Mawazo huru - I mean no malice to nobody

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
25,931
52,527
Vijana tunapenda sana kuiingizana kwenye mitego ili tunase, na ninasema hiviiiii...mimi sinasi kwa sababu nina Akili.

Sasa sikia! Hili naomba niliweke wazi kwa mara nyingine tena. Mimi siungi mkono mambo ya uchoko wala usagaji, na nikishajua fulani ni choko, kimsingi urafiki wangu na yeye umekufa kabisa.

Kuna jamaa akaniuliza kuhusu suala maroboti, naunga mkono ama ni muendelezo wa Wazungu kutaka kutuletea matatizo? Mimi ni majibu tu kwamba naunga mkono kwa asilimia mia moja...tena kama zipo asilimia zaidi ya mia moja, ningeunga mkono.

Sikia bro! Kuyatumia maroboti si lazima, lijue hilo kwanza, hakuna sheria imewekwa kwamba ni lazima uyatumie maroboti, hayo kuyanunua ni pesa, kama huna pesa basi achana nayo.

Mtu akaniuliza kuhusu kuzaa watoto, kizazi kitapotea! Sasa kizazi gani kitapotea? Kitu cha kwanza elewa kutumia maroboti ni hiyari yako, lakini hapohapo nikajiuliza suala moja, kwa nini wanawake wanatumia dildos na bado hatukemei? Kuna tofauti gani kati ya dildos na maroboti yanayoletwa? Tena cha ajabu hizi dildos zipo mpaka zile zilizounganishwa kwa kuingizwa kwenye makalio.

Haya yote hatuyasemi. Ukiniuliza kwa upande wangu, mimi bado sijawaelewa kabisa wanawake, wanawake ni viumbe vya kushangaza sema hamjui tu. Sisi wanaume tupo kifua mbele kukemea ushoga, hivi mmekwishawahi kuona wanawake wanakemea usagaji?

Mshawahi kuona wanawake wameweka hata mabango tu kuukemea usagaji? Kama hujaona hujawahi kujiuliza kwanini? Kwa sababu gani mwanaume akiwa shoga wanawake wanampenda sana? Hujawahi kujiuliza swali hilo? Wanaume tunasema maroboti yasije na meaning while chumbani kwako mkeo ana dildo limoja analitumia kila ukiondoka.

Kwenye masuala haya, tukubali wanawake wanatusnitch, huo ndiyo ukweli. Baba akigundua mtoto wake shoga ataumia sana kuliko mama, ushaligundua hilo? Baba akiona mtoto wake analeta tabia za kikekike atakasirika kuliko hata mama, wanawake kuna siri gani kwenye hili?

Shetani akitaka kumuharibu mtoto, mlango wa kwanza anaoutumia ni kwa mama, wanajua wanawake si watu wa kukemea mambo haya mabaya, anajua kabisa wanawake hawana nguvu yoyote kwa mtoto, hata mtoto akifanya kosa utasikia subiri baba yako aje.

Mtoto akilelewa na baba anakuwa mwanaume kweli, ila mtoto akilelewa na mama anakuwa legelege. Tusiwalaumu hata kidogo, wameumbwa hivyo.

Kuna mtu akaongezea kwamba hakuna Mzungu anayewapenda Afrika! Unakubaliana naye?

Nilichokisema ni kitu kimoja, uwepo wa Mwafrika haumtishi Mzungu hata kidogo. Yaani Mzungu hawezi kukaa sehemu halafu aseme namuogopa Mwafrika, hawezi, ila anaweza kusema namuogopa Mchina.

Mwafrika anaonekana si lolote kwa Mzungu. Kuna kitu gani Mzungu amekitaka Afrika halafu amekikosa? Yeye anaamua hata maamuzi ya serikali zenu, yeye anawasaidia mpaka bajeti.

Wakati kuna mabaya mengi ya Wazungu lakini pia tukumbuke na mazuri. Tatizo huwa linaanzia hapa, mtu utamfanyia mema mia moja, ukimfanyia baya moja, hilo baya litakumbukwa maisha yake yote.

Leo tunasoma elimu ya Mzungu. Huyu Mzungu amesema kuwe na haki za watoto na wanawake, unajua kwa nini? Ni kwa sababu watoto na wanawake hawakuwa na haki.

