha nyumba ya makazi kuwa gesti

    Poleni na majukumu wakuu, naombeni mawazo yenu binafsi nimefanikiwa kujenga nyumba ya room 3 zote master, sitting room kubwa, dinning, jiko, stoo na public toilet na kwa sasa nimeshaipaua nategemea kuingia kwenye hatua ya finishing. Baada ya kufika hatua hii likaja wazo kuwa huko mbeleni nije...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kumuenzi Baba wa Taifa: CCM, Serikali, Viongozi na Watanzania kwa Ujumla. Je, tunamuenzi kwa Mawazo, Maneno na kwa Vitendo? Tunamuishi?

    Karibuni tena kwenye makala zangu za “Kwa Maslahi kwa Taifa”, zinazozungumzia mada mbalimbali kuhusu taifa letu ziwe ni za kisiasa, za kiuchumi au za Kijamii, baada ya leo ni kuhusu kumuenzi Mwalimu Nyerere, kwa vile Tarehe 14 October ni Nyerere Day, leo naomba tutafakari jinsi sisi Watanzania...
  19. music mimi

    JamiiForums Tanzania Najipanga kufanya harusi rahisi sana, naomba mawazo yenu

    Tofauti na watu wengi mimi siyo muumini wa harusi kubwa zenye mbwembwe nyingi. Hivyo nimepanga harusi yangu iwe rahisi sana na nitagharamia kila kitu mwenyewe. Sijui mke mtarajiwa atachukuliaje ila nitajitahidi kumuelewesha wazo langu mpaka aelewe. Wazazi nao nitawaelewesha maana wao ni...
  20. kj75

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo mwenzenu sijui nifanye nini hadi muda huu

    Wakuu habar za muda huu, Mwenzenu Nina majanga, niende kwenye points Kuna demu nilimpata nikaomba namba akanipa katika harakati za kuomba papuchi akasema mke wako tunafamiana pia tunaheshimiana Ni Dada angu hivyo siwezi nikamsaundisha akakubali kunipa utelezi Sasa kimbembe kikaja kuleta mzigo...
Back
Top Bottom