Mtu anaamua tu leo nakwenda kumbaka mtoto wa miaka kumi, na anambaka na hakuna lolote lile, anasema tu leo nakwenda kumbaka Mwajuma, na anambeka kweli, hakuna sheria yoyote ile.

Mzungu alipoona haya, akaamua kutuletea sheria za kumlinda mtoto na mwanamke. Ukimbaka mwanamke, unafungwa gerezani, ukimbaka mtoto, unafungwa gerezani.

Haya hatuyaoni, hatuyasemi kwa sababu tunajua tutamsifia Mzungu, tunatafuta masuala ya maroboti ili tuyaseme. Bro! Angalia pande zote mbili.

Leo ungejisikiaje kuona kabinti kako ka miaka tisa kanabakwa halafu hakuna sheria yoyote ile ya kumfunga mbakaji? Ushawahi kufikiria maisha yetu yangekuwaje bila Mzungu kuamua kutubadilisha kwa nguvu?

Haya maroboti yaje tu, kama kuna mwanamke anayapinga, atuambie kwa nini hapingi dildos wao kuzitumia na wamezificha makabatini.

Binadamu utake usitake, hii dunia inakwenda kuwa namaroboti mengi sana, tumefundishwa shuleni Mapinduzi ya Viwanda, sasa acha tushuhudie mapinduzi ya maroboti. Yatakuja kwa wingi na watu watayanunua.

Roboti ni mashine kama kompyuta, simu, magari, sema yale ni maroboti yenye umbo la binadamu. So umeanza kutumia maroboti ambayo hayana maumbo ya kibinadamu, sasa unaletewa maroboti yenye maumbo ya kibinadamu.

Ila kitu kinachonikera mpaka leo ni wanawake kutokusimama na kupinga usagaji...wanaupenda sana na usiombee mkeo akawa karibu na msagaji...My bro! You are dead!

FB_IMG_16846494196974240.jpg
 
Vijana tunapenda sana kuiingizana kwenye mitego ili tunase, na ninasema hiviiiii...mimi sinasi kwa sababu nina Akili.

Sasa sikia! Hili naomba niliweke wazi kwa mara nyingine tena. Mimi siungi mkono mambo ya uchoko wala usagaji, na nikishajua fulani ni choko, kimsingi urafiki wangi na yeye umekufa kabisa.

Kuna jamaa akaniuliza kuhusu sualala maroboti, naunga mkono ama ni muendelezo wa Wazungu kutaka kutuletea matatizo? Mimi nimajibu tu kwamba naunga mkono kwa asilimia mia moja...tena kama zipo asilimia zaidi ya mia moja, ningeunga mkono.

Sikia bro! Kuyatumia maroboti si lazima, lijue hilo kwanza, hakuna sheria imewekwa kwamba ni lazima uyatumia maroboti, hayo kuyanunua ni pesa, kama huna pesa basi achana nayo.

Mtu akaniuliza kuhusu kuzaa watoto, kizazi kitapotea! Sasa kizazi gani kitapotea? Kitu cha kwanza elewa kutumia maroboti ni hiyari yako, lakini hapohapo nikajiuliza suala moja, kwa nini wanawake wanatumia dildos na bado hatukemei? Kuna tofauti gani kati ya dildos na maroboti yanayoletwa? Tena cha ajabu hizi dildos zipo mpaka zilezilizounganishwa kwa kuingizwa kwenye makalio.

Haya yote hatuyasemi. Ukiniulizakwa upande wangu, mimi bado sijawaelewa kabisa wanawake, wanawake ni viumbe vya kushangaza sema hamjui tu. Sisi wanaume tupo kifua mbele kukemea ushoga, hivi mmekwishawahi kuona wanawake wanakemea usagaji?

Mshawahi kuona wanawake wameweka hata mabango tu kuukemea usagaji? Kama hujaona hujawahi kujiuliza kwanini? Kwa sababu gani mwanaume akiwa shoga wanawake wanampenda sana? Hujawahi kujiuliza swali hilo? Wanaume tunasema maroboti yasije na meaningwhile chumbani kwako mkeo ana dildo limoja analitumia kila ukiondoka.

Kwenye masuala haya, tukubali wanawake wanatusnitch, huo ndiyo ukweli. Baba akigundua mtoto wake shoga ataumia sana kuliko mama, ushaligundua hilo? Baba akiona mtoto wake analeta tabia za kikekike atakasirika kuliko hata mama, wanawake kuna siri gani kwenye hili?

Shetani akitaka kumuharibu mtoto, mlango wa kwanza anaoutumia ni kwa mama, wanajua wanawake si watu wa kukemea mambo haya mabaya, anajua kabisa wanawake hawana nguvu yoyote kwa mtoto, hata mtoto akifanya kosa utasikia subiri baba yako aje.

Mtoto akilelewa na baba anakuwa mwanaume kweli, ila mtoto akilelewa na mama anakuwa legelege. Tusiwalaumu hata kidogo, wameumbwa hivyo.

Kuna mtu akaongezea kwamba hakuna Mzungu anayewapenda Afrika! Unakubaliana naye?

Nilichokisema ni kitu kimoja, uwepo wa Mwafrika haumtishi Mzungu hata kidogo. Yaani Mzungu hawezi kukaa sehemu halafu aseme namuogopa Mwafrika, hawezi, ila anaweza kusema namuogopa Mchina.

Mwafrika anaonekana si lolote kwa Mzungu. Kuna kitu gani Mzungu amekitaka Afrika halafu amekikosa? Yeye anaamua hata maamuzi ya serikali zenu, yeye anawasaidia mpaka bajeti.

Wakati kuna mabaya mengi ya Wazungu lakini pia tukumbuke na mazuri. Tatizo huwa linaanzia hapa, mtu utamfanyia mema mia moja, ukimfanyia baya moja, hilo baya litakumbukwa maisha yake yote.

Leo tunasoma elimu ya Mzungu. Huyu Mzungu amesema kuwe na haki za watoto na wanawake, unajua kwa nini? Ni kwa sababu watoto na wanawake hawakuwa na haki.

Mtu anaamua tu leo nakwenda kumbaka mtoto wa miaka kumi, na anambaka na hakuna lolote lile, anasema tu leo nakwenda kumbaka Mwajuma, na anambeka kweli, hakuna sheria yoyote ile.

Mzungu alipoona haya, akaamua kutuletea sheria za kumlinda mtoto na mwanamke. Ukimbaka mwanamke, unafungwa gerezani, ukimbaka mtoto, unafungwa gerezani.

Haya hatuyaoni, hatuyasemi kwa sababu tunajua tutamsifia Mzungu, tunatafuta masuala ya maroboti ili tuyaseme. Bro! Angalia pande zote mbili.

Leo ungejisikiaje kuona kabinti kako ka miaka tisa kanabakwa halafu hakuna sheria yoyote ile ya kumfunga mbakaji? Ushawahi kufikiria maisha yetu yangekuwaje bila Mzungu kuamua kutubadilisha kwa nguvu?

Haya maroboti yaje tu, kama kuna mwanamke anayapinga, atuambie kwa nini hapingi dildos wao kuzitumia na wamezificha makabatini.

Binadamu utake usitake, hii dunia inakwenda kuwa namaroboti mengi sana, tumefundishwa shuleni Mapinduzi ya Viwanda, sasa acha tushuhudie mapinduzi ya maroboti. Yatakuja kwa wingi na watu watayanunua.

Roboti ni mashine kama kompyuta, simu, magari, sema yale ni maroboti yenye umbo la binadamu. So umeanza kutumia maroboti ambayo hayana maumbo ya kibinadamu, sasa unaletewa maroboti yenye maumbo ya kibinadamu.

Ila kitu kinachonikera mpaka leo ni wanawake kutokusimama na kupinga usagaji...wanaupenda sana na usiombee mkeo akawa karibu na msagaji...My bro! You are dead!!!View attachment 2632488
Dah mimi hii picha tuu bro....kwamba wa Njombe ndio ...nimesikitika sana
 
Kuna mtu anaweza kuyanunua kama tunashindwa kununua passo used
Lazima watuletea Robot used. Mtu amelipiga mashine mpaka kalichoka anakuja kuligawa kwa wabongo. 😂😂
Au robot likifiwa na mume wake linaletwa Africa ili lirithiwe. Itakuwa mwendo wa kurithi wajane robots 😂😂😂
 
Back
Top Bottom